Skip to main content

Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa: Changamoto na Tahadhari

MAKTABA YA UFUGAJI WA KUKU • DEVINE VISION TECH

Changamoto na Tahadhari: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa

Makala hii inasaidia kusoma na kuelewa Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa. Chunguza mambo ya kuzingatia, makosa yanayoweza kutokea na tahadhari zinazojadiliwa kwenye chanzo. Maelezo yamepangwa kwa kurejea maandishi yaliyochukuliwa kutoka kwenye PDF halisi. Kwa mifano, jedwali na michoro kamili, tumia kitabu kilichopachikwa chini.

Chanzo: Banda Lenye Tija – Mwongozo wa Banda la Kuku – Zacharia Nyiliwa · PDF · 22 kurasa

Banda Lenye Tija - Mwongozo wa Banda la Kuku - Zacharia Nyiliwa – jalada la PDF
Picha ya jalada inaweza kuhitaji ruhusa ya kutazama faili katika Google Drive.

Tahadhari na mambo ya kukagua kabla ya kuchukua hatua

BALANCE DIET

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

HASARA ya kutumia mfumo huu ni gharama ya chakula cha kuku kwa kutwa mzima lakini pia gharama ya kununua vyombo vya chakula [drinkers/feeder]watu wengi hasa kaya ya vijijini ushindwa kumudu BANDA

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

KIENYEJI PURE BREEDS

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Tukumbuke kuku wa KIENYEJI ukua taratibu kulingana na ASILI yao na sifa yao kubwa ni wavumilivu wa magonjwa mbalimbali sababu ya UIMARA wa kinga za miili yao[BODY IMMUNITY] Lengo la kufuga kuku wa kienyeji ni kwajili ya kupata mayai na nyama japokua uchelewa kukua ,hivyo basi wanahitaji muda wa miezi 5-6 kuanza kutaga mayai na kuwa na uzito stahiki

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

MATATIZO YA SEHEMU ZA KUPUMZIKA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna wakati inaweza kusababisha ugonjwa wa BUMBLE FOOT DISEASE ikiwa kuku watakua wanakaa mda mrefu kwenye sehemu za kupumzikia hivyo miguu uota SUGU na mwishoe upasuka na kusababisha kuingia kwa BACTERIA Ikiwa kuku wako wanalala chini ya kasafu mda mrefu ni lahisi kushambuliwa na visumbufu MFANO siafu,viroboto,chawa nk BANDA

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

FAIDA ZA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna faida za ufugaji wa kuku nitaelezea kwa undani faida na hasara za ufugaji wa kuku wa kisasa , kienyeji ili utambue na kuzielewa kiundani zaidi Mayai ya kuku utumika katika tiba za magonjwa mbambali katika mwili wa binadamu Kiini cha njano cha yai kinaweza kutumika kutengeneza ya nywele [ shampoo]

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

JINSI YA KUPATA FAIDA KATIKA UFUGAJI WA

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

KUKU Chanjo ya mdondo kila baada ya miezi mitatu na chanjo ya ndui mara mbili kwa mwaka Zuia viroboto,utitiri na minyoo Chagua mayai bora kwajili ya kuatamia Punguza kuuza kuku kwa makundi ili kuongeza kipato Kipato unachokipata utenge pia na kiasi kwajili ya kununua kuku wengine BANDA

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

HASARA ZA UFUGAJI WA KUKU

Katika sehemu hii, mwongozo unagusia mambo yafuatayo:

Kuna hasara nyingi zinazoweza kuzipata katika ufugaji wa kuku na uchangiwa na sababu za mbalimbali zinazosababisha kupata hasara katika kufuga kuku Yako mapungufu mengi lakini nitaongelea machache yanayoweza kuchangia kupata hasara kubwa katika ufugaji , magonjwa ya kuku mfano NDUI,KIDERI,GUMBORO huathiriufugaji kutokana na kuzingatia chanjo kwa wakati\ Kukosa chakula cha kuku, ikiwa umeanza kufuga na ukakosa bajeti ya chakula cha kuku inawezekana wakapungua uzito na hatimae kukosa soko au kuacha kutaga BANDA

Tumia kipengele hiki kubaini maswali ya kujibiwa kabla ya kufanya uamuzi unaohusu mradi au afya ya kuku.

Soma PDF ya Kitabu Kamili

Muonekano wa PDF unategemea ruhusa za faili katika Google Drive. Kama haisomeki, tumia kiungo cha kufungua chanzo.

Rudi kwenye Maktaba ya Vitabu

Makala ni mwongozo wa kusoma chanzo. Hakiki jedwali, gharama na maelezo ya kiufundi kwenye PDF ya asili kabla ya kufanya maamuzi. Kwa masuala ya afya ya kuku, shirikisha mtaalamu wa mifugo. Ruhusa za kuchapisha na upatikanaji wa PDF kwa umma bado zinahitaji kuthibitishwa.

Scroll to Top
Changia Notes / Document