Kiswahili Kidato cha Tatu – Uandishi wa Insha na Matangazo

Kiswahili Kidato cha Tatu – Uandishi wa Insha na Matangazo

Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.

Topic: Uandishi wa Insha na Matangazo

MADA YA SITA: ANDISHI WA INSHA NA MATANGAZO

Uandishi wa Insha za Kisanaa

Misingi ya Kuandika Insha

Insha za kisanaa ni insha zinazoelezea mambo ya kawaida katike jamii lakini kwa kutumia lugha ya kisanaa. Lugha ya kisanaa ni pamoja na matumizi ya tamathali za semi, misemo nahau, mothali na taswira

Muundo wa Insha

Kwa kawaida insha inakuwa na sehemu kuu nne: kichwa cha insha, utangulizi, kiini na hitimisho. a Richwa cha insha; Kiehwa cha insha hudokeva kile utachokijaili katika insha yako, hubainisha wazo kuu la made inayohusiks. Kwa kawaida kichwa cha insha huandikwa kwa sentensi fupi. Mfano; maisha ya kijijini, mimba za utotoni, , Utangulizi; Mambo yaliyopo katika utangulizi ni pamoja na kutoa fasili ya maneno muhimu na kuelezea kwa mubtasari mambo ambayo utakwenda Kuyajadili Katika insha

‘yako. Utangulizé unakuwa katika aya: moja fap. ©. Kiini cha insta; Katika kiini ndipo kuna maelezo ya kina ju ya kile unachokijadili katika insha yako, maclezo haya yanakuwa katika aya kadhaa kulingana na idadi ya hoje ‘ulizonazo katika mjadala wako.

  • Hitimisho: Hapa ndipo kuna mubtasari wa kile kilichojadiliwa katika kiini cha insha au

inawera kuwa ni msimamo juu ya kile kilichojaditiwa katika insha

Insha za Kisanaa

Insha ya kisonaa ni ile inayotumia lugha ya kisanaa yeani yenye tamathali za semi kama vile sitiari, tashbiba, taniaba na mubalagha, Aidha insha ya kisanaa hutumia mbinu nyingine za kisanaa kama tashitti, takriri, na tanakali sai. Vilevile insha za kisanaa hua na lugha zenye myuto na misemo kama nahau, methali na tamathali za semi.

Uandishi wa Matangazo

Tangazo ni taarifa za wazi zinazotoa ujumbe fulani kwa walengwa wanaohusika na ujumbe huo. Ujumbe unawweza kuwa na lengo la kushawishi, Kuarifu, kuclekeza, na kadhalika, Vipengcle vya Kuringatiwa katika Uandishi wa Miangazo Malengo ya matangazo

  • Kutoa taarifa;Lengo mojawapo la matangazo ni kutoa taarifa, mfaro wa matangazo yanayotoa

‘aarifé ni mialiko, tangazo la kifo, alama za barabarani, matangazo ya kazi.

  • Kuonya; Matangazo pia yana lengo la kuonya, kwa mfano matangazo kama vile ya kutovuta

sigara, UKIMWI na kadhalika.

  • Kushawishi; Matangazo pia yana lengo ls kushawishi, matangazo yenye lengo hill mara nyingi

ni matangazo ya biashara ambayo kwa kweli longo lake ni kushawishi wateja ili wanunue bidhaa a0, miangazo ya mialiko hasahasa ya tukio fulani, labda msanii anazindua albamu fulani na kaghalika.

Jinsi ya kuandika matangazo Ui tangazo liweze kufanikisha kufikia lengo lililokusudiwa kuna mambo kadhaa ya kufanya: mambo hayo ni kama yafuatayo:

  • Kichwa cha habaris Mara nyingi matangazo yanakuwa na kichwa cha habari, hit inasaidia

kujua kwa haraka kuwa tangazo linahusika na kitu gani

  • Kuonesha aina ya bidhaa/huduma; Hiki néicho kiini cha tangazo, hapa tangazo linaonesha

ujumbe uliokusudiwa kufikishwa kwa wahusika, sasa ujumbe huu waweza kuwa ni bidhaa inayotangazwa au huduma inayotolewa au kazi inayotangazwa au mvvaliko unahusw nini.

  • Anwani: Hapa tangazo linaonesha mahali ambapo watoa tangazo walipo. yaani ofisi zag zilipo

ambapo wahusika wa tangazo wanaweza kwenda na kuwakuta. Kama ni tangazo la mwaliko basi ni Iszim lionesha shughuli yenyewe itafanyike Wap

  • Njia za mawasiliano; Kama ni tangazo la biashara au ta kazi au la rwaliko ni muir kutoa

mawasiliano. Mawasiliano hayo yanaweza kuwa ni namba ya simu, fax, wavuti (kwa taarifa rai), barua pepe. Mbinu za uandishi wa matangazo Hii tangazo liweze kuvuta umakini wa watu ni lazima liwe na mwonekanao fulani. Zifuatazo ni mbinu za vandishi wa matangazo.

  • Matumizi ya picha; Matangazo mengi ya biashara huwa yanaambatana na picha, picha hizi

hujaribu kumshawishi mteja aomini kuwa ile bidhaa ni bora na hivyo ni muhimu kuwa nayo au kninumua

  • Maneno machache; Matangazo hutumia maneno machache kwa lengo la kutomehosha

mlengwa lakini wakati huohuo maneno hayo yana nguvu ya kumshawishi mlengwa,

  • Lugha ya kisanii; Maneno ya kisanii katika matangazo huwa ni mepesi kukumbukwa na huwa

yanaeleweka kirahisi. Kwa mfano, matumizi ya vivumishi, itakuwa ni bonge Ia shoo, ajoo Uyinunulie pamba za ukweli,n.k. Matumizi ya mubalagha, kwa mfano; mtandao unaoongaza Tanzania, mganga bingwa afrika mashariki na kati nk

  • Matumizi ya watu maarufu; Motangazo mengi hususani ya bioshara hupende kutumia watu

maarufi ili kuwashawishi walengwa, Kwa mfano kama ni tangazo juu ya bidhaa fulani, huweza kumwonesha pengine msanit maarufu, miss Tanzania, au mchezajia mpira maarufu. Sasa mlengwa anapoona kwamba hata mtu maarufu anatumia hiyo bidha, anashawishika na yeye kuituria

Get Well-Formatted PDF Notes

For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.

GET WELL-FORMATTED PDF NOTES

banner
Scroll to Top