Kiswahili Kidato cha Tatu – Ngeli za Maneno

Kiswahili Kidato cha Tatu – Ngeli za Maneno

Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.

Topic: Ngeli za Maneno

MADA YA KWANZA: NGELI ZA MANENO

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeti za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayo fanana Mfano: a. Maj yakimwagika hayazoleki b Mayai yaliyooza yananuka sana Yai ililooza linanuka sana

  • Majéliliomwagika halizoleki

Katika mifano hii tungona kwarha sentensi a, bna ¢ ziko sabihi wakati sentensid sio sakii, hii ni kwa sababu imekiuka upatanisho wa kisarufi. Kwa maana hiyo sentensi ‘a" ipo katika ngeli ya YA-YA na senthensi b na ¢ zipo katika ngcli ya LI-YA. Sentesi d sio sabihi kwa sababu nomino maji haina wingi, kw hiyo haiwezi kuingia katika ngeli ya LEY. Kwa msingi hum ngeli za nomino huzingatia sana upatanisho wa kisarufi Jedwalilifuatalo huonesha ngeli za nomino kwa misingi ya upatanisho wa kisarufi

NGELI UPAFANUZI MIFANO

‘Sungura mjanja ameumia Ngeli hi inahusisha majina ya viumbe hai kama vile Sungura wajanja wameuria A-WA ——wanyama, watu, wadudu, ndepe n.k Miku arenas Majina yenye kiambaisha awali /i- katika umoja na ya Jambia la babu limepotea Majambia ya LEYA —_katika wingt huingia katika ngeli hii babu yamepaticana Ni ngeli ya majina ya vitu visivyo hai, yanayoanza kwa KL au CH- (amoja); na VI-au VY- (wingi), Pia ngeli hii Chakula kimekwisha

hujumuisha majina ya vitu vingine katika hali ya udogo Vyakula vimekwishe Kijito Kimekauka KLVE kx, kijito, kilimma Vijito vimekauka Howakilisha majina ya vitu visivyo bai, yaanzayo kwa Mima ameporomoka sauti M-(umoja) na MI (wingi). Pia mayina ya baadhi ya Mulima imeporomoka Mkono zmevun viungo vya mwili huingia humu, kewa mfano mkono, — Mikono émevunjika Mito hu rs a wt mgua, mkia nk ‘wengi Mito hii ina mamba wengi

Hurejelza majina ambayo huanza kwa U- (moja) na Fhuchukua ZI- kama kiambishi kiwakilishi cha ngeli katika wingi, Majina yenye silabi tatu au zaidi ‘Ukuta umebomoka Kuta zimebomoka bubadilishwa kwa wingi kwa kutoa sauti /iv"k.v ukuta- Wimbo uu anavutia Nyimbo uta. Majina ya silabi mbili huongezewa /ny/ katika _hizi navutia Ufa umeonckana UAL wwingi, ky ufa – nyua Nyufa zimeonckana Hutumiwa kwva majina yasiyobadilika kiwa umoja wala

wa wingi lakini huchukua viambishi viwakilishi tofauti: Nyumba fmejengwa Nyumba zimejengy Lat (umoja) na ZI- (Wingi) Salarn imetika Salam zimefika Ngoli hit inajumuisha nomino ambazo ina kiambishi Ukuu umekuponza Makunt yamekupor U-YA wali u katika umoja na ma- katika wingi. ‘Unyoya mapepea Manyoya yamapepea KU Majina yanayotokana na vitenzi yanayoanza na ku-_Kuisoma kwako Aumekusaidia (vitenzi-jina) Kuchelewa kirmemponza

Amekaa pale palipo na wadudu wengi Amelala mule mulirnojaa siafu. PA/MU/KU- Huonesha mahali Amepita fiele mbali Baadhi ya matumizi ya ngeli ni pamoja na haya yafuatayo:

  • Hutumika kupanga majina ya Iugha katika makundi yaliyoshikemana na kutofungamana

kutokana na kigezo mubinnu

  • Hutumika kutambutisha maumbo ya umoja na wingi katika majina na vivumishi.
  • Hutumika katika upatanishi wa kisarufi katika sentensi
  • Hutumika katika kuonyesha ubusiano ulfopo baina ya higha za Kiswahili na lugha 7ingine

Habari zenye Upatanishi wa Kisarufi Baadhi ya matumizi ya ngeli ni pamojana haya yafuatayo:

  • Hutumika kupanga majina ya ugha katika makundi yaliyoshikamana na kutofungamana

kutokana na kigezo muir

  • Hutumika kutambutisha maumbo ya umoja na wingi katika majina na vivumishi.
  • Hutumika kotika upatanishi wa kisarufi katika sentensi
  • Hutumika katika kuonyesha ubusiano uliopo baina ya lugha za Kiswahili na lugha zingine

Get Well-Formatted PDF Notes

For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.

GET WELL-FORMATTED PDF NOTES

banner
Scroll to Top