Sura 43: Heat stress, cannibalism na matatizo yasiyoambukiza – Ufugaji wa Kuku Tanzania
SURA 43 Heat stress, cannibalism na matatizo yasiyoambukiza Si kila tatizo ni ugonjwa wa kuambukiza. Joto kali, msongamano, mwanga mkali, upungufu wa nafasi ya feeder, lishe isiyosawazika na msongo vinaweza kusababisha vifo, pecking au kushuka kwa uzalishaji. Kanuni za usimamizi Kwa vitendo, panting na wings spread kwa