Skip to main content

Kiswahili Kidato cha Tatu – Uhakiki wa Kazi za Fasihi Andishi

Kiswahili Kidato cha Tatu – Uhakiki wa Kazi za Fasihi Andishi

Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.

Topic: Uhakiki wa Kazi za Fasihi Andishi

Maana ya Uhakiki

tunaweza kuscma, uhakiki ni uchambuzi wa kina wa kazi za fasihi kama vile riwaya, tamthiliya

Kuhakiki Fani

Mtindo Kiva mfano, namna msanii anavyotumia lugha, anavyotcua msamiati, namna anayyosimulia Kuna aina mbili za kupangilia matukio 2, Urejeshi; huu mi usimuliaji wa kurukaruka hatua, yaani msimuliaji anaweza kuanzia Wahusika; ni watu au viumbe ambavyo mwandishi wa fasihi huwatumia ili kufanikisha ujumbe ka jam husika, Katika kazi ya fasihi mwandishi huwagawa wahusika katika makundi mawili yan wahusika wakuu na wahusika wadogo.

Wahusika wakuw ni wale ambso wanajitokeza kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa kazi ya fasihi. Wahusika wadogo ni wale wote ambao wanajitokera schemu mbalimbali katika kazi ya fasihi kwa mfano, mwanzoni mwa kitabu hadi mwishoni mwa kitabu, Wohusika hawa wawe ni wakuu au wadogo wanaweza kugewanyika katika makundi yafuatayo: 1 Mhusika mviringo ni mhusika ambaye ansbadilika kitabia na kimawazo kulingana na hali halisi ya maisha, Kwa mfane wanaweza kusnza kama watu Wema lakini hal ya

maisha ikawabedilisha na kuwa watu wabaya au wanaweza kuanza kama watu wabaya ns hali ya maisha ikawabadilisha na kuwa watu wema. 2, Mhusika bapa ni mhusika ambaye habadiliki kulingana na hali halisi ya maisha. Mfano: ‘kama ni mwema basi atakuwa mwema kuanzia mwanzo wa hadithi hadi mwvisho na kama ni mbaya basi atakuwa mbaya kuanzia mwanzo wa hadithi hadi mwisho, 3, Mhusika shinda yuko katikikati ya mhusika papa na mviringo. Huongozwa na matendo

‘ya hao wahusika wawili, Hajitokezi na msimamo wake imara Mandhari Mandhari; hit ni sehemu ambayo matukio ya hadithi au masimulizi hutokea. Mandhari huweza kuwa halisi kama vile baharini, njiani, msituni, Kijiji, mijini au ya kufikirika kama vile kuzimu, mbinguni, peponi rk Lugha Lugha ndio nyenzo kubwa ya msanii katika kazi za fasihi, miongoni mwa vipengele vya lugha ni tamathali za semi pamoja na semi

Foni za Lugha

  • Tanakali za Sauti: Ni mbinu ya kutumia maneno yanayoiga sautiau hali fulani au namna

kitendo kilivyo fanyike.

  • ‘Tashbiha: Hit ni mbima ya lugha inayolinganisha vitu au hali mbili tofauti kwa kutumia mancno

ya kulinganisha; ‘kama’, ‘mithli ya", ‘sawa na’, ‘ja". mfano, Mwembamba kama sindano,

  • Tashihisi: Hii ni mbinu ya kupatia kitu kisicho hai sifa za kiumbe mwenye ubai (sifa za

kibinedamu). Mfano, *Sungure aliposhindwa, akascma sizitaki hizi mbichi’.

  • Takriré: Ni mbinu ya kurudiarudia neno moja au kifungu cha maneno ili kusisitiza ujumbe

fulani, Mfano, alikimbia, alikimbia, alikimbia hadi akashika nafasi ya kwanza.

  • Ukinzani: Ukinzani ni mbinu ya kusisitiza ujumbe kwa kuambatanisha maneno ya kinyume a

yanayokinzana.

  • Sitiari: Ni mbinu ya kulinganisha vitu viwili moja kwa moja kwa kutumia kiungo ‘ni’ ama

*kuwa". Mfiano; Maisha ni mima, uma ni mwamba

  • Taswira: Ni matumizi ya lugha/maneno yanayojenga picha ya hali au jambo falani kwa

msomaji

  • ‘Taashira: Ni matumizi ya lugha ya ishara kuwekilisha ujumbe fuleni. Jina au kita fulani

kinatumika kumaanisha kitu kingine ehenye ubusiano na kil kilichotumiwa,

  • Jazanda: Ni kulinganisha vit viwili moje kwa moja bila kutumia viunganishi
  • Majazi: Majazi ni pale tabia za wahusika zinapoambstana na majina yao halisi
  • Lakabu: Ni mbinu ya mhusika kupewa/kubandikwa jina na wabusika engine ama yeye

mwenyewe kujibancika jina linalooana na tabia/sifa zake.

  • Chuku: Ni kutumia maneno yaliyotitiwa chumyi ili kusisitiza ujumbe fulani au kusifia kitu,

kutilia Chumyi. Semi Ni fugu la maneno Tingpotumika kutos meana nyingine, badala ya ile ya maneno yaliyotumike. Semi hutumika kuficha ukali wa maneno au kupamba lugha. Kuna aina mbili 2a semi:

  • Nahou—ni usemi unaotumia maneno ya kawaida kwa lengo Ia kufikisha maana iliyotofauti na

maana ya kawaida ya maneno hayo, Nahaw huwa na vitenzi » Misemo —ni semi fupifupi ambazo hutumiwa mara kwa mara kwa lengo la kuleta maana maalumu, Misemo haina viten2i

  • Maswali ya Balagha: Tashititi ou maswali ya balagha ni maswali yanayoulizwa na msimulizi au

mhusika ambayo hayabitajijibu,

  • Urungumzi Nafsiya: Mhasika hujizungumzia, ama kwa kuongea au kuwaza, bila kukusudia

kusikika na yeyote,

  • Rififaa: Mbinu ya kuzunguma na mtu aliyekufa (au asiyekuwepo) kana kwambs yuko pamoja
  • Kuchanganya Ndimi: Kuweka mancno yasiyo yo Kiswahili katika scntensi ya Kiswahili.

Mano, “alisimama kwanza kwa muda, before he went aliniambia nisimwambie mtu yeyote yule, you know!"

  • Kuhamisha Ndimi: Ni kuingiza sentensi ya lugha nyingine katika kifumgu chat lugha ya

Kiswahili. Kinyume na Kuchangonya ndimi (ambapo mwandishi huchanganya maneno katika sentensi moja, katika kuhamisha ndimi, sentensi kami ya higha nyingine hutumika miongoni mwa sentensi za Kiswahili sanifu. Mfano: Kazi hit ni ngumu sana, sitaweza kuifanya. People are trying to convince me to stay here but I think I can't, must go!

  • Mathali: Methali ni misemo ya hekima yenye maana iliyofumbwa, Mhusika, mwandishi wa

fasihi anavveza kutumia methali kupitisha ujumbe, Mbinu nyingine za Kisanoa

  • Rimaya: Kinaya ni mambo katika sana kuwa kinyume na matarajio ya hadhira
  • Kejeli: Kejeli ni mbinu ya Sanaa inayotumia maneno kudharau au kukemea kitendo au mtu

fualani. +) Taharwki; Taharuki ni mbinu ya kusimulia aw kuandika riwaya/hadithi kwa kufanya hadhira niv/au wahusika wajawe na hamu ya kutaka kujua kitakachotokea baadaye; hamu ya kutaka kuendelea kusoma/kusikiliza. Boodhi ya hadithi huishia kwa taharuki na kuilazimisha hadhira yake ijikamilishie au ibaki ikijiuliga maswali,

  • Sadfa; Sadfa ni kugongana kwa vitendo viwili vinayyohusiana kana kwamba vilikuwa

vimepangwa, japo havikuwa vimepangiwa

  • Kisengere Nyuma; Mwandishi ‘hurudi nyuma” na kuanza kusimulia kisa kilichokuwa

kimetendeka kabla yo alichokuwa akisimulia, Aidha, mwandishi hubadilisha wakati wa masimmlizi na kuwa wakati wa kisa hicho. Flutumika sarm kuonyesha mhusika anapokumbuka kitu, ou kutupatia msingi wa jinsi mambo yalivyoanza.

  • Kisengere Mbele: Mwandishi anapobadilisha wakati na kusimulia mambo yatakavyokuwa siku

za usoni; au kutumia lugha isiyo moja kwa moja kutabiri yatakayojiri. Utabii

Kuhakiki Maudhui

Maudiui; Maudhui katika kazi ya fasihi ni jumla ya mawazo yote yanayozungumewa pamoja na itazame wa mwandishi juu ya mawazo hayo, Maudhui hujumuisha mawazo pamoja ra mafunzo mbalimbali yaliyomsukuma msanii hadi akatunga na kusanii kazi fulani ya kifasihi. Vipengele vga maudhui ni pamoja na dhamira, migogoro, falsafa ujumbe na msimamo, 1 Dhamira; hili ni wazo kuu au mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika kayi ya fasihi

Dhamira ni schema tu ya maudhui na aghalabu dhamira kun ndio hujenga kiini cha kazi ‘ya fasihi, Dhamira zimegawanyika katika makundi mawili, kuna dhamira kuw na dhamira ndogondogo.

2, Migogoro; hit ni mivutano na misuguano mbalimbali katika kazi za fasihi, Migogoro inawera kuwa kati ya wahusika, familia zap, matabeka yao, au hata katika nyadita mbalimbali. Vilevile migogoro yaweza kuwa ya kiuchumi, kijamii, mogogoro ya nafsi, nna migogoro ya kisiasa ambayo hujitokeza katika mitazamo tofauti kulingana na itiririko wa visa na matukio yanavyopangwa na mwandishi.

3, Ujumbes mwandish: anapoandika kazi yoke huwa na ujumbe ambao hutaka uifikie jamii aliyoikusudia. Ujumbe ketike ka7i fash ni mafunzo mbelimbali ambayo hupatikana banda ya kusoma kazi ya fasihi. Katika kazi ya fasini dhamira kuu hubeba ujumbe wa msingi na dhamira ndogondogo hubeba ujumbe ambao husaidia kuujengs au kuypa uzito zaidi ujumbe wa msingg 4, Msimamo; katika kazi ya fasihi, mawazo, mafunzo na felsafa ya msanii hubainisha

msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii, Msimamo ni ile hali ya mwandishi kuamua kufuata na kushikiliajambo fulani. Jambo bili huweza kukataliwa na ‘wengi lakini akalishikilia tu. Msimamo ndio huweza kuwatofautisha wasanii wawili au zaidi wanaoandika kubusu mazingira yanayofanana. Kwa mfeno, katika tamthilia ya “Pesa zako rinanukal mwandishi anamsimamo wa kimapinduzi kwani-amejadili matatize ‘yanayochangia kukwama kwa wjenzi wa jamii mpya.

5, Falsafa mi mawazo ya busara yenye kutowaliwa na mising mabususi jum ya asili na maana ya ulimwengu na maisha ya mwanadanu. Ni msimamo wa msanii katika maisha juu ya utatuzi wa matatizo katika jamii, Falsafa ya mwandishi inaweza kujulikena kwa kusoma kari zake zaidi ya moja 6, Mtazamo ni hisia au elewa wa mwandishi ju ya jambo fulani. Kwa mfano anaweza ‘kutazama jambo fulani kwa mtazamo wa kidini, au anaweza kutazama jambo fullani kwa

mtazamo wa kisiasa au kisayansi

  • Mafunzo; ni mawazo ya kuclimisha yanayopatikana katika dhamira mbalimbali 2a kazi

ya Fasihi Kufaull na Kutofeulu ka mwandishi Kufaulu au kutofaulu kwa mwandishi kunategemea jinsi alivyoweka uwiane mzuri kati ya fani a maudhui kwa namna ambavyo inaleta ubalisia. Mfano, endapo msanii atakuwa na mbusika Mkongo lakini akawa snazungumza Kiswahili kilichojaa misemo na nahau alafu kimenyooka kama mtu wa pwani itakuwa vigumu kusema amefaulu kwani hakuna uwiano muri kati ya mhusika mwenyewe na lugha anayoitumia. Kiswahili cha Kongo ni tofauti kabisa na kiswahili

kinachozungumzwa na watu wa pwani (Tanzania). Uhakiki wa Fani katika Kazi za Fasihi Andishi Uhakiki wa Fani katika Tamthiliya Uhakiki wa fani katika Ushairi Uhakiki wa Maudhui katika Kazi za Fasihi Andishi Uhakiki wa Maudhui katika Tamthiliya Uhakiki wa Maudhui katika Ushairi

Get Well-Formatted PDF Notes

For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.

GET WELL-FORMATTED PDF NOTES

Scroll to Top
Changia Notes / Document