Kituo cha Msaada

Tunakusaidia kupata suluhisho kwa urahisi

Pata msaada kuhusu tovuti, mafunzo ya kompyuta, nyaraka, mifumo ya kidijitali, rasilimali za elimu na huduma nyingine zinazotolewa na Devine Vision Tech.

Unahitaji msaada kuhusu nini?

Tafuta mada ya msaada au huduma unayohitaji.
Chagua Huduma

Maeneo tunayoweza kukusaidia

Chagua eneo linalohusiana na changamoto au huduma unayohitaji.

Msaada wa Tovuti

Msaada kuhusu WordPress, kasi ya tovuti, muonekano, usalama, hitilafu, domain na hosting.Omba msaada

Mafunzo ya Kompyuta

Pata msaada wa Microsoft Word, Excel, PowerPoint, Access, matumizi ya intaneti na ujuzi wa ofisini.Omba msaada

Rasilimali za Elimu

Msaada wa kupata notes, vitabu, miongozo ya kozi, mazoezi na nyenzo nyingine za kujifunzia.Omba msaada

Uandaaji wa Nyaraka

Msaada wa kuandaa barua, wasifu, taarifa, kazi za utafiti, fomu, PDF na nyaraka za kitaalamu.Omba msaada

Akaunti na Usajili

Pata msaada kuhusu kufungua akaunti, kuingia kwenye mfumo, nenosiri, kujisajili na kujaza taarifa.Omba msaada

Huduma za Kidijitali

Msaada wa biashara mtandaoni, mitandao ya kijamii, matangazo, utambulisho wa biashara na mifumo ya kidijitali.Omba msaada
Hakuna huduma iliyopatikana kwa maneno hayo. Tafadhali tuma ombi kupitia fomu ya msaada.

Tuma ombi la msaada

Eleza tatizo au huduma unayohitaji kwa ufupi. Hakikisha unaweka mawasiliano sahihi.

Fomu hii itafungua WhatsApp ikiwa na ujumbe wako tayari kutumwa.

Maswali ya Kawaida

Majibu ya haraka

Angalia majibu ya baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Devine Vision Tech inatoa huduma za kutengeneza na kuboresha tovuti, mafunzo ya kompyuta, uandaaji wa nyaraka, rasilimali za elimu na huduma mbalimbali za kidijitali.
Jaza fomu ya msaada kwenye ukurasa huu. Baada ya kubonyeza kitufe cha kutuma, WhatsApp itafunguka ikiwa na maelezo uliyoweka tayari kutumwa.
Ndiyo. Unaweza kupata msaada kuhusu muonekano wa tovuti, kasi, usalama, hitilafu, programu-jalizi, kurasa, SEO, domain na hosting.
Ndiyo. Mafunzo yanaweza kuanzia kiwango cha msingi hadi kiwango cha juu katika Microsoft Word, Excel, PowerPoint, Access, intaneti na matumizi ya kompyuta ofisini.
Hakikisha una intaneti, jaribu kufungua ukurasa upya au kutumia kivinjari kingine. Tatizo likiendelea, tuma kiungo husika kupitia fomu ya msaada ili kikaguliwe.
Ndiyo. Huduma zinapatikana kwa wanafunzi, wafanyakazi, wafanyabiashara, shule, vyuo, taasisi na mashirika.

Bado hujapata jibu?

Tuma maelezo ya changamoto yako na timu ya Devine Vision Tech itakusaidia kupata suluhisho linalofaa.
Pata Msaada Sasa
App
Download DiplomaNet App, soma notes bila mtandao!
Scroll to Top