Skip to main content

Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara – Frank E. Mgina · PDF · 107 kurasa

Mbinu Bora za Ufugaji wa Kuku Kibiashara - Frank E. Mgina – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Chakula bora kwa kuku …………………. 65 Formular za chakula cha kuku ……………….. 67 Ulishaji bora wa kuku ………………………70

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Magonjwa mbalimbali ya kuku …………… 74 Magonjwa yanayosababishwa na chakula ………..93 Matatizo yanayoletwa na upungufu wa vitamin ……..94

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

3 UFUGAJI WA NDANI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Katika mfumo huu, kuku hujengewa banda rasmi na hufugwa wakiwa ndani huku wakipatiwa chakula, maji na kufanyiwa huduma nyingine muhimu wakiwa humo ndani kwa muda wote wa maisha yao. Kwa mfumo huu, kuku huwekwa kwenye mabanda ambayo sakafu hufunikwa kwa matandiko ya makapi ya mpunga, takataka za mbao (takataka za randa), maganda ya karanga au majani makavu yaliyokatwakatwa.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

SIFA YA MAYAI YA KUATAMIWA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ni vizuri kuchagua mayai ya kuatamia ili mayai yasiyofaa yaweze kuuzwa au kutumika nyumbani kwa chakula. Sifa za mayai mazuri ya kuatamiwa ni kama ifuatavyo:

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

CHAKULA BORA CHA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mfugaji ili uwape kuku wako lishe bora yenye kuendelea, na ili upate matokeo bora zaidi katika ufugaji wako wa kuku basi yakupasa kuzingatia yafuatayo:- Tumia chakula bora na siyo bora chakula. Tumia chakula bora ambacho hakina madhara kwa kuku wako na hata walaji kwa ujumla. Weka chakula mahali safi na salama kuepuka wadudu waharibifu kama vile panya ili kuzuia maambukizi ya magonjwa kwa kuku. Tumia kanuni ya "least cost combination" yaan tumia chakula cha bei nafuu kinachotoa matokeo bora zaidi ili kupunguza gharama za ufugaji hali ambayo…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

UMRI WA WIKI 1 -2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Katika umri huu wanapewa chakula aina ya "Super Starter" kwa ajili ya kuwatengenezea kinga mbadala ili waweze kuhimili mikiki mikiki ya vijidudu vya magonjwa kadri wanavyoendele kukua, wanapewa chakula hicho kwa kiwango maalum kama ifuatavyo: a) Wiki ya 1: Gramu 12 kwa kuku mmoja kwa siku moja b) Wiki ya 2: Gramu 22 kwa kuku mmoja kwa siku moja

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

UMRI WA WIKI 3 8

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hapa wanakuwa bado ni vifaranga na wanapewa chakula aina ya "Chick Starter" kwa ajili ya kuendelea kuwajenga miili yao waweze kupoekea virutubisho vizuri, hii inatokana na kwamba kuna baadhi ya viinilishe vinafanya kazi ya kumeng'enya chakula na kupatikana viinilishe vingine, kwahiyo vikikosekana katika mwili wa kuku basi hata wale chakula gani bora, hawawezi kutoa mazao bora, lakini kwa kuwapa "Chick Starter" itawapelekea kuwa na virutubisho hivyo muhimu. Kiwango na ulishaji wake ni kama ifuatavyo: Wiki ya 3: Gram 27 kwa kuku mmoja kwa siku…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

UMRI WA WIKI 9 – 18

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Katika umri huu kuku wanapewa chakula aina ya "Grower Mash" kwa ajili ya kuwakuza na kuwajenga mfumo wa uzazi kwa maandalizi ya utagaji. Kiwango cha chakula kinategemea na wiki kama ifuatavyo: Wiki ya 9: Gram 56 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 10: Gram 62 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 11: Gram 64 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 12: Gram 66 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 13: Gram 68 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 14: Gram 74 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 15: Gram 74 kwa kuku mmoja kwa siku moja Wiki ya 16…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

WA CHAKULA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Iwapo kuku watapewa chakula chenye upungufu wa viini lishe muhimu kama vile protini, wanga, madini na vitamini, wanaweza kupata madhara yafuatayo,  Kudumaa  Uzito kupungua  Damu kupungua  Mifupa kupinda,  kuvimba au kutokuwa imara.  Kupungua kwa utagaji wa mayai na kuanguliwa kwa mayai.  Ganda la yai kuwa laini na hivyo kuvunjika kwa urahisi.  Manyoya huwa machache na dhaifu.  Kujikunja kwa miguu na vidole.  Kupinda kwa shingo.  Kuwa na maji mengi mazito chini ya ngozi ya kifuani.  Kupata magonjwa ya mara kwa mara.  Hali…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document