eLibrary ya Notes, Vitabu na Rasilimali za Kujifunzia
Fikia kwa urahisi notes za sekondari na diploma, vitabu vya afya, miongozo ya utafiti, masomo ya kompyuta na maktaba za wazi kutoka sehemu moja.
eLibrary ni nini?
eLibrary ni maktaba ya kidijitali inayokusanya notes, vitabu, miongozo, makala na nyenzo nyingine za kujifunzia ili mwanafunzi aweze kuzifikia kwa simu, tablet au kompyuta.
- Tafuta kozi au somo kwa kutumia kisanduku cha utafutaji.
- Chuja rasilimali kwa sekondari, afya, vitabu, utafiti au kompyuta.
- Bonyeza kitufe cha “Fungua” kwenda moja kwa moja kwenye rasilimali.
- Tumia nyenzo hizi pamoja na mtaala na maelekezo rasmi ya taasisi yako.
Rasilimali muhimu za kujifunzia
Jedwali hili limepangwa kwa makundi na limebaki na viungo muhimu vinavyohusiana moja kwa moja na kujifunza.
| Kundi | Rasilimali | Maelezo | Kiungo |
|---|---|---|---|
| Sekondari | Secondary School Notes | Notes za O-Level na A-Level kwa masomo mbalimbali. | Fungua |
| Sekondari | Biology Form 5 | Notes kamili za Biology Form Five. | Fungua |
| Sekondari | Biology Form 6 | Mada na notes za Biology Form Six. | Fungua |
| Sekondari | Chemistry Form 5 | Notes za Chemistry Form Five kwa mpangilio wa mada. | Fungua |
| Sekondari | Chemistry Form 6 | Notes za Chemistry Form Six. | Fungua |
| Sekondari | Physics Form 5 & 6 | Notes za Physics kwa Form Five na Form Six. | Fungua |
| Afya | Learning Resources for Diploma Students | Kituo kikuu cha notes za diploma na kozi za afya. | Fungua |
| Afya | Pharmacy Notes | Notes za Pharmaceutical Sciences kwa ngazi mbalimbali. | Fungua |
| Afya | Clinical Medicine Notes | Notes za Clinical Medicine kwa mwaka na semester. | Fungua |
| Afya | Nursing Notes | Notes na nyenzo za Nursing and Midwifery. | Fungua |
| Afya | Medical Laboratory Notes | Notes za Medical Laboratory Sciences. | Fungua |
| Afya | Physiotherapy Notes | Notes na assessment plans za Physiotherapy. | Fungua |
| Afya | Diagnostic Radiography | Notes na taarifa za Radiography na medical imaging. | Fungua |
| Afya | Clinical Dentistry | Notes za Clinical Dentistry na afya ya kinywa. | Fungua |
| Afya | Health Information Sciences | Rasilimali za HMIS, taarifa na kumbukumbu za afya. | Fungua |
| Vitabu | Devine Vision Books | Mkusanyiko mkuu wa vitabu vya Devine Vision Tech. | Fungua |
| Vitabu | Medical Books by Course | Vitabu vya Clinical Medicine, Pharmacy, Laboratory, Physiotherapy na Radiology. | Fungua |
| Vitabu | Self-Development & Entrepreneurship Books | Vitabu vya maendeleo binafsi, biashara na saikolojia. | Fungua |
| Vitabu | Agriculture Books | Vitabu vya kilimo, mifugo, kuku na samaki. | Fungua |
| Utafiti | Mwongozo wa Kuandaa Research Proposal | Hatua za kupanga na kuandika proposal ya utafiti. | Fungua |
| Utafiti | Mwongozo wa Uandishi Bora wa Utafiti | Mwongozo wa wanafunzi wa vyuo kuhusu uandishi wa kazi ya utafiti. | Fungua |
| Kompyuta | Computer Materials | Masomo ya msingi ya kompyuta na ujuzi wa kidijitali. | Fungua |
| Kompyuta | Microsoft Word | Mafunzo ya kuandaa na kupanga nyaraka kwa Microsoft Word. | Fungua |
| Kompyuta | Spreadsheet / Microsoft Excel | Mafunzo ya jedwali, fomula, hesabu na uchambuzi wa data. | Fungua |
| Kompyuta | Microsoft PowerPoint | Mafunzo ya kutengeneza mawasilisho bora ya slides. | Fungua |
Makusanyo maalumu ya vitabu
Fungua kundi linalolingana na kozi au eneo lako la kujifunza.
Clinical Medicine Books
Vitabu na marejeo ya Clinical Medicine.
Tazama vitabu →Pharmacy Books
Vitabu vya Pharmaceutical Sciences na matumizi ya dawa.
Tazama vitabu →Medical Laboratory Books
Vitabu vya maabara, uchunguzi na sayansi za afya.
Tazama vitabu →Physiotherapy Books
Vitabu vya physiotherapy, rehabilitation na clinical practice.
Tazama vitabu →Radiology Books
Vitabu vya radiology, imaging na diagnostic radiography.
Tazama vitabu →Other Medical Books
Vitabu vingine vya afya na sayansi shirikishi.
Tazama vitabu →Rasilimali za elimu kutoka vyanzo vya wazi
Viungo hivi vinakupeleka kwenye maktaba na majukwaa yanayotoa vitabu, makala au kozi za kujifunza bila malipo. Baadhi ya machapisho yanaweza kuwa na masharti tofauti ya ufikiaji.
Hujapata notes au kitabu unachotafuta?
Wasiliana na Devine Vision Tech kwa msaada wa notes, vitabu, research, assessment plans na huduma nyingine za kidijitali.

