Changamoto na Tahadhari: Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji – Mwongozo Rahisi Wenye Mafanikio – Hamis Y. Rashidi. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua
3 Wanastaimili magonjwa, kuku hawa wa kienyeji wanakinga imara inayowasaidia
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
kupambana na magonjwa ukilinganisha na kuku wa kisasa. 4. Soko lake ni huru, soko la kuku wa kienyeji ni kubwa sana kwa sababu ya utamu na ladha yake ya kipekee. 5. Ufugaji wa Kuku wa kienyeji ni ajira na chanzo kizuri cha mapato la familia na mtu mmoja mmoja. Hasara za kufuga Kuku wa kienyeji
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
sehemu mbalimbali kwa kupitia majarida kama haya, mitandao ya kijamii na 2
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Vifaa vya chakula na maji ni muhimu sana kwenye udhibiti wa Magonjwa ya kuku hasa yanayosambaa kupitia uchafu unaotoka kwa kuku mgonjwa. Kama chakula na maji havitakuwa katika hali ya usafi na usalama, basi ni rahisi sana kuku wako kuambukizwa magonjwa ya typhoid, kipindupindu, coccidiosis na magonjwa mengine yanayotokana na uchafu. Kwahiyo basi sio lazima utumie vifaa vya madukani ili kuhakikisha kuku wako wanakula chakula kwenye mazingira safi, unaweza kutengeneza vifaa hivyo kwa kutumia madumu/makopo ya maji na ndoo zilizokoma matumizi ili…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
2 Wiki moja kabla ya kuingiza vifaranga, matandiko yaliyosafishwa kuondoa vumbi
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
yawekwe bandani, na banda zima lipuliziwe dawa (disfectant). Hakikisha kimo cha matandiko ni angalau inch 3
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
11 Siku ya 35
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Chanjo: Ndui Namna: Sindano inayochomwa kwenye bawa. N.B: Ndui imekua changamoto sana siku hizi, jitahidi kuchanja ndui wiki 5/6. Au kulingana na historia ya shamba lako.
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
12 Wiki ya 13 kati ya siku 85 hadi 91
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Dawa ya minyoo Baada ya hapo, endelea kuwapa kuku chakula chenye virutubisho vyote muhimu na kwa kiwango kinachostahili. Chanjo zinazobaki ni… (A) Mdondo/Kideri(Newcastle Vaccine) Ambayo hutolewa kila baada ya miezi 3 (B) Minyoo Ambayo hutolewa kila baada ya miezi 1-2 Ratiba ya chanjo kwa kutumia chanjo Tatu moja Kama utatumia chanjo ya tatu moja, itakubidi ufate utaratibu ufatao kwa siku za chanjo ya kideri
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
9 Utambuzi na Udhibiti wa Magonjwa
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Magonjwa ndio changamoto kubwa kwenye ufugaji wa kuku ambayo huwakatisha tamaa Wafugaji wengi kwa sababu ya vifo vingi hasa kipindi cha uleaji wa vifaranga na hata kuku wakubwa. Vifo vingi kwa vifaranga hufanya miradi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kushindwa kukuwa kwa sababu ya kutoongezeka kwa kuku. Magonjwa yamegawanyika kwenye makundi mbalimbali kulingana na wadudu wanaosababisha, Kuna magonjwa yanayo sababishwa na virusi, magonjwa yanayo sababishwa na bakteria, magonjwa yanayo sababishwa na protozoa, magonjwa ya upungufu wa lishe na…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
5 CRD – Chronic Respiratory Disease ugonjwa sugu wa mfumo wa hewa 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Tiba Yapo madawa mengi ya antibiotics na sulfa ambayo hutumika kutibu ugonjwa huu. Pindi unapoona dalili zinazo fanana na hizo muone mtaalam wa mifugo kwa msaada zaidi. 9.2: Kipindupindu cha Kuku (Fowl Cholera) Ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria ambao huenea kwa haraka na kusababisha vifo vingi. Ugonjwa hushambulia kuku na ndege wa aina zote japokuwa jamii ya bata huathirika zaidi kuliko kuku. Jinsi Ugonjwa Unavyoenea ▪︎Chanzo cha maambukizi ni hewa, maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa. ▪︎Kwa kawaida ugonjwa huanza…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
5 CRD – Chronic Respiratory Disease ugonjwa sugu wa mfumo wa hewa 5
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Tiba Yapo madawa mengi ya antibiotics na sulfa ambayo hutumika kutibu ugonjwa huu. Pindi unapoona dalili zinazo fanana na hizo muone mtaalam wa mifugo kwa msaada zaidi. 9.3: Mafua ya Kuku (Infectious Coryza) Ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria ambao hushambulia zaidi kuku na ndege wa porini. Ugonjwa, hushambulia kuku wa rika lolote. Chanzo cha maambukizi ni maji na chakula kilichochafuliwa na kamasi za kuku wagonjwa. Kuku au ndege wagonjwa huambukiza wenzao kupitia mfumo wa hewa wanapopiga chafya. Dalili za Ugonjwa Ugonjwa huu hushambulia…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
5 CRD – Chronic Respiratory Disease ugonjwa sugu wa mfumo wa hewa 7
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kuzuia na Kinga ▪︎Epuka unyevu kwenye maranda (litter material) na banda kwa ujumla. ▪︎Tumia dawa za kukinga ugonjwa (coccidiostats). ▪︎Badilisha maranda kabla ya kuingiza vifaranga au kuku wapya. ▪︎Vyombo vya chakula na maji visiwekwe chini, vining’inie juu ya sakafu kuzuia kuchafuliwa na kinyesi. ▪︎Banda lisiwe na msongamano mkubwa wa kuku Uchunguzi wa Mzoga ▪︎Njia ya haja kujaa damu ▪︎Madoa ya damu kwenye utumbo ▪︎Madoa madogo ya rangi nyeupe na nyekundu sehemu ya nje ya utumbo ▪︎Madoa ya rangi ya kijivu sehemu ya ndani ya utumbo ▪︎Utumbo…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.