Download Microsoft Office 2024
Pakua installer ya Microsoft Office 2024 na fuata hatua salama za installation na activation kwa kutumia leseni halali.

Faili: office files.zip | Ukubwa: takribani 5.5 GB
Office 2024 ni chaguo linalofaa kwa computer za kisasa kwa watumiaji wanaohitaji Word, Excel, PowerPoint na programu nyingine za Office kulingana na edition ya leseni yao.
Jinsi ya Ku-install
- Pakua ZIP kikamilifu.
- Extract faili kwa Windows Extract All, 7-Zip au WinRAR.
- Fungua installer iliyomo ndani.
- Fuata hatua za installation hadi zikamilike.
- Fungua Word au Excel na ingia kwenye Microsoft account yenye leseni, au tumia genuine product key inayolingana na edition yako.
- Fanya Office updates baada ya installation.
Activation: Post hii haitoi crack, KMS bypass au key za kuvunja leseni. Tumia activation rasmi ya Microsoft.