Skip to main content

Ukuzaji wa Vifaranga Kuanzia Siku 1: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Ukuzaji wa Vifaranga Kuanzia Siku 1

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ukuzaji wa Vifaranga Kuanzia Siku 1. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ukuzaji wa Vifaranga Kuanzia Siku 1 · PDF · 43 kurasa

Ukuzaji wa Vifaranga Kuanzia Siku 1 – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

VYAKO VIZURI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna vitu vya msingi katika uleaji wa vifaranga vya kuku. Uleaji huu hutofautiana kati ya vifaranga wa kuku wa mayai, kienyeji na kuku wa nyama katika chakula na chanjo kwa ujumla

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MATAYARISHO

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Banda liwe imara kuepuka wizi na wanyama wasumbufu kama ngoja, Paka, Mbwa, Mwewe, na Vicheche. Banda liwe linaweza kuingiza hewa ya kutosha na kavu isiyo na unyevunyevu. kabla ya kuingiza safisha banda nje na ndani kwa kutumia dawa ya kuua vijidudu vya magonjwa. Paka chokaa kuta za ndani na hakikisha banda haliwi na joto Kali, baridi kuingiza, mvua na upepo mkali. Tayarisha chakula bora. Vifaa vya kulishia na kunyweshea maji. Tandiko safi, kama vile maranda, pumba za mchele Dawa

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

KABLA YA KUFIKA VIFARANGA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Banda liwe tupu kwa wiki moja baada ya kusafisha kwa dawa. Vifaranga Usichanganye vifaranga wa sehemu tofauti. Vifaranga huweza kuathirika haraka na mazingira hivyo yafaa kuwa na uangalifu wa hewa, mwanga na joto. Vifaa vya mwanga na joto ni muhimu na lazima katika kulea vifaranga. Tangazi za msuara kwa kutumia hard board yenye urefu wa sentimita 60 na katikati weka balbu au Niko la mkaa na taa ya mafuta; Kwisha mwanga wa kutosha ili vifaranga waone chakula na maji. weka chokaa halafu maranda na tandiko chilk paper au magazeti juu. ya maranda.…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

KUPOKEA VIFARANGA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

==Joto la bandani liwe kama ilivyo elekezwa hapo juu. ==Chakula na maji viwepo kwa masaa 24 kwa siku 14-21 za mwanzo,,,,kisha ondoa chanzo cha joto na taa zizimwe usiku. ==Wiki la kwanza kati ya siku ya 7 au ya kumi vifaranga wapewe chanjo ya kideli/newcastle ===Siku ya 14 au ya 18 kuku wapewe chanjo ya GUMBORO/IBD ==Muda huu wa wiki tatu wape chakula aina na Starter crumble…au siku saba za mwanzo wape Pre starter alafu wiki 2 wape starter. ==Hudhuria mara kwa Mara bandani kuangalia tabia za vifaranga wako…ambapo ,,, Joto likizidi vifaranga…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

UGONJWA WA KUHARISHA KINYESI CHEUPE 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Jinsi ya Kuzuia Hakikisha kwamba vifaranga wako wanatoka katika vyanzo vilivyothibitishwa kuwa havina huu ugonjwaTengeneza utaratibu wa kufanya usafi wa mabanda na mazingira mara kwa mara unapobadilisha makundi ya kuku kwa kutumia viuatilifu vilivyopendekezwa.Panga utaratibu wa kuchunguza afya za kuku wote wenye umri zaidi ya miezi mitano (5) mpaka hapo kundi lote litakapoonyesha kwamba hakuna kuku mwenye maambukizi, kuku salama wahamishiwe katika mabanda safi.Weka utaratibu wa kuhakikisha watu, wanyama, ndege wa aina nyingine na ndege wa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document