Home » deVineVision STATIONERY
deVineVision STATIONERY - Huduma Bora Kwa Bei Nafuu!

Huduma Bora Kwa Bei Nafuu!

Kisesa – Mwanza

Tupigie simu kwa huduma zote!

Karibu kwenye Huduma za Kisasa na za Kitaalamu

deVineVision Stationery Services

Huduma Zinazotolewa

Huduma za Msingi

  • Kupiga Photocopy
  • Kuandika Nyaraka (Typing)
  • Kuskan (Scanning)
  • Kuchapisha (Printing)
  • Kulamineti (Lamination)
  • Kufunga Vitabu (Binding Books)
  • Picha za Passport (Dakika 3)
  • Kutengeneza Kadi za Biashara
  • Kutuma Maombi ya Visa Mtandaoni

Huduma za Ziada

  • Usajili wa TRA
  • Usajili wa BRELA
  • Cheti cha Kuzaliwa (RITA)
  • Cheti cha Kifo (RITA)
  • Usajili wa Ndoa (RITA)
  • Ubunifu wa Grafiki
  • Maombi ya Leseni za Biashara
  • Maombi ya Mkopo kwenda bodi ya mikopo (HESLB)
  • Kuchapisha T-shirt
  • Maombi ya Kazi Mtandaoni
  • Ubunifu wa Nembo (Logo Design)
  • Uundaji wa Mabango (Banner Creation)
  • Matangazo ya Biashara

Wasiliana Nasi

Taarifa za Mawasiliano

Kisesa, Mwanza

0620339260, 0762089666

contact@devinevisiontech.com

Saa za Kazi: Jumatatu - Jumapili, 8:00 - 18:00

Location Map

Tutumie Ujumbe

Thank you for your message! We will get back to you soon.
Scroll to Top