Universal System Hub
Orodha ya mifumo ya kidijitali kwa elimu, afya, biashara, kilimo na huduma za kitaalamu. Kila mfumo umeundwa kwa kuzingatia urahisi wa matumizi, usalama na mahitaji ya soko la Tanzania.
Tafuta mfumo unaohitaji
Andika jina la mfumo, sekta au huduma unayotafuta.
5 Makundi makuu
Mobile Inafaa kwa simu
Tanzania Imezingatia mazingira ya ndani
Mifumo ya Elimu
Mifumo ya shule, vyuo, walimu, wanafunzi na usimamizi wa taarifa za kitaaluma.
Mifumo 8
EduTrack Desktop Suite
Mfumo kamili wa usimamizi wa wanafunzi unaoweza kufanya kazi bila intaneti, kuchambua taarifa na kuhamisha data kwenda Excel.
APS Performance System
Usimamizi wa maksi, wastani na ripoti za ufaulu kwa shule za msingi na sekondari.
StudentFlow Pro
Mfumo wa usajili na ufuatiliaji wa wanafunzi wenye uwezo wa kuwasiliana na wazazi kupitia WhatsApp.
Academic Record Master
Usimamizi wa rekodi za kitaaluma wenye uwezo wa kusoma nyaraka zilizopigwa picha au kuskaniwa.
Exam Architect
Husaidia kuandaa karatasi za mitihani, maswali na miongozo ya majibu kwa mpangilio wa kitaalamu.
HealthStream Diploma
Jukwaa la masomo kwa wanafunzi wa Diploma za Afya kuanzia NTA Level 4 hadi Level 6.
Sauti Pro Academy
Mfumo wa mafunzo ya sauti na utangazaji wenye zana za kusoma maandishi kwa sauti.
Academia Offline
Mfumo wa rekodi za chuo unaoweza kufanya kazi bila mtandao na kuhifadhi taarifa kwenye kifaa husika.
Afya na Maabara
Mifumo ya vituo vya afya, maabara, maduka ya dawa na usimamizi wa taarifa za wagonjwa.
Mifumo 4
GBM Patient Manager
Usimamizi wa mafaili ya wagonjwa, huduma za kliniki na malipo ya matibabu kwa vituo vya afya.
Pharmacy Tracker
Usimamizi wa dawa, tarehe za mwisho wa matumizi, stoo na taarifa za bidhaa za duka la dawa.
Smart LIMS
Mfumo wa kurekodi vipimo vya maabara na kutengeneza ripoti rasmi za majibu ya wagonjwa.
Nurse Assist
Msaidizi wa kidijitali kwa kupanga taarifa za awali za mgonjwa na kusaidia utoaji wa huduma kwa utaratibu.
Biashara na Fedha
Mifumo ya mauzo, fedha, wafanyakazi, nyumba, hoteli, saluni na shughuli nyingine za biashara.
Mifumo 8
Kitabu Pro
Mfumo wa kusimamia fedha, stoo na mali za biashara ukiwa na uwezo wa kufanya kazi bila mtandao.
Smart POS System
Mfumo wa mauzo, risiti na ufuatiliaji wa hesabu za bidhaa kwa maduka na biashara ndogo.
Stationery ERP
Mfumo wa duka la vifaa vya ofisini unaofuatilia photocopy, printing, vitabu na mauzo mengine.
Saccos Manager Pro
Usimamizi wa wanachama, michango, mikopo na marejesho kwa vikundi na SACCOS.
Smart Dalali System
Mfumo wa kusimamia nyumba za kupanga, viwanja, wateja na taarifa za mali.
HR & Payroll Pro
Usimamizi wa wafanyakazi, mahudhurio, mishahara na payslip kwa mpangilio unaoeleweka.
Lodge Manager Pro
Usimamizi wa vyumba, wageni, malipo na huduma za hoteli, lodge, bar au restaurant.
Salon & Spa Hub
Kurekodi miadi, huduma za urembo, mauzo na usimamizi wa wafanyakazi wa saluni.
Kilimo na Viwanda
Mifumo ya wakulima, maghala, masoko ya mazao na usimamizi wa stoo.
Mifumo 3
Daktari Shamba
Mfumo wa kusaidia wakulima kutunza kumbukumbu za magonjwa ya mimea na ratiba za matunzo ya shamba.
Mkulima Platform
Jukwaa la kuunganisha wakulima, masoko ya mazao na taarifa muhimu za uzalishaji.
Inventory Master
Usimamizi wa stoo kwa maghala, viwanda vidogo na biashara zinazohitaji kufuatilia bidhaa.
Zana na Mifumo ya Kitaalamu
Zana za utafiti, nyaraka, kushirikisha mafaili, sheria, gereji, matukio na huduma za usafi.
Mifumo 7
Research Vision
Zana ya kusaidia kupanga proposals, reports, jedwali, chati na taarifa za utafiti.
File Architect Pro
Kubadili mafaili kati ya PDF, Word na Excel pamoja na kusoma maandishi kutoka kwenye nyaraka.
P2P File Share
Kushirikisha mafaili makubwa kwa kasi kati ya vifaa vilivyo kwenye mtandao mmoja.
Legal Case Master
Usimamizi wa mafaili ya wateja, tarehe za mahakama, miadi na nyaraka za kisheria.
Smart Garage System
Usimamizi wa matengenezo ya magari, rekodi za wateja, kazi za mafundi na mauzo ya vipuri.
Event Ticket Master
Usimamizi wa tiketi, wageni, mauzo na taarifa za matukio kama semina na sherehe.
Clean Hub Manager
Ratiba za usafi, usimamizi wa wafanyakazi, wateja, huduma na ankara.
Hakuna mfumo uliopatikana kwa maneno hayo. Tumia WhatsApp kuomba ushauri wa mfumo unaokufaa.
Unahitaji mfumo wa kipekee?
Tunatengeneza mifumo kulingana na mahitaji halisi ya shule, chuo, hospitali, biashara, taasisi au shughuli nyingine. Eleza unachohitaji ili upate ushauri wa hatua inayofuata.

