Skip to main content

Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa: Mwongozo wa Hatua za Vitendo

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Mwongozo wa Hatua za Vitendo: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa. Jifunze vipengele vya utekelezaji na maswali ya kupanga kazi vinavyoibuliwa na mwongozo huu. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa · PDF · 22 kurasa

Banda Lenye Tija - Mwongozo wa Banda la Kuku - Zacharia Nyiliwa – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Namna ya kutumia taarifa za kitabu katika kazi

JINSI YA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI WA BANDA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Chagua kiwanja/eneo bora ni vema kuzingatia SEHEMU ambayo ata ikinyesha mvua maji ayawezi kutowama na kusababisha usumbufu wa kuama Fanya utafiti wa kutosha ni vema kabla ya kuanza ujenzi ujue gharama za vifaa vyote vya banda ili kuepuka kusitisha ujenzi mwishoni Chagua msimu sahii wa ujenzi wa banda ni vema kuzingatia ili kwa kuepusha hasara kwa kawaida msimu wa kifuku uwa na mvua nyingi Chagua ramani nzuri na lahisi kwa maana ramani uwa zinatofautiana kilingana na mazingira ya JOTO na BARIDI BANDA

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

MIFUMO YA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna aina nyingi za mifumo ya ufugaji na utumika kulingana na mazingira husika ili kuweza kukidhi haja ya mahitaji mara nyingi sehemu zenye joto uwa na ramani za mabanda yake na sehemu zenye baridi uwa na ramani ya mabanda yake kulingana na HALI YA HEWA

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

DEEP WATER SYSTEM

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni aina ya mifumo ya ufugaji ambao utumia njia nza kisasa katika kusambaza maji na chakula ndani ya banda la kuku na kutokana na utumiwa na idadi chache ya watu hasa MIJINI sababu ya ugeni wake kwa wafugaji wengi FAIDA ya kutumia mfumo huu ni kwamba hautahitaji tena kutumia gharama za wafanyakazi wengi bandani sababu SETUP zake ulahisisha matumizi ya watu bandani sababu ya muundo wake wa kisasa wa kusambaza maji na chakula kupitia mfumo wa VYOMBO MAALUMU HASARA ya kutumia mfumo huu ni kwamba unatumia gharama kubwa ya kufunga MITAMBO ya…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

KIENYEJI PURE BREEDS

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Tukumbuke kuku wa KIENYEJI ukua taratibu kulingana na ASILI yao na sifa yao kubwa ni wavumilivu wa magonjwa mbalimbali sababu ya UIMARA wa kinga za miili yao[BODY IMMUNITY] Lengo la kufuga kuku wa kienyeji ni kwajili ya kupata mayai na nyama japokua uchelewa kukua ,hivyo basi wanahitaji muda wa miezi 5-6 kuanza kutaga mayai na kuwa na uzito stahiki

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Mada ya 5

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Tukumbuke kuku wa MAYAI kwa maana ya LAYERS ukua taratibu kulingana na HASILI yao ni maalumu kwajili ya kuzalisha mayai kuliko nyama [ EGGS PRODUCING PURPOSE]

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Banda na mazingira ya kufugia

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kabla ya kuanza UJENZI WA BANDA la kuku wa mayai lazima uzingatie taratibu za vipimo vya banda kwa kufuata idadi na aina ya kuku unaotaka kuwafuga katika eneo lako Kimahesabu ni kwamba mita ya mraba inachukua kuku wa mayai 6 8, ikiwa mita moja ya mraba inachukua kuku 6 na una mpango wa kununua kuku 100 unatumia njia ifuatayo……? P.S Unachukua 100 unagawanya kwa 6[100÷6=16.6] unapata jibu mita 16.6 kwa maana urefu mita 13 na upana mita 3.6 ,itategemeana na ENEO LA BANDA P.S.SVilevile 6 kama una kuku 300,400,600 kuendelea unatumia mbinu ile ile…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

KANUNI ZA KUONGEZA FAIDA KATIKA UFUGAJI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kupata vifaranga bora , kuna baadhi ya kampuni uzalisha visivyokua na afya bora na uchangiwa na sababu nyingi ila moja wapo ni kudanganya wateja wake kwamba wamechanja chanjo ya mareks [MAHEPE]wakati awajawachanja chanjo hiyo, hivyo uchangia vifaranga kuugua katika umri mdogo na kufa kwa magonjwa Uleaji wa vifaranga , ikiwa umepata vifaranga ni vizuri kuzingatia taratibu zote za ufugaji kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho.., mambo mihimu ya kuzingatia ikiwemo na ratiba ya chanjo , ratiba ya kuwapa chakula bora, ratiba ya kusafisha banda nk…

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

JINSI YA KUTUNZA KUMBUKUMBU KATIKA UFUGAJI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Wahenga waliwahi kusema kwamba mali bila daftari upotea bila habari, mfugaji bora ni yule mwenye taarifa kamili kuhusiana na mifogo yake , ni vema ufuate mtiririko wenye tija

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

JINSI YA KUPATA FAIDA KATIKA UFUGAJI WA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

KUKU Chanjo ya mdondo kila baada ya miezi mitatu na chanjo ya ndui mara mbili kwa mwaka Zuia viroboto,utitiri na minyoo Chagua mayai bora kwajili ya kuatamia Punguza kuuza kuku kwa makundi ili kuongeza kipato Kipato unachokipata utenge pia na kiasi kwajili ya kununua kuku wengine BANDA

Kabla ya kutumia taarifa hizi shambani, linganisha na hali ya banda, kuku, rasilimali na ushauri wa afisa mifugo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document