Kila zana unayohitaji kwa ajili ya PDF
Zana zote unazohitaji kutumia PDF zipo hapa. Zote ni 100% BURE na rahisi kutumia! Unganisha, gawa, bana, badilisha, fungua na weka saini kwenye PDF kwa mibofyo michache tu.
Unganisha PDF
Unganisha faili za PDF kwa mpangilio unaotaka kwa urahisi zaidi.
Gawa PDF
Tenganisha ukurasa mmoja au seti nzima ili kubadilisha kuwa faili huru za PDF.
Bana PDF
Punguza ukubwa wa faili huku ukidumisha ubora wa juu wa PDF.
PDF kwenda Word
Badilisha faili zako za PDF kuwa hati za DOC na DOCX rahisi kuhariri.
PDF kwenda PowerPoint
Geuza faili zako za PDF kuwa mawasilisho ya PPT na PPTX rahisi kuhariri.
PDF kwenda Excel
Toa data moja kwa moja kutoka kwenye PDF kwenda kwenye lahajedwali za Excel haraka.
Word kwenda PDF
Fanya faili za DOC na DOCX ziwe rahisi kusoma kwa kuzibadilisha kuwa PDF.
PowerPoint kwenda PDF
Fanya mawasilisho ya PPT na PPTX yawe rahisi kutazama kwa kuyabadilisha kuwa PDF.
Excel kwenda PDF
Fanya lahajedwali za EXCEL ziwe rahisi kusoma kwa kuzibadilisha kuwa PDF.
Hariri PDF
Ongeza maandishi, picha, maumbo au michoro huru kwenye hati ya PDF.
PDF kwenda JPG
Badilisha kila ukurasa wa PDF kuwa JPG au toa picha zote zilizomo kwenye PDF.
JPG kwenda PDF
Badilisha picha za JPG kuwa PDF haraka. Rekebisha mwelekeo na pambizo kwa urahisi.
Weka Saini PDF
Saini mwenyewe au omba saini za kielektroniki kutoka kwa wengine.
Weka Watermark
Piga chapa ya picha au maandishi juu ya PDF yako. Chagua fonti na uwazi.
Zungusha PDF
Zungusha PDF zako jinsi unavyotaka. Unaweza kuzungusha PDF nyingi kwa mpigo!
HTML kwenda PDF
Badilisha kurasa za wavuti za HTML kuwa PDF. Nakili URL na ubadilishe kwa mbofyo.
Fungua PDF
Ondoa ulinzi wa nenosiri la PDF, ili uwe huru kutumia PDF zako unavyotaka.
Linda PDF
Linda faili za PDF kwa nenosiri. Simba (Encrypt) hati za PDF kuzuia ufikiaji usioidhinishwa.
Panga PDF
Panga kurasa za faili yako ya PDF unavyopenda. Futa au ongeza kurasa za PDF.
PDF kwenda PDF/A
Badilisha PDF yako kuwa PDF/A, toleo sanifu la ISO kwa uhifadhi wa muda mrefu.
Rekebisha PDF
Rekebisha PDF iliyoharibika na uokoe data kutoka kwa PDF yenye hitilafu.
Namba za Kurasa
Ongeza namba za kurasa kwenye PDF kwa urahisi. Chagua nafasi na mtindo.
Scan kwenda PDF
Nasa nyaraka kutoka kwenye simu yako na uzitume moja kwa moja kwenye kivinjari.
OCR PDF Mpya!
Badilisha PDF iliyochanganuliwa (Scanned) kuwa hati zinazotafutika na kuchagulika.
Linganisha PDF Mpya!
Onyesha ulinganisho wa nyaraka kando kwa kando na utambue mabadiliko kwa urahisi.
Ficha Maandishi PDF Mpya!
Ficha maandishi na picha ili kuondoa kabisa habari nyeti kutoka kwa PDF.
Punguza Ukurasa (Crop)
Punguza pambizo (margins) za hati za PDF au chagua maeneo maalum.
