Kozi za Diploma, Sayansi, Takwimu na Mazingira

Diploma ya Hydrology and Meteorology Tanzania: Maana, Sifa, Vyuo na Ajira

Fahamu Diploma ya Hydrology and Meteorology, maana yake, sifa za kujiunga, muda wa masomo, vyuo vinavyoitoa Tanzania, ajira na njia za kujiendeleza.