Tenzi za Rohoni 113 – Ni Mfalme Wa Mapenzi

Tenzi za Rohoni 113 – Ni Mfalme Wa Mapenzi

Tenzi Na. 113

Soma maneno kamili ya Tenzi za Rohoni namba 113, “Ni Mfalme Wa Mapenzi”, kwa ajili ya ibada, kuimba na kujifunza.


Maneno ya Wimbo

Ni Mfalme wa mapenzi
Ndiye anichungaye,
Sipungukiwi, hawezi.
Kunipoteza yeye.
Kando ya mji mazima
Yeye huniongoza
Katika malisho mema
Daima hunilaza.
Mara nyingi hupotea
Kwa ukaidi wangu,
Naye huniandamia,
Hunirudisha kwangu.
Uvulini mwa mauti,
Siachi hatari kamwe,
Wewe Bwana huniachi,
Mwokozi wangu wewe.
Waniandikia meza
Neema kwako tele.
Kwa wewe, yote naweza.
Na msalaba mbele.
Kamwe hautapungua
Uule wema wako;
Mwisho, atanichukua,
Juu, niimbe kwako.


Tazama Tenzi za Rohoni 1–164


Omba App ya Tenzi za Rohoni kwa Android

banner
Scroll to Top