Skip to main content

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa – David R. G. Nashon · PDF · 77 kurasa

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji - Lishe, Matibabu na Mabanda ya Kisasa - David R. G. Nashon – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

UMUHIMU WA KUFUGA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ufugaji wa kuku kama ulivyo ufugaji mwingine una faida nyingi kwa mfugaji. Faida za ufugaji wa kuku unatazamwa katika makundi mbalimbali kama vile chakula, fedha na mbolea.  Chakula. Faida ya kwanza ya kuku ni kwamba hutumika kama kitowea kwa mfugaji na jamii.  Mayai. Kuku wanaotaga mayai wanafaida kubwa kutokana na mayai yao kuweza kuuzwa sehemu mbalimbali au kuliwa. Mayai ni muhimu sana kiafya kutokana na kusheheni protini.  Fedha. Ufugaji wa kuku kibiashara umewakomboa wafugaji wengi kutoka kwenye dibwi kubwa la umaskini. Wafugaji uwauza…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

1 Kufuga huria

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuku huachwa wenyewe kujitafutia chakula na maji. Njia hii inatumika zaidi kufuga kuku wa kienyeji. Mara chache sana mfugaji huwapatia kuku chakula cha ziada. Kwa ufugaji huu lazima kuwe na eneo kubwa la kutosha kuku kuzunguka na kutafuta chakula. Kuku hulala eneo lisilo rasmi kama vile jikoni, kwenye kiambata n.k. Faida zake  Ni njia rahisi ya kufuga.  Gharama yake pia ni ndogo.  Kuku wanapata mazoezi ya kutosha.  Kuku wanapata chakula mchanganyiko ambacho kinafaa kiafya. Hasara zake Kuku huwa hatarini kuibiwa au kudhurika na wanyama…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU 4

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Husambaza au kupekua chakula kwa miguu hata kwa midomo ili kupata chakula cha chini. Tabia hii husababisha kumwagwa kwa chakula kingi chini na kusababisha hasara. Unaweza kudhibiti tatizo hili kwa kutengeneza vyombo visivyoruhusu kuku kuchakura kama inavyoonyeshwa kwenye kielelezo hapa chini. Unaweza kutengeneza kilishio hiki wewe mwenyewe au fundi seremala waliopo katika eneo unaloishi. Inafaa kilishio kiwe chembamba ili kuku wasiweze kuingia. Pia kinatakiwa kiwe kirefu ili kuku waweze kula bila kusongamana. VIOTA Zipo aina tofauti za viota…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

LISHE BORA YA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyakula kama ifuatavyo:  Vyakula vya kutia nguvu  Vyakula vya kujenga mwili  Vyakula vya kuimarisha mifupa  Vyakula vya kulinda mwili  Maji.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MCHANGANUO WA VIINILISHE VYA CHAKULA CHA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

KUKU: Aina ya chakula kiasi. 1 Vyakula vya kutia nguvu mwilini: o Pumba za mahindi kilo 48 o Pumba laini za mpunga kilo 26 Jumla kilo 74 2 Vyakula vya kujenga mwili : o Mashudu ya alizeti kilo o Damu ya wanyama kilo 1 o Mabaki ya samaki /dagaa kilo 3 Jumla kilo 22 3 Vyakula vya kuimarisha mifupa (Madini): o chumvi ya jikoni kilo ½ o chokaa (dicalciumphosphate)… kilo 2 o poultry premix kilo ½ o Unga wa mifupa kilo 1 o Jumla kilo 4

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

LISHE KATIKA CHAKULA MWILINI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

GANI Pumba, Chenga za Wanga Kutia nguvu nafaka kama mwilini mahindi, mtama. Mashudu Kutia nguvu na Mafuta yanayopatikana joto mwilini baada ya kukamua mbegu za mafuta kama alizeti, karanga Mashudu ya karanga Kujenga mwili Protini au alizeti.Damu na iliyokaushwa ya kukarabati wanyama kama mbuzi, ng’ombe n.k. mwili Mbegu za jamii ya mikunde kama maharage, kunde, soya…. Majani mabichi kama Kulinda mwili. Vitamini mabaki ya mboga za Majani majani, michicha ya mabichi pia porini, majani huwezesha mabichi ya mipapai, majani ya Lusina n.k. kuku…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

LISHE KATIKA CHAKULA MWILINI 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Vifaa Kiasi kwa kilo Dagaa (unga au vichwa 12 hadi 15 vya dagaa) Chenga za nafaka kama 40 mahindi au mtama n.k Mashudu 20 Pumba 24 Chokaa 2 Unga wa Mifupa,Madini 2 ( Premix) Chumvi Robo kilo Mchanga 1 Jumla Kilo 100 Kwa kuku wanaokua (baada ya miezi miwili) Vifaa Kiasi kwa kilo Dagaa (unga au vichwa 7 vya dagaa) Chenga za nafaka kama 30 mahindi au mtama n.k Mashudu 20 Pumba 39 Chokaa 2 Unga wa Mifupa,Madini 2 ( Premix) Chumvi Robo kilo Mchanga 1 Jumla Kilo 100 Kama umeamua kufuga kuku kwa mtindo wa kuwaacha huru wajitafutie chakula (huria)…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

LISHE KATIKA CHAKULA MWILINI 3

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Usafi katika banda Matandazo yanayowekwa katika sakafu ya banda la kuku hayana budi yageuzwe mara kwa mara kwa wastani wa kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wakati mwingine ni kabla ya kipindi hiki muda wowote yanapoloana na maji. Matandazo uharakisha kukauka kwa unyevu katika banda unaotokana na kinyesi cha kuku na pia zaidi na maji yanayomwagika. Usafi katika banda utasaidia kudhibiti kwa kiasi kikubwa magonjwa mbalimbali. Kuokota mayai Usiyaache mayai ndani ya viota kwa muda mrefu, yaokote mara kwa mara ili kuepuka kuharibiwa kwa mayai…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MBINU ZAIDI YA KUPATA MASOKO MAZURI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ili kujua maana ya soko, dhana pana ya soko, umuhimu wa soko, bei, mgawanyo wa soko na mambo mengine juu ya soko, tafadhali tafuta kitabu cha ANZIA SOKONI. Kitabu hiki unaweza kupata nakala ngumu au ukakinunua kwa kupitia

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document