Skip to main content

Safari ya Ufugaji – KingoFarm: Misingi na Dhana Muhimu

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Misingi na Dhana Muhimu: Safari ya Ufugaji – KingoFarm

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Safari ya Ufugaji – KingoFarm. Fahamu dhana na maneno muhimu yanayoelezwa ndani ya kitabu hiki cha ufugaji wa kuku. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Safari ya Ufugaji – KingoFarm · PDF · 21 kurasa

Safari ya Ufugaji - KingoFarm – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Dhana muhimu na maelezo yake kwenye chanzo

2 Wakianza kutaga kama itatokea utagaji wao utakuwa wa kupishana, wasubilishe kwa

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

kutumia mayai mabovu au yasiyorutubishwa kama vile mayai ya kuku wa kisasa, kisha wawekee mayai yao kwa siku moja ( hakikisha mayai tokea yatagwe hayazidi siku 14 ) muda mzuri wa kuwawekea mayai ni nyakati za usiku, au unaweza hata ukanunu mayai ya mbegu bora, kwa mfano mayai ya kuku chotara waliopandwa, ni mayai bora sana, kwani vifaranga wake huwa wana ukuwaji mkubwa. 3. Jitahidi kuwapa chanjo kwa kufuata ratiba ya chanjo husika, hapa sambani kwetu, mara nyingi huwa tunawauzia mayai ya sasso ( kuku aina ya chotara ) na kesi nyingi…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Wakianza kutaga kama itatokea utagaji wao utakuwa wa kupishana, wasubilishe kwa 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kwa kufuata hatua hizo utaweza kuzalisha kuku wengi pasi kutumia gharama kubwa na ukawatumia kuku hao kujipatia elimu pindi utakapokuwa unawafuga hususani namna ya kukabiliaa na magonjwa, hakikisha kila hatua unayopitia kuna funzo muhimu unalipata, hiyo ndio maana ya elimu kwa vitendo, Na mwisho kabisa kwenye hii sura nnakuhamasisha msomaji kuanza nakile ulicho nacho, pasi kusubili mpaka uwe na mtaji mkubwa wapo watu wengi wanatamani kufuga lakini ukiwauliza watakwambia bado najipanga naweka mambo sawa kasha nitafuga, ukiwa na mtazamo huu…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

2 Kumudu gharama za kulea vifaranga, vifaranga wanahitaji huduma za umakini

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

mkubwa sana na zinahusisha gharama ikiwemo kama vile, gharama za kununulia vifaranga, chakula chenye ubora kwaajiri ya vifaranga ( pre-starter crumble ) , chanjo, mabanda bora, n.k, ili kuwafanya wawe na afya.

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

MAGONJWA NA TIBA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Ili upate matokeo bora kwa kuku wako unapaswa pia kuwaandalia chakula bora kuku wako, kwa kuzingatia bajeti ndogo kabisa ya uchanganyaji wa chakula kuzingatia mazingira husika kwa kupima gharama za rasilimali za kutengenezea chakula . Hapa tumekuandalia kanuni mbalimbali tukizingatia na umri wa kuku wako unaowapa huo mchanganyo,

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

AINA YA CHAKULA VIPIMO / KIASI CHA MCHNGANYO

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

NDOO KUBWA ( lita 20) KILO (kg) 01 Pumba ya mahindi 5 35 02 Mashudu ya alizeti 1 6 03 pumba za dagaa/ uduvi 1 7 04 Soya – 10 05 Broiler premix – 2

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

AINA YA CHAKULA VIPIMO / KIASI CHA MCHNGANYO – sehemu ya 2

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

NDOO KUBWA ( lita 20) KILO (kg) 01 Pumba ya mahindi 10 70 02 Mahindi ya kubalazwa 1 18 03 Mashudu ya alizeti 2 12 04 pumba za dagaa/ uduvi 3 21 05 Soya – 10 06 Broiler premix – 6

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

CHAKULA CHA KUWAFANYA KUKU WATAGE RAYER MASH

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mchanganyo huu unatumika kwa kuku wanaokaribia kutaga au wanaotaga kuanzia mienzi mitatu na nusu, umefanyiwa majaribio hapa KingoFarm na kutoa atokeo ndani ya week mbili,

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

TRISULMYCINE

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mkaa kwenye chakula Mharo Usafi wa Agrocox Mzungwa mwekundu banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika chakula vizuri kisiwe ESB3 na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Amprollium Mharo wa Usafi wa ESB3 kahawia banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika chakula vizuri kisiwe na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Mharo wa njano Usafi wa AGROCOX banda , vyombo vya chakula pia zuia kuku wasile kinyesi, anika Esb 3 chakula vizuri kisiwe na unyevu nyevu, zuia unyevu bandani Mharo wa kijani Usafi wa OTC (…

Chunguza maana ya maneno yanayotumika na jinsi yanavyohusiana na vipengele vingine vya mwongozo.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document