Skip to main content
DEVINE VISION TECH

Changia Notes / Document

Chagua faili nyingi za masomo na uzitume moja kwa moja Google Drive. Hatuhifadhi faili kwenye hosting ya website. Ukifanikiwa kutuma angalau faili moja, utafungua orodha ya notes za bure kwa siku 30 kwenye browser hii. Ukihitaji kufikiriwa kwa malipo ya mchango wako, weka ombi ndani ya fomu: malipo hutegemea ukaguzi na makubaliano; hakuna malipo ya moja kwa moja.

1Chagua failiPDF, Word, PPT, Excel na picha
2Tuma Google DriveHifadhiwa kwa ukaguzi, si hosting
3Pata notes bureAu omba malipo baada ya ukaguzi
Faili zinakwenda kwenye Google Drive / Incoming – Pending Review. Unaweza kutuma faili nyingi (PDF, Word, PowerPoint, picha na Excel), kila moja hadi MB 20. Usiufunge ukurasa kabla zote hazijakamilika.
Ukimaliza kutuma faili, ruhusa ya kufungua notes itawashwa hapa.

Tuma nyaraka unazomiliki au ambazo una ruhusa ya kushirikisha. Usitume taarifa za siri, rekodi za wagonjwa au nyaraka zenye taarifa binafsi za watu wengine. Michango itakaguliwa kabla ya kuchapishwa.

Scroll to Top
Changia Notes/Document – Pata Notes Bure