Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi
SEHEMU YA KUMI NA NNE
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Jinsi ya kutengeneza minyoo kwa ajili ya kuku……….. 103 Jinsi ya kutengeneza funza kwa ajili ya kuku …………. 104 Jinsi ya kutengeneza mchwa kwa ajili ya kuku………… 105 Marejeo ……………………………….…………………..107 Mgina Agri Business Co. Ltd 4
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
NJIA RAHISI KUZALISHA KUKU CHOTARA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
1. HATUA YA KWANZA, andaa banda lako ambalo linafaa kwa matumizi ya ufugaji wa kuku, banda la kuku linatakiwa liwe linapitisha hewa ya kutosha. 2. HATUA YA PILI, andaa kuku wa kienyeji matetea (majike) na jogoo la kisasa aina ya kocks au aina yoyote ile ambayo inafaa, wachanganye kuku wa kienyeji na jogoo la kisasa katika banda moja ili uweze kupata mayai yenye mchanganyiko wa kuku wa kienyeji na kisasa. Kumbuka jogoo mmoja (1)anatakiwa kuwa na matetea kumi
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
1 VYOMBO VYA MAJI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuna njia nyingi za kutengeneza vyombo vya kuwekea maji ya kuku ya kunywa. Aina ya mojawapo unayoweza kutumia ndoo au debe la lita kumi au ishirini ya plastiki. Kata ndoo hiyo pande nne kutoa nafasi ya kuku ya kunywea. Tengeneza idadi ya vyombo hivi inayowiana na wingi wa kuku ulionao. Au waweza kutumia sufuria au beseni pana kiasi. Hii huwekewa tofali au jiwe safi pana baada ya kuwekewa maji ya kunywa ili kuzuia kuku wadogo wasizame na maji yasichafiliwe kirahisi. Mgina Agri Business Co. Ltd 29 Vifaa maalum vya kunyweshea kuku vinapatikana…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
JINSI YA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ili mfugaji wa kuku aweze kupata faida nzuri basi ni vyema akatengeneza chakula cha kuku yeye mwenyewe ili kupunguza gharama, hapa tutajifunza kutengeneza chakula cha kuku sisi wenyewe. Mwongozo huu unaeleza mambo ya msingi katika kuandaa vyakula vya kuku wa rika tofauti. Kama mifugo wengine, kuku wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika na mwili kama wanga, protini, Madini, mafuta , vitamin na maji. Mgina Agri Business Co. Ltd 65
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
UTARATIBU WA KUCHANGANYA VIUNGO GHAFI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kwanza pima kwa makopo au mizani viungo ghafi vyote vyenye uzito mkubwa viweke kwenye fungu lake moja na kuvichanganya vizuri. Kwa mfano: Unga wa nafaka , Pumba ya mashudu, Mashudu ya alizeti Halafu kwenye fungu la pili changanya vizuri viungo vyenye uzito mdogo kama: Unga wa dagaa, Unga wa mifupa au chokaa , Chumvi ya jikoni Mwishoni Changanya mafungu yote mawili kikamilifu. Mgina Agri Business Co. Ltd 66
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
ULISHAJI WA KUKU WA MAYAI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo: Mgina Agri Business Co. Ltd 70
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
JINSI YA KUTENGENEZA MINYOO KWA AJILI YA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
KUKU Kutengeneza minyoo ya chakula (red worms planning) Red worms planning ni utaratibu wa kuzalisha minyoo kwa ajili ya kuku na Samaki, fuata hatua zifuatazo kuzalisha Red worms asilia , Chukua mavi ya ngombe mapya au ngombe aliyechinjwa mavi ya tumboni au mavi ya kuku mabichi Kusanya Damu damu, ngozi, utumbo, magoroto, nyama nyama nk Pakia kwenye kiloba au gunia Chimba shimo la wastani kisha mwagia maji ndoo kubwa 4 5 Fukia hilo gunia na mwaga maji ndo 2 mara 1/2 kwa siku kwa muda wa siku 8 hadi 12 Mgina Agri Business Co. Ltd 103 Baada Ya…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
KANUNI AU HATUA ZAKUFUATA KUTENGENEZA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
MCHWA Andaa mahitaji muhimu yanatakiwa kinyesi kikavu cha ngombe au mbuzi -majani makavu,au mabua ya mahindi,maharage hata maranda unaweza tumia mojawapo au ukachanganya -chungu,au sufuria au box Changanya vitu tajwa hapo juu vyote vizuri Nyunyizia maji kila kilichomo kilowane kiasi Weka mchanganyo wako kwenye chombo ulichokiandaa,chungu,sufuria au box Chukua chombo hicho kakiweke sehemu ambayo unahisi mchwa wanaweza kupatika mfano,kichuguu, kwenye njia mchwa, sehemu nyingi ya ardhi kavu mchwa wanapatika Acha chombo chako hapa kwa masaa 24…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.