Library ya Vitabu
Hapa chini kuna maktaba za vitabu zinazopatikana mtandaoni. Unaweza kuvinjari, kusoma au kudownload vitabu moja kwa moja kupitia fremu hizi.
Nursing Books
Vitabu vya Nursing kwa wanafunzi na wataalamu wa afya, ikijumuisha notes, vitabu vya rejea na nyenzo za mafunzo.
Mixed Books
Maktaba ya vitabu mchanganyiko ikijumuisha afya, elimu, biashara, teknolojia na nyenzo nyingine muhimu.
Kama fremu hazionekani vizuri kwenye kifaa chako, subiri zipakie kikamilifu au fungua maudhui moja kwa moja ndani ya fremu husika.
