Teknolojia, Elimu, Afya, Kilimo na Rasilimali za Tanzania
Pata makala mpya, miongozo ya vitendo, notes, kozi, zana za kidijitali, kilimo na ufugaji — zimepangwa ili ufikie unachohitaji kwa haraka.
Chagua unachotafuta
Kurasa kuu za Devine Vision Tech zimewekwa pamoja ili usipoteze muda kutafuta.
Notes za kozi za afya
Fungua moja kwa moja kitengo unachosoma.
Makala mpya kutoka Devine Vision Tech
Makala hizi hubadilika kiotomatiki kadri tunapochapisha maudhui mapya.

Sura 18: Kumbukumbu na Uchumi wa Mradi wa Nguruwe
Jinsi ya kuweka kumbukumbu za mradi wa nguruwe na kuhesabu faida halisi: gharama, mapato, na gharama kwa kilo ya nyama.

Sura 17: Matumizi Salama ya Dawa na Chanjo za Nguruwe
Jinsi ya kutumia dawa za nguruwe kwa usalama: kusoma lebo, kupima dozi, muda wa kusubiri kabla ya kuuza, na kuepuka usugu wa bakteria.

Sura 16: Magonjwa ya Lishe, Sumu na Matatizo ya Usimamizi
Matatizo yasiyo ya kuambukiza kwa nguruwe: msongo wa joto, upungufu wa vitamini, MMA syndrome kwa akina mama, na tail biting.

Sura 14: Minyoo na Vimelea vya Ndani vya Nguruwe
Aina za minyoo ya nguruwe Tanzania: Ascaris, minyoo ya tumbo, na Trichinella inayoweza kuambukiza binadamu — dalili, kinga na matibabu.

Sura 15: Vimelea vya Nje: Upele wa Nguruwe (Mange) na Chawa
Jinsi ya kutambua na kudhibiti upele wa nguruwe (sarcoptic mange) na chawa kwa nguruwe Tanzania.

Sura 13: Magonjwa ya Bakteria ya Nguruwe: Erysipelas, Pasteurellosis na Mengine
Magonjwa ya bakteria ya nguruwe: Erysipelas, Pasteurellosis, Colibacillosis na Brucellosis — dalili, kinga na matibabu.

Sura 12: Magonjwa ya Virusi ya Nguruwe: ASF, CSF na Mengine
Magonjwa ya virusi ya nguruwe Tanzania: Homa ya Nguruwe ya Kiafrika (ASF), Classical Swine Fever, Homa ya Miguu na Mdomo, na Parvovirus — dalili, kinga na hatua za dharura.

Sura 11: Kutambua Nguruwe Mgonjwa na Uchunguzi wa Nguruwe Aliyekufa
Jinsi ya kutambua nguruwe mgonjwa mapema, kusoma dalili, na kufanya uchunguzi wa nguruwe aliyekufa ili kujua chanzo cha ugonjwa.

Sura 10: Kinga ya Magonjwa (Biosecurity) na Ratiba ya Chanjo ya Nguruwe
Ratiba ya chanjo ya nguruwe Tanzania, na hatua za biosecurity za kuzuia ASF na magonjwa mengine kuingia bandani.

Sura 9: Uboreshaji wa Ufugaji wa Nguruwe wa Kienyeji
Jinsi ya kuboresha ufugaji wa nguruwe wa kienyeji Tanzania kwa hatua nne za msingi zisizohitaji uwekezaji mkubwa.

Sura 8: Ufugaji wa Nguruwe wa Nyama: Kutoka Kuachishwa hadi Kuuza
Mwongozo wa unenepeshaji wa nguruwe Tanzania: ratiba ya ukuaji, chakula, uzito unaotarajiwa, na wakati sahihi wa kuuza.

Sura 7: Ufugaji wa Nguruwe wa Kuzalisha: Jike na Dume
Mwongozo wa nguruwe wa kuzalisha: kutambua joto (heat), kupandisha, kusimamia mimba, na kuandaa kuzaa.
Kurasa muhimu za Devine Vision Tech
Hizi ni njia kuu za kuingia kwenye huduma na maktaba za tovuti.
Jinsi ya kutumia Blog hii
Anza Health Learning Hub au chagua Pharmacy, Radiography, Optometry, Nursing na kozi nyingine hapo juu.
Tumia kurasa za Degree au Diploma; zimepangwa kwa kozi, vigezo na taasisi.
Fungua Computer Materials kwa ICT, matumizi ya programu na miongozo ya teknolojia.
Fungua Agri Center kwa miongozo ya mimea, kuku, nguruwe na mada nyingine za shamba.
