Misingi na Dhana Muhimu: Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo
2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 4
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Vifarangakwenye tenga Baadaye wape vifaranga chakula wakiwa peke yao ndani ya tenga lililofunikwa, watakuwa na uwezo wa kuingia ndani ya tenga na kutokc kirahisi. Weka gazeti, majani mapana au pumba za mchele sakafuni wakati wa baridi. Vifaranga walale na mama yao wakati wa usiku. Mradi unavyozidi kuendelea tengeneza kibanda cha Tenga /iwekwe ndani wakati wa usiku na kukiwa na mvua mbao na waya ambaeho husafishika kirahisi na au kivu/ini wakati wa jua usisahau chakula na maji. hudumu zaidi. Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima 5 Hapo…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
4 Chakulana Lishe ya Ziada kwa Kuku wa Asili
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kwa nini kuku wapewe chakulacha ziada? Karibu ndugu msomaji katika darasa hili litakalozungumzia juu ya chakula na lishe. Kuku wa asili wana uwezo mkubwa sana wa kujitafutia chakula. Mimi nitazungumzia utoaji wa chakula cha ziada. Karibu ujue sababu na maana. Mahitaji ya lishe ya kuku hubadilika kutokana na umr-i na kama anataga au hapana. Vifaranga wanaokuwa huwa na mahitaji makubwa ya protini, ilhali wale wanaotaga huhitaji sana madini ya chokaa. Vile vile msimu wa kiangazi kuku hukosa vitamini 'A' kwa ajili ya kukosa majani mabichi, na…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
VYAKULA VYAZIADA
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Lishe ya ziada ni muhimu kwa vifaranga na kuku wanaotaga. Wakati wa upungufu wa chakula kama kiangazi kirefu kuku wote huhitaji lishe ya ziada. Wape ziada lakini waache kuku wajitafutie na ziada iwe ni ziada. Kumbuka kuwapa kuku vitcminl 'A' ya kununua dukani wakati wa kiangazi kirefu. Vinginevyo hakikisha kuwa wanapata majani ya kijani au mchicha mara kwa mara. Fuata maelezo yafuatayo kutengeneza chakula. Msingi wa vipimo vilivyoonyeshwa hapa chini ni kuwa kikombe kimoja cha chai (kile kidogo) ni sawa na gramu 200 za uzito kikijazwa hadi juu.…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
LISHE NJEMA NI AFY A NJEMA – NILISHE NIKULISHE
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Vyombo vya maji na chakula Chakula cha ziada kiwekwe katika vyombo iii kupunguza upotevu unaotokana na kumwagika chini. Tumia mbao au mabanzi kutengeneza vyombo vya kulia. Pia waweza tumia vyombo vya plastiki vilivyotumika. Chombo cha maji kinaweza tengenezwa kutokana na makopo ya bati au plastiki. Chukua ndoo ya plastiki iliyotumika kata na kisu uache urefu wa kidole gumbo. Chukua kopo la zamani la mafuta litoboe tundu na msumari katika upande wa juu. Jaza maji hadi juu wekc mfuniko kishc geuza juu chini. 10 Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
LISHE NJEMA NI AFY A NJEMA – NILISHE NIKULISHE 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Baada ya muda huo mchwa wengi watakuwa wameota Wape kuku vyote vilivyomo, mwaga katika eneo ndani a chombo. wali o kuku waanze kula mara mo ic. Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima 11 Kwa lishe bora endelevu zingatia haya T umia vyakula vinavyopatikana katika mazingira yako kuwapa kuku chakula cha ziada. Zingatia bei na kiasi kinachohitajika kama ziada iii usipate hasara. Punguza idadi ya kuku wakati wa upungufu wa chakula kupunguza hasara. Usiweke chakula cha ziada kwa muda mrefu kitaharibika. Weka vyakula mbali na ndege pori na…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
LISHE NJEMA NI AFY A NJEMA – NILISHE NIKULISHE 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Awe no umbo kubwa, awe na uwezo wa kuatamia, awe no uwezo wa kulea vizuri, na aweze kutaga mayai ya kutosha. J e unajua kuwa kuna matetea wengine akiona chakula ni mpaka ale ashibe ndiyo anaita watoto wake? Tetea ntzur-i hujali watoto kwanza. Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima 13 Nifanyeje kama sifa za tetea ninazozitakazimegawanyika kwa tetea zaidi ya mmoja? Kwa mfano kuku mmoja ni muatamiaji mzuri lakini umbo lake ni dogo, na mwingine ana umbo kubwa (mfano kuku aina ya kuchi) linalofaa kibiashara, lakini siyo mlezi mzuri.…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
2 Kumpa kuku mayai yaliyokaa muda mrefu zaidi ya siku 15 baada ya 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mara baada ya kuanguliwa vifaranga ni lazima wakae na mama yao, awatafutie chakula na kuwalinda na maadui wa mchana na usiku. Pia kuwafunika usiku iii wasipate baridi. Unaweza kuwaweka katika tenga kama lilioonyeshwa hapa na kuwafunika ndani iii wasiende mbali wakati wa mchana. Usisahau chakula na maji ya kunywa. Hakikisha hawapigwi jua wala kunyeshewa mvua. Wakati wa usiku ni lazima walale pamoja na mamayao. Watenge na mama yao baada ya miezi miwili iii kumsaidia mama yao aanze tena kutaga. Muweke mama mbali nao iii waweie kuzoea kujitafutia…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
4 Zingatia matunzo bora kwa kuku watagao kwa kuwapa chakula cha
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
ziada na maji ya kutosha (Dagaa, pumba n.k.). s. Wakati wa kuatamia ukifika, chagua mayai yaliyotagwa mwishoni, yasiyo na nyufa, masafi na mwekee kuku idadi ya mayai (8-12) kadri ya mwili wake. 6. Zingatia matunzo ya vifaranga, kuvipatia chakula cha ziada, kuviepusha na ajali na wanyama wakali.
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
MISINGIYA AFYA BORA NA KUZUIA MAGONJWAKWENYE KUKU
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Lishe bora huzuia magonjwa wape kuku chakula bora no maji scfi, Ongeza virutubisho vinavyoweza kupungua kama ilivyoelezwa katika somo la lishe. Safisha vyombo vya chakula no maji kilo mara Osha vyombo vya chakula kwa maji na kupunguza vimelea vya magonjwa. sabuni kuua vimelea vya magonjwa, Usafi: safisha banda la kuku kilo mara kuondoa mlundikano wa kinyesi. Hakikisha kuwa hakuna unyevu ndani ya banda kuua mazalia ya vimelea hatari. Paka chokaa ya kujengea ukutani kuua vimelea baada ya mlipuko wa magonjwa. Au mara moja kwa mwaka kama hakuna…
Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.