HESLB Diploma Guidelines 2026/2027
Kozi Zote za Diploma Zinazopata Mkopo HESLB 2026/2027 na Vyuo Vinavyotoa Tanzania
Orodha kamili ya kozi na vyuo kutoka NACTVET Guidebook 2026/2027. Tafuta kwa urahisi kozi unayotaka na chuo karibu nawe.
240
Vyuo Vyote
6
Sekta
25+
Mikoa
2026/27
Mwaka wa Masomo
Sekta Zote
Afya
Usafirishaji
Nishati & Madini
Kilimo
ICT
Ualimu
Inaonyesha vyuo vyote 240
Mambo Muhimu Kujua Kuhusu Mkopo HESLB 2026/2027
Muda wa Maombi
Maombi yanafunguliwa 19 Juni 2026 hadi 31 Agosti 2026 kwa wanafunzi wa Intake ya Septemba.
Ada ya Maombi
Ada ya maombi ni TZS 20,000 (hairejesiwi). Lipa kupitia benki au mtandao wa simu.
Vigezo vya Msingi
Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 35. Aliye na udahili katika chuo kilichoidhinishwa na NACTVET/MoEST.
Kiasi cha Mkopo
Malipo ya chakula TZS 7,500/siku. Ada ya masomo hadi TZS 1,200,000/mwaka. Vitabu TZS 200,000/mwaka.
Unahitaji Msaada wa Kuchagua Chuo au Kozi?
Timu yetu iko tayari kukusaidia kuchagua kozi bora na chuo kinachokufaa kulingana na alama zako na mkoa wako.
Maswali ya HESLB: Simu: 0736 66 55 33 | WhatsApp: 0739 66 55 33 | Tovuti: www.heslb.go.tz
