Skip to main content

Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji: Changamoto na Tahadhari

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Changamoto na Tahadhari: Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili – Mwongozo kwa Wafugaji · PDF · 37 kurasa

Misingi ya Ufugaji wa Kuku wa Asili - Mwongozo kwa Wafugaji – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua

2 MahitajiMuhimukwa Ufugaji Kuku wa Asili 5

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mfugaji wa kuku ni lazima ujue ni wapi utapata msaadawa kitaalamu kuhusu ufugaji bora, tiba no kinga ya kuku wako. Mfahamu mtaalamu w~ mifugo wa kijiji atakayekuwa akikupa ushauri no huduma ya kinga ya magonjwa no tiba kuku wanapougua. Wataalamu hawa hupatikana katika ofisi za vijiji, kata au tarafa. Ni wajibu wako kutoa taarifa juu ya magonjwano vifo vya kuku wako kwa mtaalamu . Hili ni muhimu kwa faida yako mwenyewe,wafugaji wengine no nchi kwa ujumla. Huduma za tiba ya mifugo no ushauri pia hutolewa no vituo binafsi vya tiba ya mifugo…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

3 Wakitotoa wote utapata vifaranga kati ya 35-50

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

ambao baada ya miezi sita au 8 wataweza kuwa tayari kuuzwa. Weka viota vya kutosha, viwe visafi na mwagia majivu au dawa ya kuua wadudu, kudhibiti chawa viroboto na utitiri. 16 Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima Sosa ndugu msomaji hebu tujikumbushe mambo ya muhimu katika sura hii, ambayo yataweza kuboresha utotoleshaji wa vifaranga na baadaye kuongeza kipato chako. 1. Kuandaa majike kwa ajili ya uzalishaji.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

6 Udhibiti wa Magonjwaya Kuku

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Wote tunafahamu kuwa magonjwa ni chanzo kikubwa cha I hasara kwa wafugaji. Somo hili nitazungumzia kinga dhidi ya magonjwa hatari ya kuku wa asili. Utafiti umeonyesha kuwa udhibiti wa magonjwa haya huzuia vifo vya kuku no kuongeza kipato cha mfugaji.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

MISINGIYA AFYA BORA NA KUZUIA MAGONJWAKWENYE KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Lishe bora huzuia magonjwa wape kuku chakula bora no maji scfi, Ongeza virutubisho vinavyoweza kupungua kama ilivyoelezwa katika somo la lishe. Safisha vyombo vya chakula no maji kilo mara Osha vyombo vya chakula kwa maji na kupunguza vimelea vya magonjwa. sabuni kuua vimelea vya magonjwa, Usafi: safisha banda la kuku kilo mara kuondoa mlundikano wa kinyesi. Hakikisha kuwa hakuna unyevu ndani ya banda kuua mazalia ya vimelea hatari. Paka chokaa ya kujengea ukutani kuua vimelea baada ya mlipuko wa magonjwa. Au mara moja kwa mwaka kama hakuna…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

MAGONJWA HATARI NA DALILI ZAKE, KINGA NA TIBA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuku huweza kuathiriwa na magonjwa mengi Sana, lakini utafiti umeonyesha ! kuwa magonjwa ya mdonde, ndui, koksidosisi, upungufu wa vitamini 'A', huongoza katika kuua kuku wa asili vijijini. Vile vile viroboto, kupe, chawa na utitiri huweza kuua au kuleta usumbufu unaoweza kupunguza utagaji mayai, uatamiaji na ukuaji wa kuku. Somo hili ninaeleza juu ya magonjwa haya, karibu msomaji uyaelewe haya. MDONDO Huathiri kuku wa umri wowote na huweza kuua kuku wote kijijini. Dalili zake ni: Kuku huacha kula, kuharisha na kupumua kwa shida. Kutoa kamasi…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

CHANJO YA MDONDO

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Hii ni lazima kwa kuku wote Chanjo itolewe mara nne kwa mwaka,yaani itolewe kilo baada ya miezi mitatu. Kwa viforanga waliozaliwa nje ya wakati wa chanjo wapewe chanjo wakati wowote katika wiki ya tatu halafu waendelee Kuchanjwana kuku wehgine. Pata chanjo ya mdonde kutoka Wafugaji wenye kuku wachachewajiunge pamoja na kuchanja ofisi za mifugo au maduka rasmi pamoja, hii itapunguza gharama kwani chanjo nyingi za ya dawa za mifugo. Omba madukani zimetengenezwa kwa ajili ya kuku elfu moja. ushauri wa jinsi ya kusafirisha na kutunza chanjo za…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

CHANJO YA NDUI

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Itolewe tu pale ambapondui inaonekanakuwa ni tatizo kwani bei ya chanjo hii ni ghali. Chanjo itolewe mara moja kwa miezi sita. Chanjo hii hutolewa kwa njia ya sindano kwenye bawa na inapaswaifcnywe na mtaalamuwa mifugo. · Wafugaji watengeneze ushirika wa kuchanja pamoja iii Chanjo ya ndui isitolewe kwa kupunguzagharama. vifaranga wenye umri wa chini ya mwezi mmoja.

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

DAWA ZA MINYOO

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Minyoo hutibiwa kwa kuweka dawa za minyoo katika maji ya kunywa. Tibu minyoo mara moja au mbili kwa mwakana uscfishe mabanda na vyombo kupunguza mashambulizi. Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima 21 Utaratibu wa kinga na chanjo za magonjwa katika kuku wa asili Ndugu mfugaji t Ni ukweli usiojadilika kuwa kinga ni bora kuliko tiba. Magonjwa huweza kukingwa kwa uscfi wa nyumba mabanda na vyombo vya kulia. amoja na uscfi chanjo kama kinga na dawa za kuzuia huhitajika kwa magonjwa yasiyoweza kuepukwa kwa usafi pekee. Chanjo hupatikana…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

UGONJWA KING A

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Mdonde Chanjo ya mdonde kilo baada ya miezi mitatu Ukiwa na vifaranga wengi wametotolewa mbali na muda wa chanjo wachanje wakifikisha wiki tatu kisha baadaye waunganishe na utaratibu wako wa kundi lote. Ndui Chanjo ya sindano itolewe na mtaalamu mara moja kilo miezi sita. Mbali na kuku wazazi, kuku wa kuuzwa wanaweza kuchanjwa mara moja tu. Ikiwezekana chanjo hii itolewe kabla ya mvua ndefu kuanza. Upungufu wa Watafutie kuku majani mabichi au hata mchicha mara kwa mara. vitamini 'A' Kama hakuna majani wape kuku dawa ya vitamin ya kuku kutoka…

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document