Tenzi za Rohoni 15 – Chakutumaini Sina

Tenzi za Rohoni 15 – Chakutumaini Sina

Tenzi Na. 15

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 15, “Chakutumaini Sina”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

Ila damu yake Bwana,
Sina wema wa kutosha
Dhambi zangu kuziosha;

Kwake Yesu nasimma,
Ndiye mwamba: ni salama
Ndiye mwamba: ni salama.

Njia yangu iwe ndefu
Yeye hunipa wokovu;
Mawimbi yakinipiga
Nguvu zake ndiyo nanga.

Damu yake na sadaka
Nategemea daima,
Yote chini yakiisha
Mwokozi atanitosha.

Nikiitwa hukumuni,
Rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake
Sina hofu mbele zake.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top