Skip to main content

Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01: Changamoto na Tahadhari

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Changamoto na Tahadhari: Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01 · PDF · 28 kurasa

Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji - Muundo 01 – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua

UFUGAJI BORA NA RAHISI WA KUKU WA KIENYEJI 6

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kwanza,Unatakiwa kuondoa na kuchoma moto/kufukia mabaki yote ya mayai na kuboresha usafi wa banda lote ili kuepusha magonjwa kama vile kuharisha, viroboto, papasi nk. Hapo unaweza kuwatoa vifaranga wako wote 60 mmojammoja kadri wanavyoanguliwa hadi kufikia kifaranga wa mwisho, yaani Yule wa 60 na kuwaweka katika kibanda kidogo/boksi ulichokijenga na kuwawekea mayai mengine mama zao (yale 15/18 kati ya 30 uliyoyabakiza) ili waatamie tena kwa siku 21 hadi 24 zingine. Unapotoa kifaranga kutoka kwa kuku aliyeatamia humfanya kuku Yule ashindwe…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

KKUKU/VIFARANGA VIFARANGA CHUMBA/BANDA 7

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Lakini unashauriwa kusugua kwa mkono bila maji ili kusafisha maana maji hupunguza ubora wa yai na maranyingi yai huharibika haraka. o Weka katika vyombo visafi kwa kuelekeza sehemu ya yai iliyo pana iwe juu na sehemu nyembamba iwe chini, beba kwa uangalifu. o Hifadhi mayai katika sehemu ya baridi nyuzijoto10 hadi 16 za sentigredi. o Mayai yapangwe kwa daraja kwa kufuata ukubwa na rangi ili kuvutia wateja na kuongeza bei. Pia unaweza kuweka kwa kufuata muda unapoyaokota kutoka bandani. Weka lebo yenye tarehe ili usichanganye wakati wa…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

1 Pilipili kichaa

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kwenye upanga,masikio.miguu na wapewe chanjo, vitamin na Mdondo kuhara, cha kijani/cheupe km na majivu upanga sehemu zisizo na antibayotiki (kiua vijasumu). (Newcastle kushusha chokaa na njano, 2. Katani/Alovera (Nodules) manyoya.Kuku hufa hasa o Uasfi Disease) mabawa kukohoa, kuhema kwa3. Kitaalam na sehemu wale wadogo. wa banda na mazingira chini, shida, kutokwa na mate tumia chanjo ya NEWCASTLE. zisizo na viimarishwe. kukosa mdomoni,kizunguzungu,4. Usafi wa manyoya. hamu ya kishiwa na maji, kukosa banda &vyombo vote. 1.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

1 Pilipili kichaa 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kwa kutumia dawa za asili nilizosema hapo juu; kula nk hamu ya kula,kushusha Mafua ya kuku/ Swollen Bakteria mabawa chini,kuku kufa 5. uso na Kuvimba Usafi waUsafi wa banda na Boresha Kuvimba macho eyes/ Flu hadi 90%. mazingira macho,kamasi na kuchoma hutiririka moto mizoga mazingira yake, kuku yote.na kutoka puani wagonjwa watengwe na mdomoni,hukohoa,huhema Usiruhusu ikibidi wachinjwe. kwa shidawatu kiungia ovyo bandani/usiingize na kukoroma, Muone mtaalam wa mifugo kuku asiyechanjwa. ili upate chanjo. utando mweupe/njano 7. macho),upofu,nk…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

1 Pilipili kichaa 7

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hii itakuwezesha kupunguza/kuponya magonjwa na kupunguza gharama za matibabu na vifo. Hakikisha kuwa chanjo/tiba zinatoka kwa mtaalam anayejua kutunza chanjo/dawa kwenye ubaridi unaotakiwa kulingana na maagizo ya mtengenezaji.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

1 ANGALIZO

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mambo yafuatayo yanaweza kusababisha magonjwa au kupunguza uzalishaji hivyo kuleta hasara zisizo za lazima kwa mfugaji.; 1. Kufuga kuku wengi kwenye eneo dogo. 2. Chumba/banda lisilo na hewa na mwanga wa kutosha. 3. Banda kuwa chafu. 4. Vyombo vichache/visivyotesheleza kwaajili ya chakula na maji. 5. Vyombo vichafu vya maji na chakula. 6. Chakula kisicho na viini lishe vya kutosha/kichache. 7. Kubadili ladha ya chakula. 8. Kuchelewa kudhibiti magonjwa ya kuku. 9. Kuchanja/kutibu kuku bila utaratibu/ushauri wa kitaalam. 10. Kutishia kuku wakati…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

7 Kumbukumbu za uzalishaji mayai zitakuwezesha kujua kiasi cha mayai yanayotagwa kwa siku Idadi ikiwa chini

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

ya 60% utagaji huo siyo mzuri hivyo utatafuta sababu ya tatizo nk. Utagaji unatakiwa uwe 70% hadi 95%. 1. Kumbukumbu ya vifo itakusaidia kujua hatari itakayokujia. Mfano vifo vikizidi 1% inaashiria tatizo la ugonjwa. Hivyo uchunguzi ni lazima ufanyike ili kutatua tatizo. 2. Kumbukumbu za mapato na matumizi pia zitakusaidia kujua faida na hasara nk. Hapa utajua ni ghara kiasi gani ulitumia kufuga na faida kiasi gani umepata baada ya mauzo ya mayai/kuku husika. Hii ni mifano. 1. MAYAI YALIYOTAGWA KWA SIKU. TAREHE Kiasi cha Mayai yaliyotagwa…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document