Windows X Lite – Mfumo Mdogo wa MB 800 Tu

Windows X Lite – Mfumo Mdogo wa MB 800 Tu

FAILI LA WINDO LENYE UKUBWA MDOGO ZAIDI – MB 800 TU

Toleo Maalum la Windows X Lite kwa Kompyuta zenye Uwezo Mdogo

SIFA KUU ZA WINDOWS X LITE

Je, unamiliki kompyuta yenye RAM ndogo, processor ya kawaida, na unahitaji mfumo wa uendeshaji (OS) unaofanya kazi kwa kasi bila kuichosha? Je, wewe ni mcheza magemu, mtumiaji wa kawaida, au mtu anayehitaji mfumo mwepesi na haraka? Windows X Lite ni suluhisho lako.


  • Ukubwa wa faili mdogo sana: MB 800 tu. Inaokoa nafasi kubwa kwenye diski.
  • Ina boot kwa kasi: Huanza ndani ya sekunde chache hata kwenye kompyuta za zamani.
  • Inatumia RAM kidogo: Inafaa kwa kompyuta zenye RAM kuanzia 1GB hadi 4GB.
  • Imeboreshwa kwa ajili ya kucheza magemu: Haina programu zisizo na maana. CPU na GPU zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi.
  • Muonekano rahisi na wa kisasa: Imeondolewa vitu visivyo na umuhimu lakini bado inaonekana vizuri.
  • Ina usalama wa msingi: Defender, firewall, na masasisho muhimu yamebaki.

INAWAFAA

  • Wacheza magemu wanaotumia kompyuta za kawaida au chini.
  • Wanafunzi na watumiaji wanaohitaji OS nyepesi kwa kazi za kila siku.
  • Watu wanaotaka kuongeza kasi ya PC bila gharama kubwa.
  • Watengenezaji wa programu wanaohitaji OS safi kwa ajili ya majaribio.

LINK YA KUIDOWNLOAD WINDOWS X LITE

Pakua toleo maalum la Windows X Lite lenye ukubwa wa MB 800 tu

Bonyeza Hapa Kudownload (Direct Link)

Link salama na rahisi kupakua

UNAHITAJI MSAADA AU UNA CHANGAMOTO?

Wasiliana moja kwa moja kupitia WhatsApp au simu: 0620339260

Tutakusaidia kwa:

  • Ufungaji wa mfumo
  • Maswali kuhusu activation
  • Kutatua matatizo ya kuendana na vifaa

MAELEKEZO YA KUFUNGA (Installation Guide)

  1. Pakua faili kupitia link iliyotolewa.
  2. Tumia programu kama Rufus au balenaEtcher kuiburn kwenye flash (8GB au zaidi).
  3. Weka flash kwenye kompyuta na boot kupitia USB.
  4. Fuata maelekezo rahisi ya ufungaji. Mfumo hauna programu nyingi zisizo muhimu.

Fanya kompyuta yako iwe mpya tena kwa kutumia Windows X Lite.

© 2025 Windows X Lite. Haki zote zimehifadhiwa.

Kwa maswali au msaada zaidi, wasiliana nasi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top