Skip to main content

Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili Kibiashara: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili Kibiashara

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili Kibiashara. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili Kibiashara · PDF · 29 kurasa

Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili Kibiashara – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

UTANGULIZI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Asilimia 75% ya Watanzania ni wafugaji wa kuku wa asili. Kila mtanzania anaweza kufuga kuku bila kujali hali ya kipato kwa kuwa kuku wa asili wanavumilia magonjwa na wanakubali mazingira yote ya ufugaji. Kuku wa asili wamekuwa wakifugwa holela bila kuzingatia kanuni bora za ufugaji wa kuku hivyo kupelekea mazao duni na hata kupungua kwa idadi ya kuku wa asili. Hivyo ipo haja ya kuboresha mazingira na kufuata kanuni za ufugaji bora. Lengo ni kuongeza uzalishaji wa mayai kutoka mayai 60 hadi mayai 100 kwa kuku kwa mwaka na kuongeza uzalishaji wa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Banda na mazingira ya kufugia

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Muheza – Idara -Mifugo na uvuvi. Vipimo vya banda Kuku wanahitaji nafasi tofauti kutegemea na umri aina na njia za ufugaji Kwa muda wa majuma manne ya mwanzo eneo la mita mraba1 au eneo la

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

hatua moja linatosheleza vifaranga 16 Banda lenye eneo la mita mraba 16

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

linaweza kulea vifaranga 320 hadi majuma 4. Baada majuma manne ya umri nafasi iongezwe. Idadi ya kuku katika eneo la mita za mraba. Aina ya kuku Njia za ufugaji Kuku wa mayai Kuku wa nyama Sakafu ya matandazo 3-4 6-8 Ufugaji wa kwenye 8 – 12 15 – 25 vichanja maalumu vya chuma Vifaa vinavyohitajika katika banda la kuku:  Vyombo vya maji – maalumu vya plastiki au bati vya kuweka maji kwa ajili ya kuku, unaweza kutumia sahani na kopo jaza maji kwenye kopo kisha lifunike na sahani na ligeuze hii ni kwa ajili ya vifaranga, kwa ajili ya kuku…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

NJIA MBALIMBALI ZA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuku huweza kufugwa kwa kutumia njia mbalimbali kutegemea ukubwa wa eneo na uwezo wa mfugaji, kuna njia tatu za ufugaji wa kuku nazo ni :  Ufugaji huria- kuku huachwa wenyewe wajitafutie chakula na maji , ufugaji huu hutumika sana kwa kuku wa asili na hakuna utaratibu wowote wa kuwapatia chakula cha ziada  Faida  haina gharama kubwa  Kuku wanapata mzoezi yakutosha  Hasara  Huharibu mazingira, hula mazao hasa nafaka  Ni rahisi kuku kuathriwa na wezi, wanyama wakali au hali mbaya ya hewa.  Ni rahisi kuambukizwa na kusambaza magonjwa …

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

JINSI YA KUZUIA MAGONJWA KANUNI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

USAFI – ni muhimu sana kwa ajili ya kuzuia magonjwa CHANJO- kuku wapatiwe chanjo dhidi ya ugonjwa wa kideri (Mdondo) KUNYWESHA DAWA ZA MINYOO – kuku wapatiwe dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu Magonjwa yanayosababishwa na virusi Mdondo – new castle Dalili za ugonjwa  Kuku kukohoa

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document