Misingi na Dhana Muhimu: Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo
TANZANIA 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mada ya 7: Utagaji, Uatamiaji na Uanguaji wa vifaranga 22 Fuata utaratibu ufuatao kuhifadhi mayai 22 Sifa za mayai ya kuatamiwa 22 Njia za uatamiaji na uanguaji 23 Uanguaji wa kubuni 23 Uanguaji wa asili 24 Kuchagua mtetea anayeweza kuatamia mayai yasiyokuwa yake 24 Kuwatayarisha kuku wa kuatamia 25 Kuwafanya kuku wengi kutotoa kwa wakati mmoja 25 Mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi 26 Jinsi ya kutambua mayai yaliyo na mbegu na yasiyo na mbegu 28 Mafunzo kwa vitendo: 28 Kutenganisha kuku(vijogoo na temba). Usafishaji wa mayai…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sehemu za mimea 50
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Umuhimu wa kutumia tiba zenye asili ya mimea 50 Baadhi ya mimea inayotibu maradhi ya kuku 50 Mada ya 12: Kuweka kumbukumbu za ufugaji wa kuku wa asili 53 Faida za kumbukumbu 53 Kumbukumbu zimegawanyika katika sehemu hizi 53 Mafunzo kwa vitendo: 55 Uwekaji wa kumbukumbu. Mada ya 13: Ujasiriamali 56 Maana ya ujasiriamali 56 Kanuni za mfanyabiashara mtafutaji/mjasiriamali 57 Aina za umiliki wa biashara 57 Wazo la biashara 57 Matatizo yanayoathiri wazo la biashara 59 Jinsi ya kuanzisha biashara 59 Faida ya mchanganuo wa biashara 60 Vyanzo vya…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Sehemu za mimea 50 5
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Pia mwongozo unaelezea lishe kwa kuku wa Asili, mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi ili kuweza kupata faida katika ufugaji, magonjwa muhimu ya kuku wa asili na jinsi ya kuyakinga na uwekaji wa kumbukumbu za ufugaji. Ni imani yangu kuwa mwongozo huu utaleta mabadiliko makubwa katika eneo hili la ufugaji kuku wa asili na kuziwezesha familia zetu kumfuga kuku huyu kwa faida na si kuishi naye na hatimaye kuchangia katika kuongeza pato la mfugaji na kuwa na uhakika wa chakula kwa familia. Peter K. Mwakabwale Mkurugenzi Heifer International…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
6 Kuboresha hali za maisha ya wahitaji wenye kipato cha chini 8
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Heifer International Tanzania viii Mada ya 1: Sifa, Faida na Changamoto za Ufugaji wa Kuku wa Asili Kuku wa Asili ni wale ambao wamekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na damu yao haijachanganyika na ya kuku wa kigeni. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbali mbali. Idadi ya kuku wa Asili hapa Tanzania inakadiriwa kufikia milioni 56. Kati ya kaya milioni 3.8 zinazojishughulisha na kilimo nchini, kaya milioni 2.3 hujishughulisha na ufugaji wa kuku wa asili. Kwa kawaida ufugaji wa kuku wa Asili hapa nchini kwetu Tanzania hufanywa na wafugaji wadogo…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
6 Kuboresha hali za maisha ya wahitaji wenye kipato cha chini 12
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kutokana na muingiliano wa vizazi, maumbile hayo yanaweza yakajitokeza kwenye aina mbalimbali za kuku, ikiwa na maana kwamba kuku mmoja kuwa na kabila moja au zaidi kwa mara moja. Hivyo aina za kuku zifuatazo zinaweza kutambuliwa kama ndiyo kabila za kuku wa Asili kulingana na maumbile yao na maeneo wanakotoka. (i) Kuchi Ni kuku wakubwa kwa umbo, warefu na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Kuchi wana manyoya machache mwilini hasa kifuani, wana mdomo mfupi na panga/vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa kilo 3.5 na mitetea…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
sehemu mbalimbali za Tanzania lakini bado hawajaweza kuainishwa vizuri ili kuweza kutambua sifa 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Gharama za chakula hupungua kwani kuku huokota wadudu na kula baadhi ya majani. iii. Gharama za kujenga uzio hazihitajiki. Banda la Ufugaji Huria Hasara zake: i. Uwezekano mkubwa wa kuku kuliwa na vicheche, mwewe na wanyama wengine, kuibwa mitaani au kukanyagwa na magari. ii. Kuku hutaga popote na upotevu wa mayai ni mkubwa. iii. Kuna usimamizi hafifu wa kundi la kuku. iv. Ni rahisi kuku kuambukizwa magonjwa. v. Utagaji unakuwa si mzuri kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa. vi. Uwekaji wa kumbukumbu si mzuri na mara nyingi kumbukumbu si…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
sehemu mbalimbali za Tanzania lakini bado hawajaweza kuainishwa vizuri ili kuweza kutambua sifa 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ufugaji Nusu Huria: Katika mfumo huu kuku hujengewa banda rasmi na banda hilo huzungushiwa wigo (uzio) au wigo huo hujengwa kwa mbele, ambapo kuku hulala ndani ya banda nyakati za usiku na kushinda nje ya banda (ndani ya wigo) nyakati za mchana wakila chakula na kunywa maji humo. Mfumo huu ni ghali kiasi kuliko mfumo huria, lakini huweza kumpatia mfugaji tija haraka sana. Faida zake: i. Sehemu ndogo ya kufugia hutumika kuliko ufugaji huria. ii. Utunzaji wa kuku ni rahisi ukilinganisha na ule wa huria. iii. Ni rahisi kutibu na kukinga maradhi…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
sehemu mbalimbali za Tanzania lakini bado hawajaweza kuainishwa vizuri ili kuweza kutambua sifa 4
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Ufugaji wa Ndani: Katika mfumo huu, kuku hujengewa banda rasmi na hufugwa wakiwa ndani huku wakipatiwa chakula, maji na kufanyiwa huduma nyingine muhimu wakiwa humo ndani kwa muda wote wa maisha yao. Kwa mfumo huu, kuku huwekwa kwenye mabanda ambayo sakafu hufunikwa kwa matandiko ya makapi ya mpunga, takataka za mbao (takataka za randa), maganda ya karanga au majani makavu yaliyokatwakatwa. Banda la Ufugaji wa Ndani Faida zake: i. Mfumo huu unahitaji eneo dogo la kufugia hivyo ni mzuri kwenye maeneo yenye uhaba wa ardhi. ii. Uangalizi wa kuku…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
2 Bainisha soko kwa kutilia maanani mambo yafuatayo
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Aina ya bidhaa/huduma utakayotoa na kwa wateja gani? Mbinu zitakazotumika ili uweze kuwa tofauti na washindani wako ili biashara ivutie wateja. Njia bora zaidi ya usambazaji na uuzaji. Eneo bora na nafuu kwa biashara yako. Namna ya kutangaza biashara yako.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.