Skip to main content

Safari ya Ufugaji – KingoFarm: Changamoto na Tahadhari

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Changamoto na Tahadhari: Safari ya Ufugaji – KingoFarm

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Safari ya Ufugaji – KingoFarm. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Safari ya Ufugaji – KingoFarm · PDF · 21 kurasa

Safari ya Ufugaji - KingoFarm – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua

1 Wafugaji wengi hukosa mahala sahihi pa kuanzaia kufuga vifaranga, na namna bora

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

ambayo wanaweza kupata au kuagiza vifaranga, changamoto hii ni kubwa sana na hupelekea wafugaji wengi kuishia kwenye mikono ya matapeli kwenye mitandao ya kijamii.,

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

3 Elimu juu ya uleaji wa vifaranga, kutambua hatua stahiki zinazotakiwa kufuatwa ili

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kifaranga awe mwenye afya bora nayo ni changamoto pia, Hiyo ni baadhi ya mifano tuu juu ya changamoto lakini nikiri kwamba changamoto ni nyingi sana, na zinatofautiana kwa kila mfugaji. HATUA ZA KUFUATA KATIKA ULEAJI WA VIFARANGA KUANZIA SIKU MOJA.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

CHANJO KWA VIFARANGA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

MUHIMU; wafugaji wengi ambao wanatotolesha vifaranga nyumbani wenyewe kwa kiasi kidogo wamekuwa wakikabiliana na idadi kubwa ya vifo katika kipindi cha mwenzi wa kwanza kuisha kwenda mwenzi wa pili, Sababu kubwa huwa ni kushindwa kuwapa vifaranga wao chanjo ya marke’s ambayo huchomwa siku ya kwanza tuu baada ya kutotoleshwa vifaranga, Kwa bahati mbaya hii chanjo maduka mengi huwa hawaagizi kwahiyo hata upatikanaji wake ni mgumu, ukilinganisha na chanjo zilizoainishwa hapa Lakini makampuni makubwa ambayo huzalisha vifaranga kwa wingi mara…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

CHANJO YA NDUI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hii ndi chanjo ambayo hutolewa tofauti na chanjo nyingine tajwa hapo juu ambazo namna ya utoaji wake ni rahisi ukilinganisha nah ii ambayo inahitaji umakini sana, nimeamua kuweka hapa kwa sababu wafugaji wengfi hukosea namna ya kuwachanja vifaranga wao Namna ya kutoa hii chanjo Vifaranga huchanjwa kwenye bawa, pasi kugusa mishipa ya damu kwa kutumia sindano mithiri ya sindano ya kushonea nguo, ambayo huambatana na hiyo chanjo, chanjo pia huja na maji yake , utapewa vichupa viwili ambavyo moja wapo kitakuwa ni chanjo, na kingine ni kimiminika…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

MAGONJWA SUMBUFU KWA VIFARANGA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

mharo mweupe mharo mwekundu mafua BIASHARA YA VIFARANGA WALIO KUWA KIASI. Kutokana na kuwepo kwa changamoto kubwa ya ukuzwaji wa vifaranga, imekuwa changamoto kwa wafugaji wengi kufikilia kukuza vifaranga, hivyo imetoa fursa kwa wafugaji kuweza kuwauzia wafugaji wengine vifaranga waliokuwa kiasi, Faida kubwa ya hii biashara inachukua mzunguko wa mda mfupi, kwani si zaidi ya miezi miwili mfugaji unakuwa umesha wauza vifaranga wako, Hii biashara ni kwa wafugaji wa kuku chotara na kuku wa kienyeji, unaweza ukahitaji kuwa na mashine ya…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

MAGONJWA NA TIBA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ili upate matokeo bora kwa kuku wako unapaswa pia kuwaandalia chakula bora kuku wako, kwa kuzingatia bajeti ndogo kabisa ya uchanganyaji wa chakula kuzingatia mazingira husika kwa kupima gharama za rasilimali za kutengenezea chakula . Hapa tumekuandalia kanuni mbalimbali tukizingatia na umri wa kuku wako unaowapa huo mchanganyo,

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

TRISULMYCINE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mkaa kwenye chakula Mharo Usafi wa Agrocox Mzungwa mwekundu banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika chakula vizuri kisiwe ESB3 na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Amprollium Mharo wa Usafi wa ESB3 kahawia banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika chakula vizuri kisiwe na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Mharo wa njano Usafi wa AGROCOX banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika Esb 3 chakula vizuri kisiwe na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Mharo wa kijani Usafi wa OTC (…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document