Skip to main content

Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji – Muundo 01 · PDF · 28 kurasa

Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji - Muundo 01 – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

UFUGAJI BORA NA RAHISI WA KUKU WA KIENYEJI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna usemi fulani unatumiwa na watu wengi sana, unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” .Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini wa kipato na hali mbaya ya maisha, tunalazimika kufanya jukumu…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

1 Ufugaji Huria

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Aina hii ya ufugaji, kuku huachiwa huru wajitafutie chakula na maji wao wenyewe. Utaratibu huu hutumika zaidi kufugia kuku wa kienyeji ambapo mfugaji hupata hasara na pengine hupata faida kidogo maana kuku hukosa uangalizi na hawapewi chakula cha ziada. Faida. o Haina gharama kubwa za ufugaji. o Kuku hupata mazoezi ya kutosha. Hasara. o Huharibu mazingira maana hula nafaka, mazao nk. o Ni rahisi kuambukizwa na kusambaza magonjwa. o Ni rahisi kuathiriwa na hali mbaya ya hewa, watu na wanyama wakali kama paka, vicheche, mwewe, kipanga, nyoka nk.…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

1 Ufugaji Huria 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Faida. o Gharama ya ufugaji wake ni kubwa. o Faida yake ni kubwa hasa ukufuga kibiashara. o Ni rahisi kuelewa kiwango cha utagaji na utotoaji wa kuku wako. o Ni rahisi kufahamu kuku wazuri wa kuatamiashia mayai na kulea kwa faida ya haraka. o Siyo rahisi kuku kuathiriwa na wezi/wanyama/vicheche/mwewe/hali mbaya ya hewa. o Siyo rahisi kuambukizwa magonjwa mbalimbali kutoka nje. o Ni rahisi kutibu na kujua maendeleo ya kuku wako kwa urahisi. o Wanakuwa na usalama wa uhakika. o Faida zake ni nyingi kuliko ufugaji huria. Hasara o Gharama za mwanzo…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

1 Ufugaji Huria 6

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Na kama huwezi unaweza kujitengenezea wewe mwenyewe kwa kukusanya mahitaji muhimu ya viinilishe kama ifuatavyo hapa chini; Aina ya chakula Kiwango cha uchanganyaji (%) Vyakula Vifaranga Kuku wa Nyama Kuku wa Mayai (Kgs) (Kgs) (Kgs) Mahindi 70 70 70 Ulezi 20 40 40 Mtama 20 30 30 Mpunga 40 70 70 Ngano 5 40 40 Pumba za Mahindi 10 20 20 Pumba za Mpunga 10 20 20 Pumba za Matama 10 20 20 Pumba za Ngano 5 15 15 Mashudu ya Nazi 10 30 40 Mashudu ya Pamba 5 10 10 Mashudu ya Alizeti 10 20 20 Mashudu ya Ufuta 10 10 5 Damu iliyokaushwa 5 5 5 Mifupa…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Mtaji, gharama na bajeti

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

o Chagua njia bora na rahisi inayokufaa kulingana na eneo ulilopo na mahitaji yako pia. Angalia njia itakayokupa faida kwa gharama ndogo. o Chagua kuku wenye uwezo wa kukua haraka, wanaostahimili magonjwa, wanaotaga mayai mengi, wanaoweza kuangua vifaranga wengi na kuwalea. o Chagua jogoo aliye na uzito mzuri na mwenye kucha fupi. o Uwiano wa jogoo kwa majike iwe ni jogoo 1 kwa majike/mitetea 10. o Kuku anayetazamiwa kuatamia mayai anatakiwa asiwe na chawa/viroboto/utitiri. o Kuku ambaye hakidhi sifa za kuwa kuku bora anayefaa kuwa kwenye…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document