Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Safari ya Ufugaji – KingoFarm
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Safari ya Ufugaji – KingoFarm. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi
UTANGULIZI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ufugaji ni miongoni mwa tasnia ambayo inakuwa kwa kasi sana hapa nchini , hasa ufugaji wa kuku kwa njia za kisasa, wafugaji wanaongezeka siku mpaka siku kwenye hii tasnia sambamba na matumizi ya hii bidhaa kuzidi kuwa makubwa sana. Miaka kadhaa ya nyuma ufugaji wa kuku ulichukuliwa kama ni sehemu ya mtindo wa maisha hasa ya watu waishio vijijini. lakini sasa mambo yamebadilika ni kawaida sana kuona katikato ya mji kunai wafigaji wa kuku, tena mpaka kwa kiwango kikubwa. Vijana pia wamehamasika sana katika hii sekta ya ufugaji wa kuku, na…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
HATUA ZA KUFUATA, kama huna mtaji wala elimu ya kutosha
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Fuga kuku kulingana na kiasi cha fedha ulichonacho ukifuata uhalisia wa gharama za ufugaji, usilazimishe kubana sana bajeti, kama kuwapa chakula kisicho na ubora na virutubisho, utapoteza hata hiyo pesa yako ndogo Tumia muda wako mwingi kukaa karibu na kuku ili kujifunza tabia za kuku pamoja na mabadiliko yanayojioikeza punde tu wanapopata maambukiuzi ya magojwa na kuwatembelea wataalamu au wafugaji wa muda mrefu pia unaweza ukawa unachangamana vizuri na wafugaji wezako kupitia makundi mbalimbali ya ufugaji kwenye mitandao ya kijamii kama…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
HATUA ZA KUFUATA, kama huna mtaji wala elimu ya kutosha 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Gawanya malengo yako kwa muda anza na kidogo kidogo mpaka ufikie malengo makubwa, unashauriwa kuanza na mtaji mdogo hata kama unamtaji mkubwa ni vizuri unapokuwa huna uzoefu wa kutosha kuwekeza pesa ambayo utakuwa tayari kuipoteza, Usitake kukua/ kutanuka kwa haraka, zingatia aina ya kuku unao amua kuwafuga kama ni chotara au broila ukichagua aina moja ya kuku wa kuwafuga itakufanya uwaelewe kwa undani, kwasabubu kwa kiasi Fulani changamoto za magonjwa na bajeti zinatofautiana kutokana na utofauti wa aina za kuku, pia zingatia idadi ya kuku wa…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
HATUA ZA KUFUATA, kama huna mtaji wala elimu ya kutosha 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Wafugaji wengi wakubwa wana historia zinazoonyesha kuwa walianza na mitaji ya kusua sua, hatua zifuatazo huwa zinatumika sana kwa wafugaji wasiokuwa na mitaji ya kutosha. kuzalisha vifaranga kwa njia ya kuatamisha. Moja ya sehemu nzuri ambayo utatumia mtaji kidogo kwenye ufugaji wako ni kuzalisha vifaranga kwa kuatamisha makoo (tetea). Kuku wa kienyeji wanao uwezo wa kuatamia mayai yaliyorutubishwa ( mayai ambayo tetea amepandwa na jogoo), unaweza ukatafuta kuku tetea wa kuatamia mayai wenye umri sawa na ukatengeneza mpango wa kujipatia…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
2 Wakianza kutaga kama itatokea utagaji wao utakuwa wa kupishana, wasubilishe kwa 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kwa kufuata hatua hizo utaweza kuzalisha kuku wengi pasi kutumia gharama kubwa na ukawatumia kuku hao kujipatia elimu pindi utakapokuwa unawafuga hususani namna ya kukabiliaa na magonjwa, hakikisha kila hatua unayopitia kuna funzo muhimu unalipata, hiyo ndio maana ya elimu kwa vitendo, Na mwisho kabisa kwenye hii sura nnakuhamasisha msomaji kuanza nakile ulicho nacho, pasi kusubili mpaka uwe na mtaji mkubwa wapo watu wengi wanatamani kufuga lakini ukiwauliza watakwambia bado najipanga naweka mambo sawa kasha nitafuga, ukiwa na mtazamo huu…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
3 Elimu juu ya uleaji wa vifaranga, kutambua hatua stahiki zinazotakiwa kufuatwa ili
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
kifaranga awe mwenye afya bora nayo ni changamoto pia, Hiyo ni baadhi ya mifano tuu juu ya changamoto lakini nikiri kwamba changamoto ni nyingi sana, na zinatofautiana kwa kila mfugaji. HATUA ZA KUFUATA KATIKA ULEAJI WA VIFARANGA KUANZIA SIKU MOJA.
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
3 Elimu juu ya uleaji wa vifaranga, kutambua hatua stahiki zinazotakiwa kufuatwa ili 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Wapo wafugaji ambao wana mashine za kuatamisha mayai lakini pia wapo wafugaji ambao huagiza au hununua vifaranga kutoka kwenye makampuni au wafugaji wa kuaminika, kama unaagiza vifaranga hakikisha unamtumia maelekezo ya mtu mzoefu ambaye ameshawahi agiza atakupatia ABC kuhusiana na huyo msambazaji, wapo wengi hapa nchini, lakini kuna changamoto kubwa sana pia kwa hawa wasambazaji zikihusiana na ucheleweshwaji wa vifaranga, kuleta aina tofauti ya vifaranga ukilinganisha na vile ambavyo mfugaji aliagiza, kuleta vifaranga wasio na ubora, hivyo…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
MAANDALIZI YA KUPOKEA VIFARANGA SIKU YA KWANZA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Umekwisha wafikisha bandani vifaranga wako, ni vyema ungewahesabu kwa idadi Kabla ya yote wape vifaranga wako glucose, ambayo imechanganywa kwenye maji kwa muda usiopungua masaa mawili kabla hujawapatia chakula. Hii itawasaidia kuwapa nguvu vifaranga wako kutokana na hali ya kuto kula tokea watotolewe. Kisha wape chakula kwenye vyombo vyao vya chakula ambavyo wanaweza kula kwa uhuru zaidi, hapa kuna baadhi ya wafugaji hutumia magazeti kuyatandaza chini ili waweze kuwamwagia chakula hapo kwenye magazeti, lakini pia wafugaji wengi hutumia…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
FAIDA ZA KUFUGA KUKU KWA KUFUATA HATUA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
kuwa na uwezo mkubwa wa kugundua na kutibu magojwa, ni rahisi sana kugundua kuku wako hawako sawa kama ukiwa na idadi ndogo ya kuku ukilinganisha na idadi kubwa hiyo itakupa nafasi ya kutibu kwa usahihi na kuwa kama darasa kwako pale ambapo utafanikiwa kutatua changamoto itakupa nafasi ya kutambua sokoni wanahitaji bidhaa gani kwa mantiki ya kwamba kama umekosea bidhaa uliyozalisha bado utakuwa na uwezo mkubwa wa kurekebisha , kwa mfano ni rahisi kubadili mapango ambao liwaza kuuza kuku wa nyama na wanao hitajika ni kuku wa mayai Ni rahisi…
Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.