Changamoto na Tahadhari: Kupambana na Magonjwa ya Kuku – Jinsi ya Kutibu na Kuchanja – RLDC
Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Kupambana na Magonjwa ya Kuku – Jinsi ya Kutibu na Kuchanja – RLDC. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.
Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua
Utangulizi
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mwongozo kwa mfugaji Kupambana na magonjwa ya kuku Jinsi ya kutibu na kuchanja RLDC na Uboreshaji wa Maisha Vijijini Shirika la Rural Livelihood Development Company (RLDC ni moja ya mafanikio ya ushirikaiano kati ya Tanzania na Uswisi kwenye mchakato wa kupambana na umaskini na kuboresha maisha ya jamii za vijijini. Hii ni taasisi isiyo ya kibiashara ili yoanzishwa mwaka 2005 na mashirika ya Intercooperation na Swisscontact, lengo kuu likiwa kutekeleza Programu ya kuendeleza maisha ya jamii za vijijini (RLDP). Programu hii inasha bihiana na…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
uzalishaji wa kuku wa asili. Dalili za kuku Mgonjwa Dalili za ujumla za kuku mgonjwa ni kama zifuatazo: Kuzubaa Kupoteza hamu ya kula Kujitenga na wenzake katika kundi Kujikunyata Kupunguza au kusimama kutaga Kumbuka: Ukiona dalili moja au zaidi ya hizi muone mtaalam wa mifugo aliye karibu. Magonjwa ya kuku Magonjwa yanayoweza kuathiri kuku ni mengi. Magonjwa hayo yamegawanyika katika makundi tofauti kutegemeana na kisababishi chake. Vyanzo vya magonjwa ni virusi, bakteria, protozoa, minyoo, wadudu wa aina mbali mbali na upungufu wa…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 7
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Magonjwa yanayosababishwa na Bakteria Ugonjwa Dalili za ugonjwa Kinga/ tiba Homa ya matumbo – Ugonjwa huu unaweza – Kuzika au kuchoma (Fowl typhoid) kurithiwa kupitia kwenye moto mizoga na masalia mayai au kuambukizwa ya kuku waliokufa kwa kutokana na kuku ugonjwa huo. wagonjwa, kinyesi, – Usafi wa banda na kudonoana na mazingira mazingira yake. machafu. – Ondoa kuku wenye Kuku huharisha mharo wa ugonjwa na usitumie njano vilemba na upanga mayai yenye ugonjwa hupauka kutokana na…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 8
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mafua ya kuku – Kutoa machozi – Kinga: usafi wa Banda na (infections coryza) – Kuku huvimba uso na mazingira uzingatiwe macho, kamasi hutiririka – Tiba: ugonjwa unatibika toka puani na mdomoni, kama hatua za uudhibiti hukohoa, huhema kwa zitakuckuliwa mapema shida na kukoroma. Mayai (Dawa za antibiotic hupungua asilimia 10 hadi hutumika mfano OTC 40. 20% ya unga). Kushindwa kula Kudhoofika na hatimaye kufa. Kipindupindu cha – Kuku huhara mharo wa Kinga: Usafi wa banda, kuku (Fowl cholera) rangi ya njano. vyombo na mazingira Husinzia na…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 9
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kinga: (coccidiosis) – Kushusha mabawa kama – kuepuka unyevunyevu aliyevaa koti. katika matandiko. Kupoteza hamu ya kula. -Kuwatenga kuku wanao Kuharisha kinyesi chenye onesha dalili za ugonjwa. rangi ya kahawia au -Kinga kwa kutumia kilichochanganyika na cooccidiostat. damu. Tiba: ugonjwa huo unaweza Kuharisha damu. kutibika kama hatua za Manyoya kutimka. kuudhibiti zitachukuliwa Kupauka kwa upanga na mapema. ndevu. Kudhoofika na hatimaye kufa. Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu na kuchanja Athari zinazosababishwa na wadudu Jina…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Sura hii itazingatia zaidi kueleza magonjwa na wadudu pamoja na athari za lishe duni katika 10
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kukonda Kinga: Kusafisha vyombo vya chakula na vya Kupauka sehemu sisizo na kunywea maji kila siku kwa kutumia maji na manyoya kama upanga, sabuni au dawa za kuua wadudu. ndevu masikio na macho. – Kutenganisha kuku wakubwa na wadogo. Utagaji wa mayai hupungua – Kubadilisha matandazo kwenye sakafu kila au kusimama kabisa. baada ya miezi mitatu. Kuharisha. – Kuzingatia usafi wa banda. Minyoo inaweza kuonekana – Kuwapa dawa ya kuzuia aina nyingi za minyoo kwenye kinyesi. kila baada ya miezi mitatu. Kupambana na magonjwa ya kuku: Jinsi ya kutibu…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Afya ya kuku na dalili za magonjwa
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Kumbuka kinga ni bora kuliko tiba. Kanuni za ujumla ya kudhibiti magonjwa katika ufugaji wa kuku ni kuhakikisha yafuatayo: Kutunza usafi wa sehemu wanapokaa. Kama unafuga katika banda hakikisha linakuwa safi bila kuwa na unyevu. Wadudu na vimelea vya magonjwa huzaliana kwa urahisi katika mazingira yenye unyevu. Hakikisha kuwa vyombo vya kuwalishia na kuwanyweshea maji vinakuwa visafi. Hakikisha hawakutani na kuku ambao tayari ni wagonjwa maana wataambukizwa. Inawezekana kufanya hivi kama unafuga nusu ndani na nusu nje kwenye uzio au ndani ya…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
YALIYOMO 3
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Uandaaji na usafirishaji wa sampuli za kuku………………………..30 KIAMBATISHO 2. Orodha ya magonjwa na dalili mbalimbali ambazo huonekana mara nyingi katika kuku wa kienyeji…………………………………………………………………..32 KIAMBATISHO 3. Orodha ya dawa za mitishamba ambayo wafugaji hutumia kwa matibabu ya magonjwa ya kuku wa kienyeji ……………………………………………………….33 Waandishi Dr. A.P. Muhairwa, Idara ya Tiba ya Mifugo na Afya ya Jamii, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo…
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
11 Mkatani Swahili Ageve sisalana Agavaceae
Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:
Mbali na orodha hii, wakulima pia walieleza kuwa hutumia mavi ya tembo na asali kwa ajili ya kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali ya kuku hao. Ieleweke wazi kuwa uwezo wa madawa hayo ya asili katiak kutibu magonjwa ya kuku haujathibitishwa kitallalmu hivyo mradi haupendedkezi matumizi ya madawa hayo mpaka hapo utafiti utakapothibitisha uwezo wake wa matibabu.
Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.
Soma PDF ya Kitabu Kamili
Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.
Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.