Skip to main content

Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji · PDF · 37 kurasa

Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili - Mwongozo kwa Wafugaji – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Unahitaji nini iii uanze kufuga kuku wa asili? Je, shida yako ni kufuga kuku wa asili kama chanzo cha mapato? Basi soma, fikiria, uelewe na ujiandae kwa yafuatayo. J e una mahali pa kuwaweka kuku? Kuku wanahitaji nyumba ya kuishi iii kujikinga na mvua, jua, wanyamapori na wizi. Je Unajua wapi utapata huduma no ushauri? Kuku hupatwa na magonjwa, mengine huweza kuua kuku wote kwa muda mfupi. Fahamu wapi unaweza kupata msaada wa kitabibu wa mifugo. Je utapata wapi kuku wa kufuga? Unaweza kupata kuku kwa kununua tetea au vifaranga wakubwa kutoka…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Nyumba iwe na uwezo wa kupitisha hewa, hivyo waya au fito ziwekwe kwenye madirisha makubwa kuruhusu hewa kuingia na kuzuia wanyama. :…;~~~··Mlango uangalie kaskazini kupingana na jua pia . – .c-.'.t"':ifr – uruhusu mtu mzima kuingia ndani. Ijengwe kwa gharama nafuu kwa kutumia mbao, mabanzi, matofali ya tope au ya kuchoma. !we na mlango madhubuti na kufuli kudhibiti vibaka. Ndani ya nyumba ya kuku kuwe na nini? Vichonjo vyo kulolo kuku wokoti wo usiku ~. -,·.··~ ;y·~~' ~Ji~~· j oiwe na umbo la mviringo iii miguu ya kuku itoshe. Vioto vyo…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 3

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Nyumba ya lope Nyumba ya kuku inaweza kujengwa kwa miti na udongo alimradi iezekwe vizuri kuzuia mvua. Weka mlango imara wenye kufuli na madirisha yenye nyavu za waya kuzuia wanyama pori, nyoka na paka. Nyumba ya matofali ya udongo au kuchoma Kwa nyumba bora na ya kudumu jenga kwa matofali ya udongo au hata ya kuchoma. Siliba sakafu na kuta kwa saruji, kisha paka chokaa kuzuia magonjwa na wadudu. Weka madirisha na milango imara kuzuia wanyama na wezi. 4 Mwongozo wa ufugaji kukuwa asili kwa wakulima Nyumbaya kuinuliwa Nyumba ya kuku inaweza…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 4

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Vifarangakwenye tenga Baadaye wape vifaranga chakula wakiwa peke yao ndani ya tenga lililofunikwa, watakuwa na uwezo wa kuingia ndani ya tenga na kutokc kirahisi. Weka gazeti, majani mapana au pumba za mchele sakafuni wakati wa baridi. Vifaranga walale na mama yao wakati wa usiku. Mradi unavyozidi kuendelea tengeneza kibanda cha Tenga /iwekwe ndani wakati wa usiku na kukiwa na mvua mbao na waya ambaeho husafishika kirahisi na au kivu/ini wakati wa jua usisahau chakula na maji. hudumu zaidi. Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima 5 Hapo…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 5

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mfugaji wa kuku ni lazima ujue ni wapi utapata msaadawa kitaalamu kuhusu ufugaji bora, tiba no kinga ya kuku wako. Mfahamu mtaalamu w~ mifugo wa kijiji atakayekuwa akikupa ushauri no huduma ya kinga ya magonjwa no tiba kuku wanapougua. Wataalamu hawa hupatikana katika ofisi za vijiji, kata au tarafa. Ni wajibu wako kutoa taarifa juu ya magonjwano vifo vya kuku wako kwa mtaalamu . Hili ni muhimu kwa faida yako mwenyewe,wafugaji wengine no nchi kwa ujumla. Huduma za tiba ya mifugo no ushauri pia hutolewa no vituo binafsi vya tiba ya mifugo…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 T engeneza sehemu ya faragha kwa ajili ya kutagia mayai kiota

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

1 Weka utaratibu wa kuondoa mayai toka kwenye kiota na kuyahifadhi mahali pa wazi, penye hewa ya kutosha.

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MALI BILA DAFTARI HUPOTEA BILA HABARI Huu ni usemi

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

wa kale na bado ni kweli hadi leo hii. Somo hili litakupa ushauri juu ya kutunza kumbukumbu za mradi wako, taratibu endelea kufuatilia. Kufanya mradi wa kuku ni vema ukiwa unaweka kumbukumbu kilo siku au angalao mara moja kwa wiki. Kilo siku waangalie kuku wako kuwaona wana hali gani na ni wangapi waliopo, hapo utaelewa kama kuna ugonjwa wa kutibu au tahadhari gani zichukuliwe. Weka kumbukumbu za matetea, majogoo, umri wakati wa kutaga na kuangua vifaranga. Weka kumbukumbu za kiasi, bei na siku ya kununua vyakula, kuku au mayai. Chakula cha…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document