Download Microsoft Office Professional Plus 2021
Pakua Microsoft Office 2021 na fuata installation guide pamoja na activation halali.

Faili: Microsoft Office PRO Plus 2021 Retail Version…rar | Ukubwa: takribani 4.4 GB
Office 2021 ni toleo la desktop linalofaa kwa watumiaji wenye leseni ya Office 2021. Inaweza kujumuisha Word, Excel, PowerPoint na programu nyingine kulingana na edition.
Jinsi ya Ku-install
- Pakua RAR kikamilifu.
- Extract kwa 7-Zip au WinRAR.
- Fungua installer na fuata hatua za setup.
- Baada ya installation fungua Word au Excel.
- Ingia kwenye Microsoft account yenye leseni au tumia genuine product key.
- Fanya updates kupitia Office Account na Windows Update.
Muhimu: Office 2021 ina support ya muda maalumu; kwa matumizi mapya ya muda mrefu, Office 2024 ni chaguo la kisasa zaidi.