EduTrack – Zana ya Kufuatilia Taarifa za Elimu
EduTrack ni zana ya kidijitali ya Devine Vision Tech inayoweka huduma ya elimu ndani ya ukurasa mmoja unaotumika kwenye simu, tablet na kompyuta. Tumia sehemu iliyo hapa chini kufungua mfumo na kufuata hatua zinazoonekana ndani ya programu.
Ikiwa programu haionekani vizuri, jaribu ku-refresh ukurasa au tumia kivinjari kilichosasishwa. Unaweza pia kutembelea Learning Resources kwa notes na nyenzo za masomo.