Kiswahili Form One Notes – Fasihi Simulizi
Full text version of Kiswahili Form One Notes on Fasihi Simulizi, transcribed from the supplied source document. Source images are intentionally omitted; all recognized text from the topic pages is included below.
Full text: This page contains the complete recognized text for source pages 19-22. For the original PDF layout and illustrations, use the WhatsApp button below.
—————
‘Kiswahili kidato cho kwanza
MADA YA NNE: FASIHI SIMULIZI
Fasihi simulizi ni moja kati ya tanzu za fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi
kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo. Katika mada hii utajifunza na kisha utaweza kubainisha
tanzu na vipera vya fasihi simulizi pamoja na ufafanuzi wake. Na pia utaweza kutofautisha kati
ya kipera na kipera au kati ya utanzu na utanzu,
Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi
‘Tanzu za Fasihi Simulizi
Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi’ inayohifadhiwa na kurithishwa/kutoka kizazi kimoja hadi
kingine kwa njia ya mdomo kama vile; hadithi, ngoma na vitendawili.
‘Tanzu za Fasihi Simulizi ni pamoja na hizi zifuatazo:
1. Masimulizi/hadithi
2. Semi
3. Ushairi
4. Mazungumzo
5. Maigizo
6. Ngomezi
Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi
SIMULIZI HADITHI
Masimulizi ni fasihi yenye kusimulia habari fulani. Ni masimulizi ambayo yanatumia lugha ya
mjazo au nathari na mtiririko wake huwa mwepesi au sabili. Urefu wa hadithi hutofautiana
kutoka kitanzukipera kimoja hadi kingine. Kwa jumla zipo hadithi ambazo ni za kubuni na
Zingine za kihistoria. Baadhi ya vipera vya utanzu hu ni:
Ngano
Hizi ni hadithi za kimapokeo zitumiazo wahusika kama wanyama, miti na watu katika kuelezea
au kuonya kuhusu maisha. Vijipera vya kipera hiki ni
‘+ Istiara — hadithi ambayo maana yake ya wazi inawakilisha maana nyingine iliyofichika.
Yaani hadithi nzima ni kama sitiar.
‘+ Mbazi- hadithi fupi yenye mafunzo itolewayo kama kielelezo wakati wa maongezi au wa
kumkanya mtu
+ Kisa- hadithi fupi ya kufurahisha kuhusu tukio la kweli.
Visakale
Masimulizi ya kimapokeo juu ya wahenga au mashujaa wa kabila au taifa yenye kuchanganya
‘chuku na historia. Kwa mfano hadithi za Liyongo.
Mapisi
Maclezo ya historia bila kutia mambo ya kubuni.
Soga
Ni hadith ndogo ndogo zinazohusisha utani na ucheshi kwa kiasi fulani. Hizi ni hadithi ambazo
hutambwa katika mtiririko wa matukio ambao huzua kicheko. Soga hudhamiria kuchekesha na
pia kukejeli
© twshole 2019 | twhvleegmeil.com
ji_——-—_—-——-——-—-—- —_—________————————
—————
‘Kiswahili kidato cha kwanza
Tarihi
Hizi ni hadithi ambazo husimulia au zimejengwa kwenye matukio ya kihistoria. Inawezekana
matukio yanayosimuliwa yakawa ya kweli, yaani yalipata kutokea kihistoria. Hadithi hizi hutokea
zaidi katika maandishi
Visasili
Ni utanzu unaofungamana na imani za dini na mizungu ya jamii. Hizi ni hadithi za kale zenye
kuwakilisha imani na mtazamo wa jamii inayohusika kuhusu asili ya ulimwengu na mwenendo
wake, kubusu asili yao wenyewe, na maana na shabaha ya maisha yao. Mara nyingi hadithi hizi
huaminiwa kuwa ni kweli tupu, na hutumika kuelezea au kuhalalisha baadhi ya mila na
madhchebu ya jamii inayohusika
Vipera vya Ushairi
Huu ni utanzu wa fasihi simulizi unaowasilishwa kwa hadhira kwa njia ya uimbaji au ughani
badala ya usemaji wa kawaida. Katika utanzu huu kuna vipera viwili ambavyo ni nyimbo na
maghani.
Nyimbo
Nyimbo ni kila kinachoimbwa. Kipera hiki kimegawanyika katika vijipera vifuatavyo ambavyo
ni, tumbuizo, bembea, kongozi, nyimbo za dini, wawe, tenzi, tendi, mbolezi, kimai, nyiso,
nyimbo za vita, nyimbo za uwindaji, nyimbo za taifa, nyimbo za watoto na nyimbo za kazi.
‘+ Tumbuizo: hizi ni nyimbo za furaha ziimbwazo kuwafurahisha watu kwenye matukio
mbalimbali kama vile ngomani au harusini. Bembea; hizi ni nyimbo za kubembeleza
watoto, Kigezo kilichotumika hapa ni kigezo cha kidhima ambapo hulenga kubembeleza
watoto,
‘+ Kongozi: hizi ni nyimbo za kuaga mwaka.
‘+ Nyimbo za dinizhizi ni nyimbo zinazoimbwa kwa lengo la kumsifa Mungu au miungu.
‘+ Wawe: hizi ni nyimbo za kilimo; huuimbwa wakati wa kulima.
‘+ Tenzizhizi ni nyimbo ndefu za kimasimulizi au mawaidha.
+ Tendi:hizi ni nyimbo ndefu za masimulizi juu ya matendo ya mashujaa, wahusika wa
tendi ni watu wenye historia za matendo ya kishujaa.
‘+ Mbolezizhizi ni nyimbo za kilio au maombolezo.
+ Kimaizhizi ni nyimbo zihusuzo shughuli za baharini.
‘+ Nyiso:hizi ni nyimbo za jandoni.
‘+ Nyimbo za vitazhizi ni nyimbo ziimbwazo na askari wakati wa vita..
+ Nyimbo za watoto:hizi ni nyimbo waimbazo watoto wakati wa michezo yao.
+ Nyimbo za uwindajizhizi ni nyimbo ambazo huimbwa na makundi ya Wawindaji wakati
‘wa shughuli au sherehe zao.
‘+ Nyimbo za Taifazhizi ni nyimbo za kusifia Taifa au kabila.
‘+ Nyimbo za kazizhizi ni nyimbo zinazoimbwa katika shughuli mbalimbali kama vile,
kkulima, kutwanga, kusuka, uvuvi, uashi, useremala na kadhalika
Maghani.
Maghani ni istilahi inayotumiwa kuelezea aina ya ushairi ambao hutolewa kwa kalima au
maneno badala ya kuimbwa,
Kipera hiki kina vijipera vitatu ambavyo ni maghani ya kawaida, sifo na maghani masimulizi.
© twshole 2019 | twhvleegmeil.com
ji_——-—_—-——-——-—-—- —_—________————————
Kiswohil kidato cho kwanzo
Maghani ya kawaida ni kundi ambalo tunaweza kuingiza fani mbalimbali za ushahiri simulizi
kama vile ushairi wa mapenzi, siasa, maombolezo, kazi, din ilimradi unaghanwa katika namna
ya uwasilishwaji wake.
Sit
zi ni tungo za kusifu ambazo husifu watu, wanyama na mimea. Baadhi ya sifo huwa
Zinakashifu
au
ukejeli
Sifo
hhuwa
na
tanzu
‘muhimu
kama
ville
vivugo
(majigambo),pembezinatondi
.
Kivugo: hil i
ghani la kujisifia, hutungwa na kughanwa na muhusika mwenyewe.
Tond
zi ni tungo za kusifu watu, wanyama au vitu
jhani masimuli
i:hiei ni ghani ambazo hutambwa ili kusimulia hadith, historia au tukio Fulani
Ghani masimulizi ina vipera vinne ambavyo ni rara, ngano, sifo na tend
Rara ni hadithi fupi ayepesi ya kishairi yenye visa vya kusisimua; rara huimbwa au
kughanwa ikiambatana na ala za muziki
Ngano:hi
‘ni hadithi za mapokeo zitumiazo wahusika kama wanyama, miti na wat
katika
jelezea_ au kuonya kuhusu. maishaNgano
huwa
‘ghani
smasimulizi
apowasilishwa pamoja na ala ya muziki.
Sifo: hizi ni tungo za kusifi: sifo huwa ghani masimulizi inapoingiza muziki katika
tutondozi wake, lugha iiyotumika ni lugha ya ishaini,
Ten«
izi ni ghani ndefu za masimulizi ju ya matendo ya mashujaa yenye wzito
ij
au kitaifa
Vipera vya Semi
i tungo au kaulifupifupi za kisanaa zenye kubeba maana au mafunzo muhimu ya kijamii
‘Baadhi ya tanzu katika kundi hili ni:
‘Methali: Methali ni semi fupi fupi zenye kucleza kwa mubtasari fikra au mafunzo,
mazito yaliyotokana na zoefu wa kijamii. Mara nyingi mawazo hayo huelezwa kwa
utumia tamathali hasa sitiari-na.mafumbo. Methali nyingi huwa na muundo wenye
schemu mbili. Schemu ya kwanza huanzisha wazo fulani, na schemu ya pili hulikanusha
au kulikaamilsha wazo hilo. Kwa mfano; mwenda pole hajikwai,aliye juu mngoje chin.
¢ Ni usemi uliofumbwa ambao hutolewa kwa hadhira ili iufumbue. Fumbo
hilo kwa kawaida huwa lin
ham
katika jamii hiyo, na mara nyingi lina mafunzo
muhimu kwa washiriki, mbali na kuwachemsha bongo zao. Vitendawili ni sanaa
inayotegemea uwezo wa mtu kutambua, kuhusisha na kulinganisha vitu vya aina
mbalimbali vilivyomo katika maumbile.
Misimu: Ni semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea
mazingira maalum. Msimu ukipata mashiko ya kutosha katika jamii huweza hatimaye
kuingia katika kundi la methali za jamii hiyo,
Mafumbo: Ni semi za maonyo au mawaidha ambazo maana zake za ndani zimefichika,
Fumbo hubuniwa na msemaji kwa shabaha na hadhira maalum, hivyo ni tofauti na
‘methali au vitendawili ambavyo ni semi za kimapokeo.
akabu: Haya ni majina ya kupanga ambayo baadhi ya watu hupewa au hujij
Kutokana na sifa za0 za kimwili, kinasaba, kitabia au kimatendo, Majina ha
huwa ni
maneno au mafungu ya maneno yenye mana
iyofumbwa. Mara nyingi majina haya
huwa ri
ari. Baadhi ya majina haya humsifia mhusika, lakini mengine humkosoa au
hata kumdhalilisha; Mifano: simba wa yuda- Hali Selassie, Baba wa ta
Mul Nyerere.
lors
Ttashele@ameil.com
—————
‘Kiswahili kidato cha kwanza
Vipera vya Maigizo
Maigizo ni mchezo ambao hutumia watendaji wa kuiga tabia na matendo ya watu au viumbe
‘engine ili kuburudisha na kutoa ujumbe fulani kwa hadhira.
Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi
Umuhimu wa Uhakiki wa Kazi za Fasihi Simulici
Umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi ni kubaini ubora wa kazi za fasihi simulizi,
kubaini vipengele mbalimbali vya fani na maudhui, kupima namna kazi inavyoambatana na
mazingira inamotokea, kupima kufaa na kutokufaa kwa fasihi simulizi, kubaini ukweli wa
mambo yanayoelezwa, kuangalia uhalisi wa watu na mazingira katika jamii na kubaini umuhimu
wa kazi ya fasihi katika jamii husika.
Vigezo vya Uhakiki wa Kazi za Fasihi Simulizi
Uhakiki wa kazi ya fasihi huzingatia vigezo viwili ambavyo vimegawanyika katika vipengele
mbalimbali. Vigezo hivyo ni fani na maudhui. Katika kigezo cha fani mhakiki atazingatia
muundo, mtindo, matumizi ya lugha, wahusika na mandhari wakati katika kigezo cha maudhui
mhakiki atazingatia dhamira, migogoro, falsafa, msimamo na ujumbe.
Uhakiki wa Hadithi
Uhakiki wa hadithi kama ilivyo katika kazi nyingine za fasihi simulizi umejikita katika
kuchunguza vipengele mbalimbali vya fani na maudhui. Vipengele vya fani ni muundo, mtindo,
wahusika, mandhari na matumizi ya lugha. Aidha kwa upande wa maudhui, vipengele vyake ni
dhamira, migogoro, falsafa, ujumbe na msimamo,
Matumizi ya Semi katika Hadithi
Uhakiki wa semi katika fasihi umejikita kuangalia usahihi wa matumizi ya vipengele mbalimbali
vya lugha katika kazi ya fasihi inayohusika. Vipengele hivyo ni misemo, nahau na mafumbo.
Vilevile uhakiki wa semi umejikita katika kuchunguza namna lugha ilivyofuzu kigezo cha
kwenda na wakati.
© twshole 2019 | twhvleegmeil.com
ji_——-—_—-——-——-—-—- —_—________————————