Ndoto Yako ya Uhandisi na Sayansi Itatimia MUST

Ndoto Yako ya Uhandisi na Sayansi Itatimia MUST: Mwongozo 2026 | Devine Vision Tech
MUST ADMISSIONS 2026

Ndoto Yako ya Uhandisi na Sayansi Itatimia MUST

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) ndicho kitovu cha teknolojia Tanzania. Kuanzia Uhandisi wa Takwimu (Data Science) hadi Teknolojia ya Viumbe (Biotechnology), hapa ndipo safari yako ya kimataifa inapoanzia.

ANGALIZO KWA WAOMBAJI 2026

Kiwango cha chini cha kujiunga (Institutional Points) ni Pointi 4.0. Kwa kozi za Uhandisi, lazima uwe na ufaulu wa D katika Basic Mathematics na Physics ngazi ya O-Level. Usipoteze muda kuomba kama hukidhi vigezo hivi!

Main Campus – Mbeya City

Kozi za ICT na Teknolojia

B.Eng in Data Science KIPEKEE
MB017

Hii ni kozi adimu na ya kisasa. Inakuandaa kuwa mtaalamu wa kuchambua “Big Data” na kutengeneza mifumo ya akili mnemba (AI). Inachukua miaka 4.

Sifa: Passes in Advanced Math and Physics.

Bachelor of Computer Science
MB010

Inajikita kwenye kutengeneza programu (Software Development) na mifumo ya kompyuta. Miaka 3.

Sifa: Passes in Advanced Math and Physics/Chemistry.

BSc in ICT
MB011

Kozi inayochanganya usimamizi wa habari na teknolojia ya mawasiliano. Miaka 3.

B.Eng in Telecommunication Systems
MB009

Inahusu mifumo ya mawasiliano ya simu, satelaiti na mitandao. Inachukua miaka 4.

Uhandisi na Ujenzi (Technical Education)

MUST ni mabingwa wa kozi za “Technical Education” zinazokupa ujuzi wa uhandisi na ufundishaji.

MB012
B.Technical Ed in Electrical & Electronics

Inaandaa mafundi sanifu wa mifumo ya umeme. Miaka 4.

MB014
B.Technical Ed in Civil Engineering

Usimamizi wa ujenzi wa barabara, madaraja na majengo. Miaka 4.

MB015
B.Technical Ed in Architectural Engineering

Sanaa na sayansi ya kusanifu majengo (Architecture). Miaka 4.

MB016
B.Technology in Landscape Architecture KIPEKEE

Usanifu wa mazingira ya nje na bustani za kisasa. Miaka 4.

Sayansi Asilia na Maabara

BSc in Biotechnology KIPEKEE
MB022

Hii ni kozi ya sayansi ya viumbe hai kwa kutumia teknolojia. Inatumika kwenye tiba na kilimo cha kisasa. Miaka 3.

B.Laboratory Sciences and Technology
MB008

Inaandaa wataalamu wa maabara za kisasa za viwandani na hospitali. Miaka 3.

MB018
Food Science
MB019
Natural Resources
MB021
Environmental Tech

Rukwa Campus College

MBR01
Bachelor of Business Administration

Kozi pekee ya biashara inayotolewa MUST, inapatikana Kampasi ya Rukwa pekee. Miaka 3.

MBR02
Bachelor of Mechanical Engineering

Inahusu mitambo na injini. Inapatikana pia Rukwa. Inachukua miaka 4.

Muhtasari wa Kapasiti (Admission Capacity)

Kozi Code Duration Nafasi (Capacity)
Agribusiness ManagementMB0203 Yrs200
BSc with EducationMB0073 Yrs160
B.Lab SciencesMB0083 Yrs130
Technical Ed (Civil)MB0144 Yrs120
Data Science EngineeringMB0174 Yrs50

Ushauri wa Kitaalamu wa Bure!

Je, unakwama kuchagua kozi inayendana na pointi zako? Au unahitaji msaada wa kutumia mfumo wa SIMS wa chuo? Usihangaike peke yako, timu yetu ya ushauri ipo hapa kukusaidia.

Mawasiliano: 0620 339 260 | Devine Vision Tech

Devine Vision Tech

Kiongozi wa elimu ya juu na ushauri wa kitaalamu Tanzania.


© 2026 Devine Vision Tech. Haki zote zimehifadhiwa.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top