Tenzi za Rohoni 47 – Ni WaKo Wewe

Tenzi za Rohoni 47 – Ni WaKo Wewe

Tenzi Na. 47

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 47, “Ni WaKo Wewe”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

Ni wako wewe, nimekujua,
Na umeniambia;
Lakini Bwana, nataka kwako nizidi kusongea.
Bwana vuta, vuta, nije nisongee,
Sana, kwako mtini.
Bwana vuta, vuta, nije nisongee,
Pia damu ya thamani.
Niweke sasa nikatumike
Kwa nguvu za neema;
Uyapendayo nami nipende,
Nizidi kukwandama.
Nina furaha tele kila saa
Nizungumzavyo kwako,
Nikuombapo nami napata kujua nia yako.
Mapenzi yako hayapimiki,
Ila ng’ambo ya liko.
Anasa pia sitazijua,
Bila kufika kwako.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top