Kiswahili Kidato cha Tatu – Asili na Maendeleo ya Kiswahili

Kiswahili Kidato cha Tatu – Asili na Maendeleo ya Kiswahili

Maelezo haya ya Kiswahili Kidato cha Tatu yamepangwa kwa mada ili kurahisisha usomaji kwenye simu, marudio na maandalizi ya mitihani.

Topic: Asili na Maendeleo ya Kiswahili

Asili ya Kiswahili

Ushahidi wa Kimsamiati na Kimuundo unaothibitisha Ubantu wa Kiswahili Nono asili ni jinsi kit au jambo lilivyotokea au lilivyoanza. Kutokana na fasili hit tanaona koamba jambo au kitu kinaweza kutokea kibahati kama ilivyo Katika lugha au linaweza kuanzishwa.

Hivyo basi asi ya lugha ya Kiswahili bado ni mjadala mrefa ambapo wataalamu mbalimbali wanahitilafiana ju ya asili au chimbuko la lugha ya kiswahili. Wapo wanaokinasibisha kiswabili rm kiarabu koa kutunia kigezo cha msamiati na dini ya kiislamu, Wengine waneshikilia msimamo kuwa kiswahili ni kibantu kwa kutumia hoja za kiisimu na kihistoria. Wapo wanaokinasibisha kiswahili na uchotara beadhi yao wanzoshikilia msimamo huu ni Freeman

Grenville na Homo Sasson

Kuna nadharia mbalimbali zinazojaribu kuclezea asili ya Kiswahili, miongoni mwa hizo ni pamoja na hizi vifuatazo-

Kiswahili ni Kiarabu

Hapa Kiswahili kimefasiliwa kuwa asili yake ni kiarabu, wanaoshikilia mtazamo hun wanahoji kvamba katika lugha ya Kiswahili kuna maneno mengi ya Kiarabu, Pia wanaeleza kuwa asili ya Kiswahili ni pwani na kwa kuwa wenyeji wa pwani ni Waislarnu na kwa kuvea uistamu uliletwa nna Waarabu basi hii lugha ya pwani nayo itakuwa imeletwa na Waarabu. Vigezo hivyo vyote Vina udhaifu mkubwa kwa sababu havikukitwa katika misingi ya kitaalamu ye uainishaji lngha,

Kiswahili ni lugha Chotara Mitazamo huu umezua ubishi mkubwa kwani hata baadhi ya wazawa wamejinasibisha na uarabu na ushirazi. Wanaofasili Kiswahili kama lugha chotara wanadai kuwa Kiswahili kimetokana na mehanganyiko wa lugha ya Kiarabu na lugha za Kibantu. Hivyo Waswabili ni wata waliotokana na wanaume wa Kiarabu na wanawake wa Kibantu.

Kiswahili ni lugha ya Vizalia Waumini wa mtazamo huu wanadai kuwa Kiswahili kilianza kama pijni ya Kiarabu na baadae kukomaa na kuwa kreoli. Pijini ni lugha ambayo imetokana na mchanganyiko wa ugha mbili tofauti yaani Kiarebu na lughe za Kibantu. Na kreol ni lugha inayozungumzwa na watoto ‘waliozaliwa ne baba Mwarabu na mama Mbantu.

Kiswahili ni Kikongo

Naudharia hii inafafanua kuwa lugha ya Kiswahili ilianzia huko Kongo na kusambaa katika pean ya Afika Mashariki, Wabatu walipofika Afrika Mashariki waliingia kwa makundi na kati nyzkati mbalibali, Makundi hayo yalianza kujigawa na kutawanyika, matokeo ya kugawanyikea huko ni kutokea kwa makundi mbelimbali ya wabantu. nasadikika kuwa basdhi va Wabantu walifamya maskami yao ya kuduma katika mabonde ya kaskazini mwa mito tana. Kikundi hiki cha

‘wabantu ndicho inasadikiwa kuwa chimbuko la Kiswahili

Kiswahili ni Kibantu

Miazamo huu ni ule unaosmini kuwa Kiswahili ni lugha ya Kibantu ambapo lugha za Kibantu 7ilikuwepo hata kabla ya majlio ya Wageni kutoka Ajemi, Arabuni, India, China na kwingineko.

Katika mtazamo huu lugha ya Kiswahili inaingizwa katika kundi la lugha 2a Kibantu, Ama kwa hakika mtazamo haw ulipata mashiko sana kuancia kare ya ishirini, ulishadidiwa kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa na weledi wa isimu, historia, akiolojia na ethnografia, Wanaisimu waliothibitisha kuwa Kiswahili ni Iugha ya Kibantu ni pamoja na Bleck (1862), Meinholf. C (1932), Malcom Guthrie (1967, 1970, 1971), Doke (1935, 1945) na wengineo. Vigez0

Vilivyotumika kufatanua kuwa Kiswahili ni kibantu ni pamoja na

  • Mssmiat
  • Mofolojia
  • Mfumo wa sauti
  • Mfume wa toni
  • Mfumo wa ngeli
  • Mpangilio wa maneno

Ubantu wa Kiswahili: Kigezo cha Kiisimu Kigero hiki cha kiisimu kimetumiwa na watazlam mbalimbali katika kuonesha ubantu wa Kiswahili Massamba (1999) amewataja wataalam mbalimbali ambao wamehusika na utafiti ju ya ubanta wa Kiswahili, wataalam hao ni pamoja na Carl Meinhof katika kitabu chake ‘chalnuroduction 10 the phonology of the Bantu language, Duke (1935 ~ 1945), Malcom Guthrie (1967), Dereck Nurse na Thomas Spear (1985), Hawa walijadili ubantu wa Kiswahili kwa

kutumia kigezo cha kiisimu, kihistoria na kiakiolojia. Katikakigezo cha kitsimu vipengele vinavycangaliwa ni kama vile kufanana kwa msamiati wa msingi, muundo wa kifonolojia, muundo wa kimofolojia, muundo ws kisintaksia mpangilio wa ngeli za majina Mizizi ya msamiati wa msingiwa lughs a kibantu na Kiswahili hufanana kwa kiasi kikubwa, mifano ifuatayo huweza kuoneshe ukweli Huu.

Mfano

Kiswahili Kikurya Kinyiha Kijita

Maji— Amanche Aminzi Amanji

Jicho —Triso—ryinso liso Katika mifano hiyo hapo juu tunaona kuwa mizizi maj, manche, mini, manjiinafanana kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo huw ni ushahidi tosha kutuonesha kuwa kuna uhusiano wa kinasaba kati ya Kiswahili na lugha za kibant Piamofolojia ya Kiswahili na lugha za kibantubufanana kwa kiasi kikubwa, yeani mfumo wa maumbo ya mancno ya lugha ya Kiswahili na lugha za kibatu hufanana. Kwa mfano, namna Viambishi vinavyopachikwa katika mzizi wa maneno hufvata Kanuni ileile kama inawyotumika

katika lugha ya Kiswabili yaani viambishi vinaweza kupachikwa kabla ou baada ya mzizi na hhowa na uamilifa bayana Mfano Heebu tuchunguze mifano ifuatayo:

Kiswahili Kisukuma Kisimbiti Kinyiha

Acnactim-a aclecem-a sre-rem-a ienkustimea ana-chek-a Ade-sek-a araseka a-ku-sek-a Kwa kuangalia mifano hii utagundua kwamba katika kutenganisha viambishi hufuata kanuni moja kwamba mehali kinapokea kiambisht kwa mfano cha njco, ndipo pia hukna kwa upande wa lugha 2a Kibantu, kwa mfano —na- na —ra- katike lugha ya kisimbiti, Hivyo tunaweza kusema keuwa kuna unasaba baina ya lugha hizi Vilevilesintaksiaya ugha ya Kiswahili na lugha a kibantu hufanana kwa karibu sana. Kwa

mfano jinsi yampangilio wa vipashio na kuunda sentensifufonana yzani mpangilio wa maneno hufuata kanuni maalim ambaro hufanana katika Kiswahili ma lugha za kibantu. Katika Kiswahili sentesi inakuwa na pande mbili yaani upande wa kiima na upande wa kiarifu, katika upande wa kiima kipashio chake kikuw ni nomino na katika upande wa kiarifu kipashio chake kikwu ni kitenzi. Hil inamaana kwamba katika kuunda sentensi ni lazima nomino ianze na baadaye

tena. Mfano Hebu tuangalie mifano ifuatayo: Kiswahili Mama / anakulaN (K) T (A) Kijita Mai / kalyaN(K) T (A)

Kihehe Mama/ilyaN(K) T(A)

Kihaya Mama / nalyaN(K)T(A) Katika mifano hii tumcona kwamba muunndo wa kiima-kiarif katika lugha za kibantu uunafanana sana na ule wa Kiswahili yaani nomino hukaa upande wa kiima halikadhalika kitenzi hukaa upande wa kiarifu, kwa hiyo kwa mifano hii tumaweza kusema kuwa lugha ya Kiswahili ni Jami ya lugha za Kibanta Piamfumo wa sauti (fonolojia)wa tugha za kibantu unafana sana na ule wa Kiswahili, yaani mpangilio wa sauti katika kuunda silabi, na miundo ya silabi kwa ujumla hufanana, Kwa mfano

katika ugha ya Kiswahili hakuna muundo wa silabi funge yaanisilabi ambayo inaishia na konsonanti, mundo asilia wa silabi za Kiswahili ni ule unaoishia na irabu vilevile katika lugha za kibantu hufuata muundo wa silabi wazi, yaani silabi zote huishia na irabu.

Mfano Mifano if atayo hufafanva zaidi:

Kisawhili Baba K++K+1

Kikurya Tata KHHK+.

Kiha Data KH+K+1

Kijita Rata KH4K+1

Kipare-Vava KH+K+1

Tanbihi: K~ konsonanti = irabu.

Kwa mifano hii tunaona kwamba mifurmo ya souti Katika Iugha za kibantu hufanana na ule wa Kiswahili, kwa hiyo tunaweza kuhitimisha kwa kusema kuwa lugha hizi ni za familia moja Pia vilevilemfumo wa ngeli za majinakatiks lugha ya Kiswahili hufanana sana na ule wa kibontu hususom: katika upachikaji wa maumbo ya umoja na wingi na maumbo ya upatanisho wa kisarufi, Katika lugha ya Kiswahili viambishi vya umoja na wingi hupachikwa mwanzoni kabla

ya mzizi wa neno, hivyohivyo katika lugha za kibantu Kwa mfano:

Umoja Wingi

Kiswahili m-tu wat Kikurya mocnto abhacnto Kiha —umu-ntu abha-nta Kikwaya mu-nuabha-nu Mifano hiyo hapo juu inadhiirisha wazi kwamba vipashio vyote vya umoja na wingi hujitokeza kabla ya mzizi wa neno, hivyo ni dhahiri lugha hizi zina ubusiano wa nasaba moja Vilevile katikaupatanisho wa kisarufilugha 2a kibantu na Kiswahili huelekea kufanana viambishi ya upatanisho wa kisarufi hususani viembishi vya nafs Mfano wa viambishi vya nafsi

Kiswahili Mtotoa-nalia

Kizanaki_ Umovanaa-rarira

Risukuma Ng'wanaa-telela

Kikurya Omonaa-rakura

Tunaona hapo juu kwamba kiambishi ‘a" cha upatanisho wa kisarufi hujitokeza katike lugha zote, hivyo tunashawishika kusema kuwa Kiswahili kina uhusiano mkubwa na kibantu. Pamoja na ushahidi wa kiisimu kutupatia vithibitisho tosha juu ya ubanta wa Kiswahili pia kuna ushahidi mwingine kama vile ushahidi wa kihistoria, kiakiolojia na kiethinolojia

Ushahidi wa Kihistoria

Ushahidi wa kihistoris buchunguza masimulizi na vitabu mbalimbali vya kale ambayyo huclezea asili na chimbuko la wakazi wa upwa wa Afrika Mashariki. Vilevile ugunduzi wa kiakiolojia huonesha kuwa kulikuwa na wakazi wa asili wa upwa wa Afrika Mashariki ambao walikuwa na utamaduni wao na macndelco yao hata kabla ya kwja kwa wageni. Katika ushahidi wa kicthinolojia, huchunguzwa tarihi mbalimbali zinazojaribu kutoa historia ya watu wa pwani ya

Afrika Mashariki na lugha yao. Kwa ujumla vyanzo hivi vyote huonesha kuwa pwani ya A\rika mashariki ilikuwa na wakazi wake wa asili amboo walikuwa na lugha yao, utamaduni woo na pia maendelce yao, vyanzo hiv pia hubitimisha kwa kusema kuwa lugha ya wakazi hawa ilikuwa ni Kiswahili Jinsi Miundo ya Kiswahili inavyofanana na Miundo ya Lugha nyingine za Kibantu Fafanua jinsi miundo ya Kiywahili inayyofanana na miundo ya lugha nyingine za Kibanty

Miundo ya lugha ya-2a kibantu inafanana na lugha ya Kiswahili na kufanana huko hutokea katika miundo silabi ambopo zotc huishia na irabu na siyo Konsonanti, miundo ya sentensi, miundo ya vitenzi vya Kiswahili ni sawa na ile ya Kibantu, Kwa mfano vitenzi vya Kiswahili na kibaniu vina whusiano mkubws hasa katika viambishi, mnyumbaliko na pamoja na mianz0 na maiisho ya vitenzi, Mada hii imefafanuliwa vizuni katika mada iliyotangulia hapo juu,

Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu Katika karne ya kumi na tisa Afrika Masharikiiliingia kwenye mahusiano na mataifa mengine kama vile Marckani, Ujerumani na Uingereza, Maktusiano haya ni baada ya watu wa pwani kuwa na uhusiano wa muda mrefu wa kibiashara na Waaarabu, hawa waliweka athari kubwa katika keuleua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili. Wageni kutoka Ulaya walipoingia Afrika Mashariki

walifemya biashara, shughuli za kidini (mishenari) elim ne utawala, Kama ilivyokuwa katika kipindi cha Waarabu, uwepo wao pia ulikuwa na athari katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki na kwingincko, Ukuaji wa Kiswahili Kimsamiati nchini Tanzania katika Enzi ya Waarabu Woarabu hasa katike pwani ya Afiika Mashariki walifanya biashara ikivremo biashara ya watumwa, Hikuwepo misafara mbalimbali ya biashara kutoka pani hadi bara. Katika misafara

hiyo Kiswahili ndio ilikuwa lugha ya mawasiliano hivyo Kiswahili kikaenea pia katika sehemu va bara Kuna mambo kadhaa waliyofanya waarabu ambayo yalichangia kukua kwa lugha ya Kiswahili, Wearabu walichangia kukua kwa lugha ya Kiswahili kama ifuatavyo: Biashara Woarabu walifanya biashara kati ya pwani na schemu za bara, katika biashara yao walichangia ka kiasi kikubwa uenezaji wa lugha ya Kiswahili. Lugha kuu ya mawasiliano na ya kibiashara

iliyotumiwa na wafanya biashare wa kiarabu ilikuwa ni Kiswahili, kwa hiyo kwa njia hit waliweza kueneza Kiswahili kuanzia pwani hadi maeneo ya bara kama vile Tabora, Kigoma hadi mashariki mwa Kongo.

Dini Dimi pia ni jambo ambalo liliweza kuchangia uencaji wa lugha ya Kiswahili enzi za waarabu. Wazrabu walipokuja walitaka kueneza dini yao kwa undani kabisa. Kwa hivyo iliwabidi kuanzisha madarasa ambayo walitumia kufundishia, {ugha itiyokuwa ikitumiwa ni lugha ya Kiswahili. Na hivyo hii ikasaidia kuenca kwa lugha ya Kiswahili.

Maandishi ya kiarabu Woarabu pia walilcta hati za0 zilizotumiwa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo kupitia hati 2a kisrabu maandishi mbalimbali ya lugha ya Kiswahili yalivveza kuhifadhiwa, hivyo Kiswahili kiliweza kukuo kwa vile kingeweza kuhifadhiwa katika maandishi na kusomwa wakati wowote Kuoana Pia vilevile Waarabu waliofika pwani waliweza kuoana na wabanta, hi ilisababisha kizazi kipya kutokea, Na kwa sababu hiyo watoto walichukua maneno mengi kutoka kwa baba na mama yao

rma hivyo kuongeza msamniati katika lugha Kiswahili Ueneaji wa Kiswahili nehini Tanzania katika Enzi ya Waarabu Wazrabu walieneza Kiswahili nchini Tanzania kupitia biashara, kuoana na wabantu au wenyeji wa pwani, kupitia dini na maandishi ya hati za kiarabu ambayo yalitumika kuhifadhi maandish mbalimbali ya higha ya Kiswahili Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Wajerumani Wajerumani waliingia katika pwani ya Afrika Mashariki katika miaka ya 1875, walifanya kila

Jitihada kuwatawala Waafrika ambapo katika utawala woo walifanya biashara, waliendesha shughuli za kiutawala, za kidini na kielimu, Katika shuguli zote hizo Kiswahili ndio ilikuwa lugha-ya mawasitino hivyo kukikuza na kukiendeleza Kiswahili Walipongia katika pwani ya A.fika Mashariki walikuta Kiswahili kimekwisha enea kwa kiasi kikubwa, Kuna mambo waliyoyafanya ambayo yalisaidia kukva na kucnea kwa Kiswahili kama ifuatavyo:

Kutoa mafunzo ya lazima ya lugha ya Kiswahili kwa wafanyakazi wa serikali Waliwalazimisha wafsanyikazi wote wa serikali kujifuunza kiswashili, kwa sababu sheriailikuwa ni kwamba pasipojua Kiswahili huwezijiriwa katika serekali ya mjerumani. Kwa hiyo saula hili lilisababisha watu kujifunza lugha ya Kiswahili ili waweze kuajiriwa. Wafanyakari ambao ilikuwa ni lazima wajifuze Kiswahili ni pamona na maakida.

Wajerumani wenyewe walilazimika kujifimza kiswahili ili waweze kuwaniliana na wenyeji kwa urahisi na hivyo kurahisisha shuguli 2a0 za kiutawala Ujenzi wa shule Shule zilifungutiwa kufundisha watu weusi ili waje wawe wasidizi wao katika utawala wa wajerumani, na lugha iliyokuwa ikitumika kufundisha masomo ilikuwa ni lugha ya Kiswahili Kuenea kwa utawala wa Wajerumani nchi nzima Utawata wa wajerumani ulikuwa kwenye kils kona ya nchi, Na kwa kuwa wafanya kazi wa

sevikali ya wakati huo ilikuwa ni lazima wafahamu Kiswahili, kwa hiyo kia sehemu palipokuwa na ofisi za serikali nchi nzima kulizungumzwa Kiswahili. Shughuli za kiuchumi Pia katika shuguli za mashambe, wajerumani walichukua vibarua kutoka sehemu mbalimbali za chi, na kwa kuwa kila mmoja alikuwa na lugha yake tofauti, kwa hiyo Ingha pekce itiyowaunganisha katika mawasiliano kwenye enzo la kaziilikuwa ni Kiswahili Kwa hiyo kutokana na sababu kwamba utawala wa kijerumani ulitoa msukumo mkubwa katika

matumizi ya lugha ya Kiswahili kwenye shughuli 240 za kiutawala, hivyo suala la ueneaji wa Kiswahili lisingeepukika, Ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika Enzi za Wajerumani Wajerumani walichangia kwa sehemu kubwa kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini Tanzania enzi za utawala wao. Mambo yaliyochangia kuenca kwa Iugha ya Kiswahili enzi za utawala wa Wajerumani ni pamoja na dini, elimu, shughuli za uiawala na shughuli a kiuehumi kama vile

kilimo,

Get Well-Formatted PDF Notes

For an easier offline copy with the original document formatting, click below to request the complete PDF notes.

GET WELL-FORMATTED PDF NOTES

banner
Scroll to Top