Skip to main content

Microsoft Office 2010 – Installation na Legacy Guide

Microsoft Office 2010: Installation na Matumizi

Mwongozo wa Office 2010 kwa computer za zamani au mazingira ya legacy.

Microsoft Office 2010

Office 2010 ni toleo la zamani ambalo Microsoft ilimaliza support yake. Linaweza bado kutumika kwenye baadhi ya computer za zamani, lakini halipokei security updates za kawaida.

Kabla ya Ku-install

  • Tumia installation media uliyo nayo kihalali.
  • Tumia genuine Office 2010 product key.
  • Hifadhi backup ya documents muhimu.
  • Ondoa Office nyingine ikiwa inaleta conflict.

Office 2010: Installer na Leseni

Muhimu: Microsoft Office 2010 imefikia mwisho wa support. Tumia installation media uliyonunua kihalali pamoja na genuine product key.

Kwa usalama na kufuata leseni, Devine Vision Tech haitoi nakala ya installer ya Office 2010. Kama tayari una leseni halali, tumia media yako ya awali au msaada wa Microsoft kuhusu lifecycle na activation.

Office 2010 Activation Guide — njia halali

Jinsi ya Ku-install

  1. Fungua installer halali ya Office 2010.
  2. Fuata hatua za setup.
  3. Chagua programs unazohitaji.
  4. Maliza installation na restart ikiwa umeombwa.
  5. Activate kwa product key halali.

Links Muhimu

banner
Scroll to Top