Kiswahili Kidato cha Tatu – Miundo ya Tungo
Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.
NADA YA PILE MZENGOWATUNGO
Kwa maana hii, tungo hujengwa na vipashio vidogovidogo kama vile mofimu kuunda neno, ‘Tungo neno: Tungo neno ni tungo ambayo huundwa na vipashio vidogo zaidi ya ncno ambayo: ‘Tango Kirai: ni kipashio cha kimuundo chenyc neno moja au zaidi lakini ambacho hakma ujumbe wliokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegeriea chenyewe, Dhana ya kirai itackeweka vizuri kwa kuzingatia sifa zake zifuatazo: sentensi, Kirai ni kikubwa kulike neno
1, Kirai nomino (KN); Ni kirai ambapo neno lake kuu ni nomino. Ni kirai ambacho 2, Kirai kitenzi (KT); Kirai-kitenzi ni kirai ambacho kimekitwa katika kitenzi au katika: 4 Kirai Kielezi (KE); Tofeuti na aina nyingine ya virai miundo ya virai vielezi haielekei ‘kukitwa kwenye mahusiano ya lazime baina ya neno ku (yaani kiclezi) na neno eu fungu Ja maneno linaloandamara nalo, Badala yake miuund inayobusika hapa ni ya maneno
ambayo hufanya kazi pamoja katika Lugha kama misemo, neno au maneno yanayofuata nono llilotangulia yakifafanua zaidi neno hilo
- Virai viunganishi (KV); Ni kirai ambacho muundo wake umekitwa katika mabusiano
baina ya kwa na katika, au kwenye na fungu lo maneno linaloandamana nacho. Kwa maneno mengine kirai hicho ni kile ambacho neno kuu ni kiunganishi. Tungo kishazi Kishazi ni tango yenye kitenri ambacho chaweza kujitosheleza na kukamilisha yjumbe ulfokusudiwa na mzungumzaji au kuwa na kitenzi kisichoweza kujitegemea chenyewe, Sifa za kishazi
- Kishazi hupatikana katika! ndani ya sentensi
- Lavima kishazi kiwe na kitenzi, sehemu yoyote ya sentensi isiyo na kitenzi, haiwezi kuwa
kishozi, Kishazi huru hutawaliwa na kishazi kikuu na kishazi tegemezi hutawaliwa na kishazi tegemesi
- Baadhi ya vishazi huweza kujitegemea kama sentensi hata vikiondoshwa katika muktadha wa
sentensi kuu. Kishazi kinachoweza kujisimamia kama sentcnsi huitwa kishazi hur kikiwa ndant ya sentensi kutt na huitwa “sentensi sahili” kikiwa sentensi inayojitegemea
- Baadhi ya vishazi haviwezi kujitegemea kama sentensi ikiwa vitaondoshwa katika muktadha wa
sentensi ku
- Vishazi vingi, hata vishazi huru huwa na kiima dha.
- Kishazi kwa kawaida, hasa kishazi huni huwa na kitenzi kimoja kikuu,
- Kitenzi hicho huweza kuandamana na kitenzi kisaidizi. Pia, kitenzi katika kishazi huweza kuwa
kitenai kishirikishi
- Kishazi hutekeleza majukumu mbalimbali ya kisarufi.
- Tofauti ya kishazi na sentensi ni kwamba kishazi hupatikana ndemi ya sentensi lakini sentensi
hujisimamia kimuundo na kimaana Kishazi huwa na kiarifia kimoja na kiima kimoja, Lakini sentensi huweza kuwa na kiima kimoj, Aina za vishazi 1 Vishazi huru: Kishazi huru ni kishazi kinachotaewaliwa ka kitenzi kikuu, ambacho kwa kkawaida hutoa ujumbe Kamil usiohitaji mactezo zaidi ya kukamilisha maana. Ni kishazi macho hata kikiondolewa katika muktadha wa sentens!ambamo vimejikita huweza ‘kujitegemea kama sentensi 2, Vishazi tegemezi: Kishazi huru ni kishazi kinachotawaliwa ka kitenzi kisaidizi, ambacho
muundo wake hukifanya kutegemea kitemzi cha kishazi huru ili kuweza kutoa ujumbe ‘uliokusudiwa, Kishazi tegemezi peke yake hakitoi ujumbe unaojitosheleza Sift za Kishari teyemeri
- Kishavi tegegemezi hutoa maana kamili kinapoandamana na kishazi huru
- Kishazi tegemezi kinaweza kufutwa katika sentensi bila kuharibu maana ya sentensi nzima.
- Kishavi tegemezi hutambulishwa na viambishi vya utegemezi
- Vinavyoambotanishwa kwenye kitenzi.
- Kishazi tegemezi vile vile kinaweza kutambuliwa kwa kuwepo vishazi kama vile ingavva,
Jovamba, ii, Awe sababu, meizi wa amb, mofi ya mashard a Aina ya vishazi tegemezi Vishazi tegemezi vivurishi
- Vishavi tegemezi vinavyorokea pamoja na nomino inayovumishwa,
- Vishazi tegemezi visivyoambatana na nomino inayovumishwa
Vishazi tegemezi vielezi
- Vishavi tegemezi vya mahali
- Vishazi tegemezi vya wakati
- Vishazi tegemezi vya namna au jinsi
- Vishazi tegemezi vya masharti
- Vishavi tegemeri vya hal hitilafu au kasoro iliyoko katika tendo
- Vishavi tegemezi vya sababu/chanzo
Dhima na hadhi ya vishazi Kishazi chawera kuwa huru kikajitegemea chenyewe kwa kuwwa na mana kamili inayojitosheleza. Lakini kuna vishazi ambavyo havijitoshelezi vyenyewe, bali hutegemea vishazi Vingine. Kishazi huru kina hadhi ya sentensi (sahili). Kishazi tegemezi hakina hadh bil, vishazi tegemezi ambavyo butegemea vishaz! vingine hushuka daraja na kuchukua dhima ya kikundi Baadhi ya vishazi tegemezi huchukua dhima (hufanya kazi) ya kivumishi katika tungo ambayo
ka kawaida ni dhima ya kikundi au neno. Vishazi hivi huvumisha nomino katika tango hiyo, Ufafanuzi wa Aina za Tungo Sentensi Sentensi ni kifungu cha maneno kuanzia neno moje na kuendelea chenye muundo wa kiima na kiarifu na kinacholeta maana kamili Sift za sentensi Sentensi lazima iwe na mpangilio wa maneno ambao unakubslika na wazungumzaji wa lugha husika,
- Sentensi lazima ikamilike kimaana, kimuundo na kisarufi
- Sentensi huwa na muaundo wa kiima na kiarifu /huwa na kirai nomino na kirai kitenzi
- Sentensi huweza kuwa na zaidi ya kiima kimoja na kiarifu zaidi ya kimoja.
- Sentensi inaweza kuundwa na kitenei kikuu kimoja au zai
- Sentensi inaweza kuundwa na kishazi husu kimoja au Zaidi na kishazi tegeme7i kimoja au zai
- Sentensi huonyesta hali mbalimbali, kama vile amri, ombi, mshangao, swali n.k
Muundo wa sentensi Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima unakuwa na vipengele vifuatavyo:
- Kiima; Ni sehemu katika sentensi ambayo hujaza sehemu ya mtenda au mtendwa wa jambo
limaloctezwa, Katika tungo kiima hutokca kushoto mwa kitenzi
- Kiarifu: Ni sehemu Katika sentensi inayojazwa na maneno yanayo afi tendo lilofanywa,
limapofanywa au litakapofanywa, Kiarifu ndiyo schemu muhimu zaidi katika sentensi ambayo wakati mwengine huweva kusimama pekee, kwani wakati mwingine huchukua viwakilishi vya kiima.
Vipashio vya kiima
- Nomino peke yake
- Nomino, kiunganishi na nomino
- Nomino na kivumishi
- Kivumishi na nomino
- Riwakilishi peke yake
- Kiwakilishi na kivumishi
- Nomino na kishazi tegemezi vumishi
- Kitemz jina
- Nomino na vivumishi zai ya kimoja
- Kitenzijina na nomino
- Umbo kapa
‘Tearifa ritolewaro na kiaifa kuhusu kiima fo Kim ni nani
- Klima kina nini
- Kiima hufanya nini
- Kimi kinahisi nini
Sifa za kiarifu
- Huwana kitenzi na pengine huambatana na maneno mengine
- Kiarifu kwa kawaida huja baada ya kiima
Vipashio vya kiaifi
- Kitenzi kikuu peke yake
- Kitenzi kisaidizi au vitenzi visaidizi vilivyosambamba na kitenzi kikuu
- Kitenzi kishirikishi na kializo
- Yambwa (shamirisho)
- Kijazalio
- Chagizo
Sifa za chagizo
- Chagizo kwa kawaida huwa ni kielezi au kirai husishi ambacho kinafanya kazi kama kiele7i
- Kwa kawaida ni vipashio vya ziada. Si lazima viwepo katika sentensi ili jisimamie
- Huwa cha lazima ikiwa kinafuata kitenzi kishiriki. Haliikiwa hivyo, kinafhaya kazi kama
kijalizo,
- Hutumika kufafanua kitenzikivumishi /kiele7i
- Hutumika kujliza kiimakama kijalizo,
Aina za sentensi ‘Aima za sentensi kimuundo ni pamoja na bz zifuatazo Sentensi sahili Ni sontensi ambayo huundwa na kishazi huru kimoja, Sentensi ya aina hii huwa inaclezea taarif moja tu Méano; Wanafici wanafanya mtihani; Walinzi walituka kunizuia nisiingie adavi.
Miundo ya sentensi sabi
- Muundo wa kitenzi kikuu peke yake. Mfano: Gari limeanguka
- Muundo wa kiteni kikuu na kitenzi kisaidiri, Mfano: Mgosipuda alitoka (TS) nisipate (1) utajiri
- Muundo wa vira-vitenzi vilivyokitwa katika kitenzi *kuwa’, Mfano: John amefarea
akiangalia TV kwa muda mrefu sana.
- Muundo wa kiteni shirikishi, Mfano: Kiswahili ni tuma ya Tafa
Sif za sentensi sahili
- Ina kiima ambacho kimetajwa wazi au kimeachwa kutajwa kwa kuwa kinaclewek,
- {na kiarifu ambacho kimeundwa na kitenzi kikuu kimoja au kitenzi kikuu na kitenzi kisaidizi au
kitenzi kishirikishi na kijaizo na chagizo.
- Haifungamani na sentensi nyingine na hivi inajitosheleza kimuundo na kimaana,
Sentensi changamano Hii ni sentensi yenye kishazi huru kimoja au zaidi na kishazi tegemezi kimoja au zaidi, Sifa moja kubwa ya sentensi changamano ni kuwa na kishazi tegemezi ambacho hutegemea kishazi kingine huru ndani ya sentensi hiyo. Msingi muhinu: wa ubusiano nclani ya sentensi hizo ni le wa kishazi kimoja kutogemea kingine Sentensi changamano ina mundo wenye vishazi virejeshi. Mfano: Gari liliopinduka jana jion
halikuharibika hatata kidogo. Sentensi ambatano Hii ni sentensi inayojengwa na sentensi mbili au zaidi zilizounganishwa kwa kutumia Viunganishi kama vile likini, wala, au, na, nakachaliks, Miundo ya sentensi ambatano
- Miundo yenye sentensi sabili tu, Mfano: Mwalimu anafundisha wakati wanafunzi wanapiga
kelele
- Miundo yenye seatensi sahil na changamano. Mfano: Walinzi waliposhindwa polisi
waliwasaidia lakini hawakuweza kuwakamata majambazi.
- Miundo yenye sentensi changamano tu, Mano: Barabara zilizejengwa na wakoloni zimedarr
hadi leo wakatizile zilizojengwa na Wachina hata mwezi hazifikishi
- Miundo yenye vishazi visivyounganishwa kwa viunganishi
Uchanganuzi wa sentensi Uchanganuzi wa sentensi ni mchakoto unaohusika na kuchanganua vipashio vyote vinavyuonda sentensi kuanzia ngazi ya kategoria ya neno. Katika kipengele hiki utaweza kujifunza hatua muhimu za kuzingotia wakati wa uchanganuzi wa sentensi, Pia utajifunza njia mbalimbali zinazotumika katika uchanganuzi wa sentensi Hoatua za uchangenuzi wa semtensi
- Rutajaaina ya sentensi, yaani kama ni sahili, changamano au ambatano.
- Kutajasehemu zake kau, yaani kiima na kiarifu au kirai nomino na kirai kitenzi.
- Kutajasehoru kuu 2a kiima na kiarifu au sehemu ku 2a krai nomino na kira kitenz.
- Kuttja schcmu zote za maneno yaliyomo katika sentensi hiyo,
Njia za uchanganuzi wa sentensi Nila ya mishale/mistari Mfano Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya mishale Nijia ya visandukw jedwali Mfano ss
KN KT
N RH T KN
Ho KN N oKV
N Vv KE
E Miu Mwvenye Ulemavu anacheza mpira mzuri sana Nila ya matawi Mfano Uchaganuzi wa sentensi kwa njia ya matawi Mifano mingine ya uchanganuzi wa sontensi ambatano; (Watu wengt walimucmint sana lakini peye aliwasaliti) Niia ya jedwali Mfano Watu wengi walimuamini sana lakini yeye aliwasaiti S.A SI uo 2
KN Kr KN KT
N KV T KE wt
v E Watu wengi walimwamini Sana Lakini Yeye aliwasaliti Kowa njia ya matawi Mfano Watu wengi walimuamini sana lakini yeye aliwasaliti Kwa njia ya mishale Mfano Watt: wengi walimuamini sana lakini yeye aliwasaliti
Continue Studying Form Three
← Previous: Ngeli za ManenoNext: Asili na Maendeleo ya Kiswahili →
Get Well-Formatted PDF Notes
For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.