Kozi za Afya (Degree) Tanzania – Mwongozo Kamili wa TCU

Kozi za Afya (Degree) Tanzania 2025/2026 — Mwongozo Kamili wa TCU
  Data halisi kutoka TCU Bachelor’s Degrees Admission Guidebook 2025/2026  |    Vyuo 11+ vya Afya  |  Kozi 40+ za Degree
Mwongozo Rasmi wa TCU 2025/2026

Kozi za Afya (Degree) Tanzania:
Vyuo Vyote na Vigezo vya Kuingia

Orodha kamili ya vyuo na kozi za afya katika ngazi ya shahada nchini Tanzania — data imechukuliwa moja kwa moja kutoka kwa Tanzania Commission for Universities (TCU).

11+Vyuo vya Afya
40+Kozi za Degree
6.0Pointi za Chini (Mengi)
2025/2026Mwaka wa Masomo

Utangulizi

Kila mwaka, maelfu ya wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita Tanzania wanajikuta katika mkanganyiko wa kuchagua chuo na kozi ya afya. Wengi hawajui vigezo halisi vya kuingia, uwezo wa vyuo, wala muda wa mafunzo. Mwongozo huu, uliotokana na TCU Bachelor’s Degrees Admission Guidebook ya mwaka 2025/2026, unakupa taarifa sahihi za kila chuo na kila kozi ya afya nchini Tanzania.

Taarifa hizi ni muhimu sana kwa kila mwanafunzi anayeomba udahili, mzazi anayemshauri mtoto wake, au mshauri wa elimu. Soma kwa makini, jijulishe, na ufanye uamuzi wa busara.

Ngazi ya Elimu

Kozi zote katika orodha hii ni za Degree (Shahada ya Kwanza) pekee — hazijumuishi Diploma wala Cheti.

Masharti ya Jumla

Sifa zinahusu Kidato cha Sita (A-Level). Mfumo wa pointi wa NECTA unaohesabwa kwa vipass vya masomo.

Masomo ya Lazima

Kozi nyingi za afya zinahitaji Chemistry na Biology kama masomo ya lazima ya A-Level.

Tahadhari

Vigezo vinaweza kubadilika kila mwaka. Thibitisha moja kwa moja na chuo au TCU kabla ya kuomba.

Vigezo vya Jumla vya TCU kwa Kozi za Afya

TCU imeweka vigezo maalum vya chini kwa ajili ya kozi zote za afya katika vyuo vyote Tanzania (Jedwali la 2 la Admission Guidebook). Jedwali hapa chini linaonyesha muhtasari wa vigezo hivyo:

Kozi ya Afya Masomo ya Lazima (A-Level) Pointi za Chini Muda wa Kawaida
Doctor of Medicine (MD / MBBS / MBChB) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau daraja D katika zote tatu. 6.0 Miaka 5
Doctor of Dental Surgery (DDS) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau daraja D katika zote tatu. 6.0 Miaka 5
Bachelor of Pharmacy (BPharm) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau daraja D katika zote tatu. 6.0 Miaka 4
Bachelor of Science in Nursing (BScN) Chemistry, Biology + moja ya Physics/Adv. Math/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology. 6.0 Miaka 4
Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS / BHLS) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 3
Bachelor of Science in Physiotherapy Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 4
BSc Environmental Health Sciences (BSc EHS) Chemistry, Biology + moja ya Physics/Adv.Math/Nutrition/Geography/Agriculture. Angalau C katika Chemistry. 6.0 Miaka 3
BSc Diagnostic & Therapeutic Radiography / Medical Imaging Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 4
BSc Radiation Therapy Technology (BSc RTT) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 4
BSc Prosthetic and Orthotics (BSc PO) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 4
BSc Physiotherapy (BSP) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 Miaka 4
BSc Optometry (BSO) Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau C katika Physics, D katika Biology, E katika Chemistry/Adv. Math. 6.0 Miaka 4
Bachelor of Biomedical Engineering Physics, Chemistry, Advanced Mathematics — angalau C katika Adv. Math na Physics, D katika Chemistry. Pia C katika Biology ya O-Level. 8.0 Miaka 4
BSc Audiology and Speech Language Pathology Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Angalau D katika zote tatu. 6.0 Miaka 4
BSc Occupational Therapy Physics, Chemistry, Biology — principal passes tatu. Biology ni lazima. Angalau D katika zote. 6.0 Miaka 4
BSc Clinical Nutrition and Dietetics / Food, Nutrition & Dietetics Chemistry, Biology + moja ya Physics/Adv.Math/Nutrition/Geography/Agriculture. Angalau C katika Chemistry/Nutrition/Agriculture/Biology. 6.0 Miaka 4
Bachelor of Health Services Management Principal passes mbili katika masomo mbalimbali (sayansi au sanaa). Hakuna masharti maalum ya sayansi. 4.0 Miaka 3

Ufafanuzi wa Pointi: Pointi zinazohesabwa ni zile za masomo matatu bora ya A-Level yanayolingana na kozi unayoiomba. Mfumo: A = 5, B = 4, C = 3, D = 2, E = 1, S = 0.5. Kwa mfano: Pointi 6.0 zinaweza kuwa D+D+D (2+2+2=6) au C+E+S na kadhalika. Vigezo vya gredi maalum (kama C katika Chemistry) ni vya lazima hata kama pointi zinafikia kiwango.

Vyuo Vikuu na Vyuo Vinavyotoa Kozi za Afya

Hapa chini ni orodha kamili ya vyuo vyote vilivyoidhinishwa na TCU kutoa kozi za afya katika ngazi ya degree kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Kila chuo kimeonyeshwa na kozi zake zote, vigezo, uwezo, na muda wa mafunzo.

Aga Khan University (AKU)

Dar es Salaam Chuo Kikuu
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Science in Nursing
AKU01
AKU01 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na Physics. Angalau C katika Chemistry na Biology, D katika Physics. Faida ya ziada kwa mwenye pass ya Kiingereza au Hisabati za O-Level. 6.0 30 Miaka 4

Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) — Bugando

Mwanza Chuo Kikuu Kanisa Katoliki
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Medical Laboratory Sciences CU001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 40 Miaka 3
2 Bachelor of Pharmacy (BPharm) CU003 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 50 Miaka 4
3 Doctor of Medicine (MD) CU004 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 170 Miaka 5
4 Bachelor of Science in Nursing (BScN) CU005 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics au Adv. Math au Nutrition. 6.0 50 Miaka 4
5 Bachelor of Science in Medical Imaging and Radiotherapy CU006 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 15 Miaka 4

Hubert Kairuki Memorial University (HKMU)

Dar es Salaam (Mikocheni) Chuo Kikuu
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Doctor of Medicine (MD) HK001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 123 Miaka 5
2 Bachelor of Science in Nursing (BScN) HK002 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics au Adv. Math au Nutrition. 6.0 60 Miaka 4

Kampala International University in Tanzania (KIUT)

Dar es Salaam Chuo Kikuu
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBChB) KUC15 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 100 Miaka 5
2 Bachelor of Pharmacy (BPharm) KUC16 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 80 Miaka 4
3 Bachelor of Medical Laboratory Sciences KUC17 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 80 Miaka 4

Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMUCo)

Kilimanjaro (Moshi) Chuo Kikuu KKKT
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Sciences in Health Laboratory KC001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 96 Miaka 3
2 Bachelor of Science in Physiotherapy KC002 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 35 Miaka 4
3 Doctor of Medicine (MD) KC004 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 170 Miaka 5
4 Bachelor of Sciences in Nursing (BScN) KC005 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics au Mathematics au Nutrition. 6.0 43 Miaka 4
5 Bachelor of Science in Occupational Therapy KC006 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Mathematics/Geography/Nutrition. 6.0 10 Miaka 4

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)

Dar es Salaam Chuo Kikuu cha Umma
Serikali
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Pharmacy MH001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 65 Miaka 4
2 Bachelor of Science in Environmental Health Sciences MH007 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Mathematics/Nutrition/Geography/Agriculture. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Adv. Math/Nutrition/Geography/Agriculture. 6.0 85 Miaka 3
3 Bachelor of Science in Diagnostic and Therapeutic Radiography MH008 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 25 Miaka 4
4 Bachelor of Science in Nursing (BScN) MH009 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Adv. Math/Nutrition. 6.0 60 Miaka 4
5 Doctor of Dental Surgery (DDS) MH010 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 55 Miaka 5
6 Doctor of Medicine (MD) MH011 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 210 Miaka 5
7 Bachelor of Biomedical Engineering MH014 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Advanced Mathematics. Angalau C katika Adv. Math na Physics, D katika Chemistry. Pia anahitaji angalau C katika Biology ya O-Level. 8.0 20 Miaka 4
8 Bachelor of Science in Physiotherapy MH016 Principal passes tatu na angalau daraja C katika Physics, Chemistry NA Biology (zote tatu lazima ziwe C au zaidi). 9.0 25 Miaka 4
9 Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS) MH017 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics. 6.0 80 Miaka 3
10 Bachelor of Science in Audiology and Speech Language Pathology MH018 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 10 Miaka 4
11 Bachelor of Science in Occupational Therapy MH019 Principal passes tatu katika Biology, Chemistry na Physics. Biology ni ya lazima. Angalau D katika Physics, Chemistry na Biology. 6.0 15 Miaka 4

St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)

Ifakara, Morogoro Chuo Kikuu Kanisa Katoliki
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Doctor of Medicine (MD) SF001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 150 Miaka 5

St. John’s University of Tanzania (SJUT)

Dodoma Chuo Kikuu Kanisa la Anglikana
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Bachelor of Pharmacy (BPharm) SJ005 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 80 Miaka 4
2 Bachelor of Science in Nursing (BScN) SJ006 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Adv. Math/Nutrition. 6.0 100 Miaka 4
3 Bachelor of Health Services Management SJ017 Principal passes mbili katika: History, Geography, Kiswahili, English, French, Arabic, Fine Art, Economics, Commerce, Accountancy, Physics, Chemistry, Biology, Adv. Mathematics, Agriculture, Computer Science au Nutrition. 4.0 100 Miaka 3

St. Joseph University College of Health and Allied Sciences (SJCHAS)

Dar es Salaam Chuo Kikuu
Binafsi
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Doctor of Medicine (MD) JDH01 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 170 Miaka 5

State University of Zanzibar (SUZA)

Zanzibar Chuo Kikuu cha Umma
Serikali
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Doctor of Medicine (MD) SZ001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 30 Miaka 5
2 Bachelor of Science in Environmental Health SZ004 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Mathematics/Nutrition/Geography/Agriculture. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Adv. Math/Nutrition/Geography/Agriculture. 6.0 45 Miaka 3
3 Bachelor of Science in Nursing SZ015 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics/Nutrition. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics/Adv. Math/Nutrition. 6.0 40 Miaka 3

University of Dodoma (UDOM)

Dodoma Chuo Kikuu cha Umma
Serikali
#Kozi (Programme)Msimbo Vigezo vya Kuingia (Form Six) Pointi za ChiniUwezo (Seats)Muda
1 Doctor of Medicine (MD) DM001 Principal passes tatu katika Physics, Chemistry na Biology. Angalau D katika Chemistry, Biology na Physics. 6.0 170 Miaka 5
2 Bachelor of Science in Nursing (BScN) DM002 Principal passes tatu katika Chemistry, Biology na moja ya Physics/Advanced Mathematics. Angalau C katika Chemistry, D katika Biology, E katika Physics au Adv. Math. 6.0 200 Miaka 4

Hitimisho: Hatua Inayofuata ni Yako

Ndoto yako ya kuwa Daktari, Mfamasia, Muuguzi, au Mtaalamu wa Maabara inaanza na uamuzi sahihi leo. Mwongozo huu umekupa data kamili — sasa ni wakati wako wa kutumia taarifa hizi kufanya maombi mazuri ya udahili. Kama una maswali zaidi kuhusu kozi, vigezo, au udahili, wasiliana nasi sasa hivi.

Data: TCU Admission Guidebook 2025/2026 Vyuo 11+ vya Afya Kozi 40+ za Degree

Kozi hizi huwa zina mkopo

Kozi za afya kama vile Udaktari, Famasia, Uuguzi, Maabara, na nyingine zinazotolewa na vyuo vilivyoidhinishwa na TCU mara nyingi hupata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB — Higher Education Students’ Loans Board). Mkopo huu husaidia wanafunzi wanaostahili kugharamia ada ya chuo, chakula, na mahitaji mengine ya masomo. Ili kujua kama unastahili na jinsi ya kuomba, tembelea tovuti rasmi ya HESLB.

Unahitaji Ufafanuzi Zaidi?

kwa taarifa zaidi, na Ushauri

Tunajibu haraka — ndani ya dakika 30

Devine Vision Tech — Mwongozo wa Elimu Tanzania

Chanzo: Tanzania Commission for Universities (TCU) — Bachelor’s Degrees Admission Guidebook 2025/2026

© 2025 Devine Vision Tech. Haki zote zimehifadhiwa. Data imetolewa kwa madhumuni ya kuelimisha tu — thibitisha na TCU au chuo husika kwa taarifa za sasa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top