Kozi Zinazopatikana Ukiwa na HGL, HGK, HKL, KLF, ECA au HGE
Devine Vision Tech · Mwongozo wa Combination za Arts na Biashara Kozi Zinazopatikana Ukiwa na HGL, HGK, HKL, KLF, ECA au HGE Makala hii inamsaidia mwanafunzi wa kidato cha sita kuona kozi zinazoweza kuendana na combination yake, vyuo vinavyotoa kozi hizo, vigezo vya kujiunga, pointi, nafasi na muda wa masomo. Imeandaliwa kwa matumizi ya elimu; kabla ya kutuma maombi, hakiki tena kwenye TCU na tovuti rasmi ya chuo husika. 641Chaguo za kozi/chuo 397Majina ya kozi 78Vyuo vyenye match 93Vyuo vyote vimekaguliwa Combinations Zilizochambuliwa Combination hizi ni za arts na biashara. Kila combination imechunguzwa kwa kuangalia kama vigezo vya programme vinataja angalau masomo mawili yanayolingana na combination hiyo, au kama programme imeelezwa wazi kupokea masomo yasiyo ya dini bila sharti maalumu la sayansi au hisabati. HGL History, Geography and English Language 512 chaguo za kozi/chuo HGK History, Geography and Kiswahili 504 chaguo za kozi/chuo HKL History, Kiswahili and English Language 480 chaguo za kozi/chuo KLF Kiswahili, English Language and French 451 chaguo za kozi/chuo ECA Economics, Commerce and Accountancy 523 chaguo za kozi/chuo HGE History, Geography and Economics 605 chaguo za kozi/chuo Angalizo kwa wanafunzi: Makala hii ni kwa educational purpose. Usitumie kama uthibitisho wa mwisho wa udahili. Soma TCU admission guidebook, tovuti ya chuo na mfumo wa maombi kabla ya kuchagua programme. Makundi Makuu ya Kozi Zinazoweza Kupatikana Kozi zimepangwa kwenye makundi ili mwanafunzi achague kulingana na kipaji, malengo ya kazi na uwezo wa kujiajiri. Elimu na Ualimu 76 chaguo kutoka 38 vyuo. Bachelor Degree in Commerce and Accountancy with EducationBachelor Degree in Mathematics and Information Technology with EducationBachelor of Accountancy and Economics with EducationBachelor of Business with EducationBachelor of Commerce with EducationBachelor of Science in Instructional Design and Information Technology Sheria 22 chaguo kutoka 20 vyuo. Bachelor of Arts in Law EnforcementBachelor of Law with ShariahBachelor of LawsBachelor of Laws (Evening Session)Bachelor of laws Utawala, Siasa na Diplomasia 20 chaguo kutoka 14 vyuo. Bachelor Degree in Governance and Strategic LeadershipBachelor Degree in International Relations and DiplomacyBachelor Degree in Leadership and GovernanceBachelor Degree in Leadership, Ethics and GovernanceBachelor of Arts In Public AdministrationBachelor of Arts in Governance and Development Habari, Mawasiliano na Public Relations 27 chaguo kutoka 19 vyuo. Bachelor Degree in Marketing and Public RelationsBachelor Degree in Marketing and Public relationsBachelor of Arts (Mass Communication)Bachelor of Arts in Communication StudiesBachelor of Business Information and Communication TechnologyBachelor of Science in Multimedia Technology and Animation Lugha, Fasihi na Tafsiri 13 chaguo kutoka 6 vyuo. Bachelor of Arts in EnglishBachelor of Arts in English Language and LinguisticsBachelor of Arts in KiswahiliBachelor of Arts in Kiswahili and Creative StudiesBachelor of Arts in LanguagesBachelor of Arts in Literature and English Language Studies Biashara, Uchumi, Uhasibu na Management 261 chaguo kutoka 63 vyuo. Bachelor Degree in AccountancyBachelor Degree in Agricultural Statistics and EconomicsBachelor Degree in Business Statistics and EconomicsBachelor Degree in Economics of DevelopmentBachelor degree in Digital MarketingBachelor of Accountancy Maendeleo ya Jamii na Huduma za Jamii 39 chaguo kutoka 24 vyuo. Bachelor Degree in Community DevelopmentBachelor Degree in Gender and DevelopmentBachelor Degree in Project Management for Community DevelopmentBachelor Degree in Social WorkBachelor of Arts in Applied Philosophy and Community DevelopmentBachelor of Arts in Community Development Utalii, Ukarimu na Urithi 14 chaguo kutoka 10 vyuo. Bachelor Degree in Tourism ManagementBachelor Degree in Wildlife ManagementBachelor of Arts in Cultural Anthropology and TourismBachelor of Arts in Cultural Heritage and TourismBachelor of Arts in Historic Archives and Heritage StudiesBachelor of Arts in History and Cultural Heritage Jiografia, Mazingira, Ardhi na Mipango 31 chaguo kutoka 15 vyuo. Bachelor Degree in Development PlanningBachelor Degree in Environmental Planning and ManagementBachelor of Science in Aquatic Environmental Sciences and ConservationBachelor of Science in Housing and Infrastructure PlanningBachelor of Science in Regional Development PlanningBachelor of Science in Urban and Regional Planning Kumbukumbu, Maktaba na Taarifa 13 chaguo kutoka 10 vyuo. Bachelor Degree in Records and Achieves ManagementBachelor Degree in Records, Archives and Information ManagementBachelor Degree in Secretarial Studies and AdministrationBachelor of Arts in History and Archives ManagementBachelor of Arts in Library and Information StudiesBachelor of Arts in Library, Records and Information Management Jedwali la Kozi, Vyuo, Vigezo na Combination Zinazokubalika Tumia search na filters kupata kozi kwa combination, chuo, kundi, programme code au vigezo. Bonyeza “Fungua vigezo” kuona masharti ya programme husika. Tafuta kozi, chuo, code au vigezo CombinationCombination zoteHGL – History, Geography and English Language (512)HGK – History, Geography and Kiswahili (504)HKL – History, Kiswahili and English Language (480)KLF – Kiswahili, English Language and French (451)ECA – Economics, Commerce and Accountancy (523)HGE – History, Geography and Economics (605) Kundi la koziMakundi yoteElimu na UalimuSheriaUtawala, Siasa na DiplomasiaHabari, Mawasiliano na Public RelationsLugha, Fasihi na TafsiriBiashara, Uchumi, Uhasibu na ManagementMaendeleo ya Jamii na Huduma za JamiiUtalii, Ukarimu na UrithiJiografia, Mazingira, Ardhi na MipangoKumbukumbu, Maktaba na Taarifa ChuoVyuo vyoteAbdulrahman Al- Sumait University (SUMAIT), ZanzibarArchbishop Mihayo University College of Tabora (AMUCTA), TaboraArdhi University (ARU), Dar es SalaamArusha Technical College (ATC), ArushaCatholic University of Mbeya (CUoM), MbeyaCollege of African Wildlife Management (CAWM), Mweka- KilimanjaroCollege of Business Education (CBE), Dar es SalaamCollege of Business Education (CBE), DodomaCollege of Business Education (CBE), MbeyaCollege of Business Education (CBE), MwanzaDar es Salaam Maritime Institute (DMI), Dar es SalaamDar es Salaam Tumaini University (DarTU), Dar es SalaamDar es Salaam University College of Education (DUCE), Dar es SalaamDr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations (CFR), Dar es SalaamEastern Africa Statistical Training Centre (EASTC), Dar es SalaamInstitute of Accountancy Arusha (IAA), ArushaInstitute of Accountancy Arusha (IAA), Babati CampusInstitute of Accountancy Arusha (IAA), Dar es Salaam CampusInstitute of Adult Education (IAE), Dar es SalaamInstitute of Finance Management (IFM), Dar es SalaamInstitute of Finance Management (IFM), DodomaInstitute of Finance Management (IFM), MwanzaInstitute of Finance Management (IFS), SimiyuInstitute of Public Administration (IPA), ZanzibarInstitute of Rural Development Planning (IRDP), DodomaInstitute of Rural Development Planning (IRDP), MwanzaInstitute of Social Work (ISW) Kisangara Campus, KilimanjaroInstitute of Social Work (ISW), Dar es SalaamInstitute of Tax Administration (ITA), Dar es SalaamJordan University College (JUCo), MorogoroKairuki University (KU), Dar es SalaamKampala International University in Tanzania (KIUT), Dar es SalaamKizumbi Institute of Co-operative and Business Education (KICoB), ShinyangaLocal Government Training Institute (LGTI), DodomaMS

