Skip to main content

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon · PDF · 77 kurasa

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji - Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa - David R. G. Nashon – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

UMUHIMU WA KUFUGA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ufugaji wa kuku kama ulivyo ufugaji mwingine una faida nyingi kwa mfugaji. Faida za ufugaji wa kuku unatazamwa katika makundi mbalimbali kama vile chakula, fedha na mbolea.  Chakula. Faida ya kwanza ya kuku ni kwamba hutumika kama kitowea kwa mfugaji na jamii.  Mayai. Kuku wanaotaga mayai wanafaida kubwa kutokana na mayai yao kuweza kuuzwa sehemu mbalimbali au kuliwa. Mayai ni muhimu sana kiafya kutokana na kusheheni protini.  Fedha. Ufugaji wa kuku kibiashara umewakomboa wafugaji wengi kutoka kwenye dibwi kubwa la umaskini. Wafugaji uwauza…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

NJIA ZA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mambo yanayomfanya mfugaji kuamua atumie njia fulani ya kufuga ni pamoja na uwezo wa kugharamia shughuli ya ufugaji wa kuku na ukubwa wa eneo alilonalo la kufugia. Katika

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

1 Kufuga huria

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. Njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. Mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. Kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Kuku hulala eneo lisilo rasmi kama vile jikoni, kwenye kiambata n.k. Faida zake  Ni njia rahisi ya kufuga.  Gharama yake pia ni ndogo.  Kuku wanapata mazoezi ya kutosha.  Kuku wanapata chakula mchanganyiko ambacho kinafaa kiafya. Hasara zake Kuku huwa hatarini kuibiwa au kudhurika na wanyama…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

2 Kufuga nusu ndani nusu nje 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hata hivyo gharama za muda huo na za vifaa vingine zitafidiwa na mapato ya ziada utakayopata kwa kufuga kwa njia hii. 3. Kufuga ndani ya Banda tu. Njia nyingine ni kuwafuga kuku ndani tu. Katika njia hii, kuku hukaa ndani wakati wote. Njia hii ya ufugaji utumiwa zaidi na wafugaji wa kuku wa kisasa. Lakini yaweza kutumika hata kwa kuku wa asili hasa katika sehemu zenye ufinyu wa maeneo. Changamoto zake Unatakiwa uwe na muda wa kutosha wa kuwahudumia kuku wako kikamilifu. Pia unatakiwa kuwa na mtaji mkubwa wa kujenga banda na kuwanunulia kuku…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara  Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa.  Banda lijengwe na vifaa vinavyopatikana katika mazingira yako ili liwe na gharama utakayoweza kumudu.  Unaweza kutumia matofali ya udongo, udongo, miti, fito,n.k. Ukitumia fito au mabanzi ondoa maganda ili kuthibiti mchwa.  Jengo mara litazuia maadui kama panya…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MAKUNDI YA VYAKULA 4

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU: Njia za kuchanganya chakula cha kuku; Kuna njia kuu mbili za kuchanganya chakula cha kuku, nazo ni; Kuchanganya chakula kwa mashine;  Njia hii hutumika viwandani kuchanganya chakula kwa ajili ya kuku wanaofugwa katika mashamba makubwa.  Kuchanganya chakula majumbani (home made ration): Hii ni njia inayotumika kuchanganya chakula kwa ajili ya kulisha kundi dogo la kuku na njia ambayo inaweza kutumiwa na wafugaji wadogowadogo.  VIFAA; Beleshi /koleo(spade), Turubai/sakafu safi, Viinilishe , Viroba/Magunia kwa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MAHITAJI HALISI YA VIINILISHE KWA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

MUHTASARI:  Vyakula kutia nguvu mwilini kilo 74  Vyakula vya kujenga mwili kilo 22  Vyakula vya kuimarisha mifupa (Madini) kilo 4 JUMLA kilo 100

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

HATUA ZA KUCHANGANYA CHAKULA CHA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

KUKU: HATUA YA KWANZA. Katika hatua ya kwanza utaanza kuchanganya vyakula vya madini Changanya , chokaa, chumvi na majivu ya mifupa pig mix vizuri – huu utauita mchanganyo Na.1

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

KUZALIANA NAKUTOTOLESHA 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kutotoa kwa njia ya asili Hii inafanyika kwa kuku kuatamia mayai kwa hatua zifuatazo. Kuandaa kiota:  Kiota kiandaliwe kabla kuku hajaanza kutaga kwa kukiwekea nyasi kavu na kuzisambaza kwa kutengeneza muundo wa kata au sahani iliyozama kidogo.  Kiota kinyunyiziwe dawa ya unga kuua wadudu kabla na baada ya kuweka nyasi. Iwapo kuku atajiandalia kiota chake mahali panapofaa aachwe hapo ila kiota kiwekewe dawa ya kudhibiti wadudu. Maandalizi ya kuku anayetaka kuatamia Dalili za kuku anayetaka kuatamia ni:  Anatoa sauti ya kuatamia.  Ushungi…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document