Misingi na Dhana Muhimu: Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Utengenezaji wa Chakula cha Kuku Kibiashara. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo
5 SURA YA TANO
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Umuhimu wa vitamins kwa kuku 6. SURA YA SITA……………………………………………………….. Utengenezaji kiatamishi (Incubator). 7. SURA YA SABA………………………………………………………. Magonjwa, Dawa na Chanjo za kuku
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
AINA ZA KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
1.1 Kuku wa mayai Kuku wa mayai wamegawanyika katika makundi makubwa mawili kulingana na rangi ya mayai. Ufuatao ni mchanganuo wa makundi haya mawili; 1.1 A . Kuku wanaotaga mayai meupe (White Egg laying Hens)
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI WA KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Hawa ni aina ya kuku wa mayai wenye maumbile madogo, na wanakula chakula kidogo pia wataga mayai madogo na yenye gamba jeupe. Zifuatazo ni aina mbalimbali za kuku hawa ambao hufugwa sana na watu wengi: 1.1 B Kuku wanaotaga mayai ya Kahawia (Brown Egg Laying Hens) Hawa ni kuku wa mayai wenye maumbile makubwa, na wanakula chakula kingi zaidi ukiringanisha na kuku wanaotaga mayai meupe. Wanataga mayai makubwa kuzidi kuku wengine wa mayai, Pia mayai yao yanakua na gamba lenye rangi ya kahawia (Brown) Zifuatazo ni aina mbalimbali za kuku hawa ambao…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
KUCHAGUA AINA YA KUKU WA MAYAI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kabla ya kuchagua aina ya kuku unaotaka kufuga, hakikisha unakua na taarifa muhimu kuhusiana na tabia za hao kuku ikiwemo kiwango kikubwa cha kutaga mayai. Zifuatazo ni tabia za kuku wanaofaa katika uzalishaji wa mayai Kwa ufugaji wa kuku wa mayai kibiashara, hakikisha unachagua aina kuku wanaotaga kiwango kikubwa cha mayai. Nunua vifaranga wenye afya njema, wanaotoka kwenye wazalishaji wenye uwezo na wanaozingatia taratibu zote za Uangulishaji bora.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI WA KUKU – sehemu ya 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Muhimu – Mfugaji akifanya uchaguzi kutoka kwenye aina hii ya kuku na kutoa matunzo mazuri kwa hao kuku waliochaguliwa, Hakika anaweza kupata kuku walio bora na wenye uzito wa kutosha pia kutaga mayai mengi na makubwa.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
iv SINGAMAGAZI
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ni aina ya kuku wakubwa wa kienyeji wanaopatikana zaidi TABORA, kuku hawa wana utambulisho maalum kutokana na rangi zao. Majogoo huwa na rangi ya moto na mitetea huwa na rangi ya nyuki. Uzito – Majogoo uzito wa wastani wa kg 2.9, mitetea wastani wa kilo 2 mayai gramu 56. (iiv) MBEYA Kuku hawa wanapatikana Ileje mkoani mbeya. Asili hasa ya kuku hawa ni kutoka nchi ya jirani ya Malawi na si wa kienyeji asilia bali wana damu ya kuku wa Kizungu "Black Australop". Majogoo Kg 3 mitetea kg 2 mayai gram 49 (iiiv)PEMBA Hupatikana zaidi Pemba. Majogoo…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
KUKU CHOTARA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuku chotara ni muunganiko au mchanganyiko wa aina mbili tofauti za kuku.Kuku hawa wanataga mayai mengi tofauti na kuku wa kawaida wa kineyeji. Ukiwalisha vizuri wanaweza kutaga mpaka mayai 240 kwa mwaka, huu ukiwa ni wastani wa karibia yai 1 kwa siku.Kuku hawa hukua kwa haraka na wana uwezo wa kufikia uzito wa kilogramu 3 katika muda wa miezi 3. Unaweza kuwatumia hawa kuku kwa ajili ya kuuza kama nyama au kwa ajili ya kuzalisha mayai ya biashara. Ufugaji wa kuku chotara hauna tofauti sana na Ufugaji wa kuku wa kienyeji Chotara ni aina ya…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
MAPINDUZI YA UCHUMI NA UFUGAJI WA KUKU – sehemu ya 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
hawatakua na siha nzuri ndo maana chotara zingine zinaupokeaji wa magonjwa kirahisi ujue hata wazazi kinga zao zilikuwa haba Chotara atakae patika kutokana na muingiliano wa wazazi unaofanyia jaribio lako ni bora kuliko wale watoto wakija kuwa wazazi nao wakapandana kizazi chao huwa na kings hafifu mno bora usiruhusu wapandane ili uendeleze ubora wa Vifaranga Sifa za chotara ●Hukua haraka sana Kwa lishe bora ukiwapatie kawaida wepesi kudhoofika na kupokea magonjwa ●Huwahi kuanza kutaga na wakianza kutaga pindi mzunguko wa mayai unapoisha…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
UKUBWA WA BANDA LA KUKU KULINGANA NA IDADI YA KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ukubwa wa banda la kuku unategemea na idadi ya kuku na aina ya kundi la kuku.Kuku wanaweza kugawanywa katika makundi mbalimbali kutegemea umri wao na madhumuni ya uzalishaji.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.