Skip to main content

Kiswahili Kidato cha Tatu – Utungaji wa Kazi za Fasihi Andishi

Kiswahili Kidato cha Tatu – Utungaji wa Kazi za Fasihi Andishi

Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.

Topic: Utungaji wa Kazi za Fasihi Andishi

MADA YA TANO: UTUNGAJI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI

Utungaji wa Hadithi

Mikondo ya Hadithi

Kazi za fesihi andishi ni sanso, yaani zinahitayi ubunifu wa mwvandishi ii ziwe katika muwonekanso huo wa kisanaa. Fasihi andishi hurumia lugha na wala sio lugha tu bali lugha ya kisanca, kama tulivyokwishaona katika mada zilizotangulia kwambe lugha mi kipengele muhirau sana katika fasihi Hi kazi ya kifasihi ya msanii husika iwe nzuri na ya kuvutia, masanii han budi kuwa na ubunifu wa hali ya ju Katika kuturia Iugha.

Msanii awe na uwezo wa kupangilia mancno, kuteua manero Katka hal ya ujumi lakini pia yakiwa yamebeba ujumbe unaoigusa hadhira yake. Kwa maana hii mwandshi wa kazi za kifasii, ive riwaya au tamthlia ni lazima azingatic sana lugh, kwani lugha ndio nyenzo kuu ya usanaa wa fasihi kwa ujumla.

Kuna hatua kadhaa za kuzingatia wakati wa kuandika kazi ya kisanaa, hatua hizo ni kama “Afuataza:

  • Kuwa na kisa/wazo unalotaka kuliandikia: Katika jamii kuna mambo mengi sana

yanayotendcka, msanii anaweza kupata wazo la kiubunifs kutokana na mambo hayo yanayotendeka katika jamii. Kama tujuavyo fasibi andishi kazi yake ni kuonesha yale Yyanayotendcks katika jamil, kwa hiyo msanii anaweza kutumia fursa hiyo ili kuwoka wazi mambo yanayoendelea Katika jamii, Kwa mfano movandishi naweza kutunga kazi ya kibunif kuhusu, ufisadi, umasikini, mapenzi, ndoa, maisha yake mwenyewe, ushirikina, jambo lolote

analoliamini katika maisha (falsafa yak), Kwa hiyo hatua ya kwanza kwa msanit kabul ya kuandika ni kuelewa vizurijambo analotaka kuandikia, Pia katika hatua hii msanii anaweza kubuni ina la hadithi yake, pia hi inaweza kumsaidia katika upangaji wa visa na matukio ya hadith yake

  • Kuchagua umbo la kazi ya fasihiz Msonitakishapate wazo Ia kuandika, sasa inambidi achague

Jinsi atakavyoliwasilisha wazo lake ilo. Yani anaweza kuchagua endapo aandike hadithi fui, riwaya au tamthiliya, au ushairi au utenzi, Sasa uchaguzi wa umbo la kazi ya fasibi unategemeana na uwe7o wa msanii katika tanzu hizo, kuna muvingine anapenda tamhiliya lakini xuandika riwaya hawezi, kune mwingine anaona kuandika ushaiei ni rabisi na kuna mwingine hawezi. Kwa hiyo ubunifu wa msanii utadbbirika katika wianzu ule anaoumudu vizuti zai

  • Kubaini hadhira: Mwandishi kujua yule anayemoandikia ni suala la msingi sana. Hadhira ipo

ya watu wa aina mbalimbali, watoto, watu wazima, wasomi, wenye simu ndoge, wakulime, wanasiassn.k, Sasa mwandishi akishabaini hadhira anayoindikia itamsaidia kuteua lugha ya kuandikia, kwa mfano kama ni watoto, hatutegemei mwandishi kutumia Iugha ngumu, misemo na nahau nying

  • Kubuni wahusika na mandhari: Movandshi baad ya kujua kazi yake inahusw nini ssa

inambidi abuni wabusika wa hadithi yaks. Wahusika wanaveza kuwa ni watu, wanyama, mimea, mazimwi, malaika n.k. Pia ni lazima abaini mazingira ambamo visa vyote vya hadithi na matukio Yotakapofanyika, Mandhari yanaweza kuwa baherini,kijijni, mini, mbinguni, kuzirm nk

  • Kupanga msuko wa visa na matukio: Msuko wa visa na matukio ni muhimu sana katika

usimulizi wa hadithi, Sasa kama mwandishi amacamua kuwasilisha kazi yeke kwa njia ama ya hadithi fupi au riwaya au tamthiliya ni vena ajue namo Visa na matukio vitekavyopangwa Katika kufanya hivi maswali yafuatayo ni muongozo mzuri katika kupengilia ploti: Hadithi yangu itaanzaje? Mgogoro utaanzaje? Ni kati ya nani na nani” Je, kilele cha mgogoro ni nini? Je, ni mhusika mkuu kubakwa na kuambukizwa VV? Hadithi yangu inaishaje? Je mbusika mkuu

ashindwe? Atorokes nje ya nchi? Afimgwe? Abadilike Au maadui ndio wafangwe au wafe? Au wabadilike?

  • Kuanza kuandika: Sasa bacda ya kupitia hatua hizo zote, mwandishi sasa anaweza kuanza

Kuandlika. Mchakato wa kuandika hus ni mrefu na mwandishi anaweza kujikuta anafita mara ayingi kile aichokiandika, hit ni kutokana na kwamba mambo mengi ya kuandika bua ‘yanakuja waksti mwandishi ameanza kuandika kazi husika. Hata hyo sio vibaya kufanys hivi, hii pia inasaidi kuwa na 220 bora la fasibi.

Utungaji wa hadithi Hadithi ni masirmulizi ya kubuni yaliyoandikwa kinathari inaweza kuwa:na wabusika wengi, mmatukio mengi na mandhari mapana (inategemens na sina ya haiti, iwapo ni hadithi fupi wahusika wake huwa ni wachache na pia matukio ni machache, mandhan yake pia ni finy).

Kuna aina zifuatazo za hadithi kulingana na kigezo cha urefu au maudbui. Kwa kigezo cha urefi kuna Hadithi Fupi na Riwaya. Kutokana na maudhui kuna Riwaya Dhati na Riwaya Pendwa. Riwaya dhati ni ile zinarozangumzia masuala mubimu ya kijamii, kara vile wonevu wa tabaka la chini, rushwa, uongozi mbovu mk Riwaya pendwa ni hadithi zenyc lengo la kuburudisha, kutokana na usimuliaji wake uliojaa taharuki na fantasia, Mambo yanayosimuliwa katika riwaya hizi ni yale yanayoguss hisia za

watu koa urahisi kama vile mapenzi, mauaji, ujasusi n.k Mikondo ya uandishi wa hadithi Mondo wa hadithi ni myvelekco ambso mvandishi anaufuata katika utunzi wa kazi yaks. Mikondo ya utunzi wa hadithi ni pamoja na hii ifaatayo: , Mkondo wa kiwasifu; mondo hou hubusisha hadithi zote zinazosimulia maisha ya wwatu. Niriwaya ambayo inasimulia maisha ya mtu toka alipezaliwa hadi wakatihuo.

2 Mondo wa kitawasifus hadithi inazofuata mkundo hu ni zile zinazosimulia maisha ‘ya mtu binafsi yaani mwandishi mwenyewe. Kwa mfano riwaya ya “maisha yangu baada ‘ya Miaka hamsini".($.Robert)

  • Mkondo wa kihistoria; hadithi Katika mkondo huu zinahusu matukio ya kweli ya

kihistoria yaliyotokea. Kwa mano riwaya ya “Uhuru wa Watumva” 4, Mkondo wa kipeleleri hiri ni hadithi zinazovungumcia upeleteri wa uhalif fulani kama vile ujambazi, wizi, rushwa, mavaji nk 5, Mkondo wa kimapenzi katika mkondo huu zinaingia riwaya zote zinazozungumszia masuala ya mapenzi Utungaji wa hadithi fupi Kama tulivyokwisha ona hapo nyuma sifa za hadith fupi, basi katika utungaji wake mambo yafuatayo ni sharti yazingatiwe:

, Hadithi fupi inakuwa na mhusika mkuu mmoja ambaye anajitokeza sana kuliko wahusika wengine 2 Idadi ya wahusika ni ndogo ukilinganisha na wahusika wa kwenye riwaya 3, Mandhari ya hadithi fupi si mapana kama ilivyo katika riwaya

  • Hadith: fupi inakuwa inaongelea dhamira kuu moja tu ambayo inaonckana toka mwanzo

hhacli mwisho wa hadithi.

Utungaji Wa Kazi Za Fasihi Andishi

Utungaji wa Hadith

Mikondo ya Hadithi

Kazi za fasihi anishi ni sana, yaani zinahitaji ubunifu wa mwandishi ili ziwe katika mwonckanao huo wa kisanaa. Fesihi andishi hutumia lugha na wala sio lugha tu bali ugha ya kisanaa, kama tulivyokwishaona katika mada zitizotangulia kwamba lugha ni kipengele muhimu sana katika fasihi. Ili kazi ya kifasihi ya msanii husika iwe nzurina ya kuvutia, masanii hana bod’ kuwa na ubunifiy wa haliya juu Katika kutumia lugha Mosonii awe na uwezo wa kupangilia maneno, kutcua mancno katika hali ya ujumi lakini pia

yakiwa yamebeba ujumbe unaoigusa hadhira yake, Kwa maama hii mwandshi'wa kazi za kifasihi, iwe rivaya au tamthlia ni lazima azingatie sana lugha, kwani lugha ndio nyenzo kuu ya usonaa we fasih kwa wjumla, Kuna hatua kadhaa za kuzingatia wakati wa kuandika kazi ya kisanaa, hata hizo mi kama vifuntazo:

  • Kuwa na kisa/wao unalotaka kuliandikia: Katika jamii kuna mambo mengi sana

yanayotendeka, msanii anaweza kupata wazo la kiubunifu kutokana na mambo hayo yanayotendcka katika jamii. Kama tujuavye fasihi andishi kazi yake ni kuonesha yale yanayotendeka katika jamii, kwa iyo msanii anaweza kutumia fursa hiyo ili kuweka wazi mambo yanayocndelea katika jamii, Kwa mfano mwandishi naweza kutunga kazi ya kibunif kuhusu, ufisadi, umasikini, mapenzi, ndoa, maisha yake mwenyewe, ushirikina, jambo lolote

analoliamini katika maisha (falsafa yake), Kwa hiyo hetua ya kwanza kwa msanii kabala ya kuandika ni kuelewa vizuri jambo analotaka kuandikia, Pia katika hatua hii msanii anaweza kubuni jina la hadith yake, pia hii inaweza kumsaidia katika upongaji wa visa na matukio ya hadith yake.

  • Kuchagua umbo ta Kazi ya fasihis Msonii akishapata wazo la kuandika, sasa inambidi achague

jimsi atakavyoliwasilisha wazo lake hilo. Yaani anaweza kuchagua endapo aandike hadith fupi, riwaya au tamiliya, au ushairi au utenzi: Sasa uchaguzi wa umbo la kazi ya fasihi uunategemeana na uiwezo wa msanii Katika tanzu hizo, kuna mwingine anapenda tamthiliya lakini kuandika rimaya hawe7i, kuna mwingine anaona kuandika ushairi ni rahisi na kuna mwingine hawezi. Kwa hiyo ubunifu wa msanii uiadhihirika katika utanzu ule anaoumudu vizuri zaidi

  • Kubaini hadhira: Mwandishi kujua yule anayemvvandikia ni suela la msingi sana, Hadhira ipo

ya watu wa aina mbalimbali, watoto, watu wazima, wasomi, wenye elimu ndogo, wakulima, wanasiasa n.k. Sasa mwandishi okishabaini hadhira aneyoindikia itamsaidia kuteua lugha ya kuandikia, kwa mfano kama ni watoto, hatutegemei mwandishi kutumia lugha ngumu, misemo na nohau nyingi.

  • Kubuni wahusika na mandhari; Movandshi boda ya kujua kazi yoke inalusw nini sas

inambidi abuni wahusika wa hadithi yake. Wahusika wanaweza kuwa ni watu, wanyama, mimea, mazimyri, malaika n.k. Pia ni lazima abaini mazingira ambamo visa vyote vya hedithi na matukio yatakapofanyika, Mandhari yanaweza kuwa abating, kijijini, mjini, mbinguni, kuziraw nk

  • Kupanga msuko wa visa na matukio: Msuko wa visa na matukio ni muhimu sana katika

usimulizi wa hadithi, Sasa kama muandishi amaeamua kuwasilisha kazi yake kwa aja ama ya hadithi fupi au rivaya au tamthiliya ni vera ajuc narana visa na matukio vitakavyopangwa. Katika kufanya hivi maswali yafuatayo ni muongozo mzuri katika kupangilia plot: Hadithi yangu iteanzaje? Mgogoro utsanzajc? Ni kati ya nani na nani” Je, kilele cha mgogoro ni nini? Jo, ai mhusika mkuu kubakwa na kuambukizwa VWU? Hadithi yangu inaishaje? Je mhusika mkua

ashindwe? Atorokes nje ya nchi? Afungwe? Abadilike Au mzadui ndio wafungwe au wafe? Au wahadilike?

  • Kuanza kuandika: Sasa baada ya kupitia hatua hizo zote, mwandishi sasa anaweza kuanza

kuandika. Mchakato wa kuandika hua ni mrefi'na mwandishi anaweza kujikuta anafita mara ying! kile aichokiandika, hii ni kutokana na kwamba mambo mengi ya kuandika buwa yanakuja wakati mwandishi ameanza kuandika kazi husike. Hate hyo sio vibaya kufanya hivi, hii pia inasaidi kuwa na 7a0 bora la fash Utungaji wa hadithi Hadithi ni masimulizi ya kubuni yaliyoandikwa kinathariinaweza kuwa na wahusika wengi, matukio mengi na mandhari mapana (inategemcna na aina Ya hadith. iwapo ni hadithi fupi

waluisika wake hua ni wachache na pia matukia ni machache, mandhari yake pia ni finyu) Kuna aina zifuatazo za hadithi kulingana na kigezo che urefu au meudbus. Kwa kigezo cha urefu kuna Hadithi Fupi na Riwaya. Kuokana na maudhui kuna Riwaya Dhati na Riwaya Pendwa Riwaya dhati ni zile zinazozungumzia masuala mum ya kijani, kama vile wonevu wa tebaka la chini,rushwa, wongszi mbova mk Riwaya pendwa ni hadithi zenye lengo la kuburudisha, kutokana na usimuliaji wake uliojaa

taharuki na fantasia. Mambo yanayosimuliwa katika riwaya hizi ni yale yanayogusa hisia za watu kwa urahisi kama vile mapenzi, mauaji,ujasusi nk Mikondo ya uandishi wa hadithi Mondo wa hadithi ni mwelekeo ambao mwandishi anaufuata katika utunzi wa kazi yake Mikonde ya utunzi wa hadithi ni pamoja na biiifuatayo:

  • Mkondo wa kiwasifus mkondo huu huhusisha hadithi zote zinazosirmlia maisha ya

wwatu. Ni riwaya ambayo inasimulia maisha ya mtu toka alipozaliwa hadi wakatihuo. 2, Mkondo wa kitawasifus hadithi zinazofuata mkundo huu ni zile zinazosimulia maisha ‘ya miu binafSi yaani mwandishi mwenyewe. Kwa mfano riwaya ya “maisha yangu baada ‘ya Miaka hamsini”. (S.Robert) 3, Mkondo wa kihistoria; hodithi katika mkondo huu zinahusu matukio ya kweli ya kihistoria yaliyorokea. Kwa mfano riwaya ya “Uhuru wa Waturnva"

4, Mkondo wa kipeletezt hizi ni hedithi zinazozungumzia upelolezi wa uhalifu fulani kama vile ujambavi, wizi, rishwa, mauaji nk 5, Mkondo wa kimapenzi; katika mkondo hou zinaingia riwaya zote zinazozungumszia masuala ya mapenzi, Utungaji wa hadithi fupi Kama tulivyokwisha ona hapo nyuma sifa za hadithi fupi, basi katika utungaji wake mambo yafuatayo ni sharti yazingatiwe: Hadithi fupi inakuwa na mhusika mkuu mmoja ambaye angjitokeza sana kuliko wahusika

2, Idadi ya wahusika ni ndogo ukilinganisha na wahusika wa kwenye riwaya.

  • Mandhari ya hadithi fupi si mapana kama ilivyo katika riwaye

4 Hadithi fupi inakuwa inaongelea dhamira kuu moja tu ambayo inaonekana toka mwanz0 hadi mwisho wa hadith

Get Well-Formatted PDF Notes

For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.

GET WELL-FORMATTED PDF NOTES

Scroll to Top
Changia Notes / Document