Kozi zote unazoweza kusoma kwa PCM, PCB, PGM, EGM, CBG, CBA na CBN
Devine Vision Tech • Mwongozo wa Combination za Kidato cha Sita Kozi zote unazoweza kusoma kwa PCM, PCB, PGM, EGM, CBG, CBA na CBN Makala hii inaonyesha kozi, vyuo, vigezo, pointi, nafasi na mahali vinapopatikana kwa wanafunzi waliosoma combinations za PCM, PCB, PGM, EGM, CBG, CBA na CBN. Imeandaliwa kwa matumizi ya kielimu ili mwanafunzi apate picha pana kabla ya kuhakiki taarifa kwenye TCU na chuo husika. 7Combinations 892Chaguo za kozi/chuo 89/93Vyuo vilivyoonyesha match 570Majina ya kozi Angalizo muhimu kwa wanafunzi Orodha hii ni kwa educational purpose. Inasaidia mwanafunzi kuona mwelekeo wa kozi kulingana na masomo ya combination. Si barua ya udahili na si mbadala wa guidebook rasmi. Lazima uhakiki kabla ya kuomba: pitia TCU, tovuti ya chuo husika, admission system ya chuo, HESLB kama unahitaji mkopo, na tangazo rasmi la mwaka husika. Kozi inaweza kuonekana inafaa lakini chuo kikaweka grade, subject au competition ya ziada. Uchambuzi umezingatia masomo yaliyoandikwa kwenye vigezo vya programmes. Pale ambako vigezo vinatumia maneno kama “two principal passes in the following subjects”, combination imeingizwa kama ina angalau masomo mawili yanayolingana. Kwa programu zinazotaja “three principal passes”, combination imehitaji masomo matatu yanayolingana. Combinations na maeneo yanayofaa PCM Physics, Chemistry and Mathematics Njia pana kwa engineering, TEHAMA, sayansi, elimu, baadhi ya afya na kozi nyingi za management. 810 chaguo87 vyuo535 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaUhandisi, Ujenzi na TeknolojiaTEHAMA, Data na KompyutaSayansi Asilia na Hisabati PCB Physics, Chemistry and Biology Njia kuu ya afya, sayansi za tiba, biolojia, elimu ya sayansi na baadhi ya mazingira/kilimo. 804 chaguo89 vyuo523 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaUhandisi, Ujenzi na TeknolojiaTEHAMA, Data na KompyutaAfya na Sayansi za Tiba PGM Physics, Geography and Mathematics Njia nzuri kwa TEHAMA, engineering baadhi, geography, planning, environment, data na education. 812 chaguo85 vyuo530 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaUhandisi, Ujenzi na TeknolojiaTEHAMA, Data na KompyutaElimu na Ualimu EGM Economics, Geography and Mathematics Njia nzuri kwa biashara, uchumi, statistics, planning, data, management na baadhi ya geography. 716 chaguo79 vyuo459 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaTEHAMA, Data na KompyutaElimu na UalimuLugha, Sanaa na Mawasiliano CBG Chemistry, Biology and Geography Njia nzuri kwa afya zinazokubali biology/chemistry, mazingira, nutrition, agriculture, geography na education. 709 chaguo84 vyuo472 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaTEHAMA, Data na KompyutaSayansi Asilia na HisabatiLugha, Sanaa na Mawasiliano CBA Chemistry, Biology and Agriculture Njia nzuri kwa agriculture, food, nutrition, animal/plant sciences, baadhi ya health na education. 666 chaguo82 vyuo438 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaTEHAMA, Data na KompyutaLugha, Sanaa na MawasilianoSayansi Asilia na Hisabati CBN Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition Njia nzuri kwa nutrition, health, food science, education na baadhi ya social/management programmes. 668 chaguo84 vyuo436 majina ya kozi Biashara, Uchumi na FedhaTEHAMA, Data na KompyutaLugha, Sanaa na MawasilianoSayansi Asilia na Hisabati Makundi makubwa ya kozi Makundi haya yanasaidia kutafuta kwa haraka. Majina halisi ya kozi yameachwa kama yalivyo kwenye guidebook. Biashara, Uchumi na Fedha 267 chaguo za kozi/chuo, 64 vyuo. Uhandisi, Ujenzi na Teknolojia 106 chaguo za kozi/chuo, 18 vyuo. Elimu na Ualimu 74 chaguo za kozi/chuo, 36 vyuo. TEHAMA, Data na Kompyuta 71 chaguo za kozi/chuo, 34 vyuo. Afya na Sayansi za Tiba 65 chaguo za kozi/chuo, 23 vyuo. Sayansi Asilia na Hisabati 63 chaguo za kozi/chuo, 20 vyuo. Lugha, Sanaa na Mawasiliano 61 chaguo za kozi/chuo, 21 vyuo. Jamii, Maendeleo na Taarifa 40 chaguo za kozi/chuo, 24 vyuo. Jiografia, Mazingira, Ardhi na Mipango 39 chaguo za kozi/chuo, 19 vyuo. Nyingine 28 chaguo za kozi/chuo, 19 vyuo. Kilimo, Mifugo na Chakula 24 chaguo za kozi/chuo, 8 vyuo. Sheria 21 chaguo za kozi/chuo, 19 vyuo. Utawala, Siasa na Diplomasia 20 chaguo za kozi/chuo, 16 vyuo. Utalii, Ukarimu na Maliasili 13 chaguo za kozi/chuo, 8 vyuo. Jedwali kuu: kozi, vyuo, vigezo, pointi na mahali Tumia filters kuchagua combination yako. Bonyeza “Fungua vigezo” ili kuona maneno ya vigezo vya kujiunga kwa kila kozi katika chuo husika. Tafuta kozi, chuo, code au subject CombinationZotePCM – Physics, Chemistry and MathematicsPCB – Physics, Chemistry and BiologyPGM – Physics, Geography and MathematicsEGM – Economics, Geography and MathematicsCBG – Chemistry, Biology and GeographyCBA – Chemistry, Biology and AgricultureCBN – Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition Kundi la koziMakundi yoteAfya na Sayansi za TibaBiashara, Uchumi na FedhaElimu na UalimuJamii, Maendeleo na TaarifaJiografia, Mazingira, Ardhi na MipangoKilimo, Mifugo na ChakulaLugha, Sanaa na MawasilianoNyingineSayansi Asilia na HisabatiSheriaTEHAMA, Data na KompyutaUhandisi, Ujenzi na TeknolojiaUtalii, Ukarimu na MaliasiliUtawala, Siasa na Diplomasia ChuoVyuo vyoteAbdulrahman Al- Sumait University (SUMAIT), ZanzibarAga Khan University (AKU), Dar es SalaamArchbishop Mihayo University College of Tabora (AMUCTA), TaboraArdhi University (ARU), Dar es SalaamArusha Technical College (ATC), ArushaCatholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), MwanzaCatholic University of Mbeya (CUoM), MbeyaCollege of African Wildlife Management (CAWM), Mweka- KilimanjaroCollege of Business Education (CBE), Dar es SalaamCollege of Business Education (CBE), DodomaCollege of Business Education (CBE), MbeyaCollege of Business Education (CBE), MwanzaDar es Salaam Institute of Technology (DIT), Dar es SalaamDar es Salaam Institute of Technology (DIT), Mwanza CampusDar es Salaam Maritime Institute (DMI), Dar es SalaamDar es Salaam Tumaini University (DarTU), Dar es SalaamDar es Salaam University College of Education (DUCE), Dar es SalaamDr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations (CFR), Dar es SalaamEastern Africa Statistical Training Centre (EASTC), Dar es SalaamInstitute of Accountancy Arusha (IAA), ArushaInstitute of Accountancy Arusha (IAA), Babati CampusInstitute of Accountancy Arusha (IAA), Dar es Salaam CampusInstitute of Adult Education (IAE), Dar es SalaamInstitute of Finance Management (IFM), Dar es SalaamInstitute of Finance Management (IFM), DodomaInstitute of Finance Management (IFM), MwanzaInstitute of Finance Management (IFS), SimiyuInstitute of Public Administration (IPA), ZanzibarInstitute of Rural Development Planning (IRDP), DodomaInstitute of Rural Development Planning (IRDP), MwanzaInstitute of Social Work (ISW) Kisangara Campus, KilimanjaroInstitute of Social Work (ISW), Dar es SalaamInstitute of Tax Administration (ITA), Dar es SalaamJordan University College (JUCo), MorogoroKCMC University, KilimanjaroKairuki University (KU), Dar es SalaamKampala International University in Tanzania (KIUT), Dar es SalaamKarume Institute of Science and Technology (KIST), ZanzibarKizumbi Institute of Co-operative and Business Education (KICoB), ShinyangaLocal Government Training Institute (LGTI), DodomaMS Training Centre for Development Cooperation (MS-TCDC), ArushaMarian University College (MARUCo), BagamoyoMbeya University of Science and Technology (MUST), MbeyaMbeya University